Kila nikikwambia bila kuwa Tohara huwezi kuielewa Biblia Takatifu!; sawa na punda aliyebeba vitabu bila kujua faida yake!Dini ni maandiko sio desturi wala mila za watu, lete andiko kuwa ni lazima kaburi la mkristo liwe na msalaba , kama hauna pita kimya kimya
Huwezi kusema ungetaka kama Hauna kifanyioEbu kasome tena hiyo aya halafu uje hapa , mbona iko wazi , nani kakwambia Allah anapiga mbupu hapo? “KAMA tungeli taka” kwahiyo unakuwa ushapiga mbupu ebu tulia mzee naona umechoka
Kama amedai alikuwa navyo na sasa hana , vimeenda wapi na ilitakiwa atuambie vilipotea mda gani mpaka muhammad akajaSasa anapotezaje vitabu ambavyo havina kazi? sio zama zake hizi kwahiyo havina kazi ndio maana ameleta Quran
Kwanini hakuna historical information zozote zinazo thibitisha Allah alikuwa na vitabu kabla ya Koran ?Sasa mstari ubakie kwa faida ya nani ? zama ziimekwisha
Nimekutaka ujibu ndio au Hapana wewe unaleta ngonjera1.Watu gani wange muua Jibril ? hakuna binadamu wa kumuua Jibril , acha kupiga ramli mambo ambayo hayapo , unaleta mfano mfu hapa , Jibril hata angekuwa kwenye umbo la paka hakuna binadamu ambaye ange thubutu kumuua kwahiyo uliza vitu vya maana , hiyo imani yako ya Mungu wako kufa usituletee hapa katika Uislamu
2.Unaweza kuthibitisha kuwa Kalbi alikuwa shoga?
Tuletee injili ya nabii Issa siyo hekaya za Mudy.Yesu na Issa ni watu wawili tofauti na ndo maana injili ya Issa haipo na injili ya Yesu ipoEndelea na masimulizi ya kina Mathayo hakuna injili pale
Kwa hiyo yeye ni mwana wa Mungu kwa sababu anamrefer Mungu kama babaSasa mimi na wewe nani mbishi ? Yesu anasema baba ni mkuu kuliko yeye , wewe unasema kinyume chake
Unataka kutumia takiya kwamba kalbi alikuwa si li shoga , lilikuwa linakutwa chumbani na muhammad, Muhammad akawa akikutwa nae anadai ni jibril2.Unaweza kuthibitisha kuwa Kalbi alikuwa shoga?
Maswali bado hujajibuMashahidi wa Yehova ni dhehebu kama Roman Catholic , suala la kuanza lini halina mashiko maana yote yameanzishwa na watu ambao wanaamini katika Biblia, jina “ Wakristo “ kwa mara ya kwanza lilianza kutumika Antiokia sio Vatican
Isa aliwahi kuwepo miaka ipi ? Na alikuwa nchi gani? Tumia Koran kujibuIsa hayupo na mambo yake hayapo maana vitabu vya Isa sio muongozo kwa zama hizi
Wewe jamaa ni muislamu kweli ? Si nyie ndio mnasema kaburini unapigwa marungu na majiniMaiti toka lini akajua kinacho endelea duniani?
Kitabu chochote ndani ya biblia hakimuhusu AllahEndelea na masimulizi ya kina Mathayo hakuna injili pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekutaka ujibu ndio au Hapana wewe unaleta ngonjera
NAKUPA SWALI LA MUHIMU SANA UWEKE MAJIBU KWA UELEWA WAKO
JIBRIL alikuwa anavaa mwili wa kalbi (shoga) akaja kwa Muhammad
SWALI : Watu wangemuua kalbi wakati jibril yupo ndani yake wangekuwa wamemuuwa jibril au la ?
Jibu swala kwa jibu la ndio au Hapana usiweke maelezo zaidi
.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
Hakuna injili ya Yesu wala Isa pale ni masimulizi ya kina Mathayo , Luka , Yohana, Marko , mbona hatuelewani kijanaKitabu chochote ndani ya biblia hakimuhusu Allah
Tukisema injili ni injili ya Yesu na sio Isa ya Isa haijawahi kuwepo
Umeelewa nilicho andika hizo ni habari za kaburini, sio kinacho endelea kwa walio hai dunianiWewe jamaa ni muislamu kweli ? Si nyie ndio mnasema kaburini unapigwa marungu na majini
Kijana kwenye Quran kuna umma sio miaka , Isa alikuwepo kwa umma wake , na alikuja kwa ajili ya wana wa IsraelIsa aliwahi kuwepo miaka ipi ? Na alikuwa nchi gani? Tumia Koran kujibu
Wakristo walianza kuitwa Antiokia hapo kwa mara ya kwanza , hakukuwa na Yehova wala katoliki wala wasabatoMaswali bado hujajibu
Ukristo ulinza lini na Imani yao kwa Yesu ilikuwaje?
Mashahidi wa Jehova wameanza lini ?
Ebu acha kuzunguka kama kuku alie katwa kichwa unaweza kuthibitisha kuwa Kalbi alikuwa shoga? ukiulizwa huku unaanza kutoa maelezo ambayo wala hayana uhusiano na ulicho ulizwaUnataka kutumia takiya kwamba kalbi alikuwa si li shoga , lilikuwa linakutwa chumbani na muhammad, Muhammad akawa akikutwa nae anadai ni jibril
Alafu jibril Kwanini achague kumuingia kalbi Kwanini asiinge ata paka ?
Wanakijiji walikuwa wakimuona kalbi wanamuita jibril
Kumbuka pia jibril alikuwa anaogopa mbwa akikuta kwa Muhammad Kuna mbwa haingii ndio unaona mpaka Leo waislamu mnaambiwa msifuge mbwa na mbwa pia ni adui wa majini na wachawi connect the dots
Ndio hata wewe unaweza kumrefer kama baba au umesahau Mathayo 6:9Kwa hiyo yeye ni mwana wa Mungu kwa sababu anamrefer Mungu kama baba
Hakuna injili ya Isa kwasasa kwasababu wakati wake ulishapita , ni useless sasa itabaki inasubiri nini?Tuletee injili ya nabii Issa siyo hekaya za Mudy.Yesu na Issa ni watu wawili tofauti na ndo maana injili ya Issa haipo na injili ya Yesu ipo