Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,240
Kwani unataka kusema hata hujui chochote kuhusu karne ipi waliishi?Hawa watu waliishi karne ipi?
Haiwezekani wakawa sawa na wala haisaidii chochote?Jee kujua kama ni sawa au tofauti itatusaidia nini?
Kuthibitisha hili ili iweje?Nani ana authority wa kutoa kauli ya mwisho katika kuthibitisha hili?
Tungepata mabaki yao labda DNA analysis ingeondoa utata au vipi?
Anyway, ni historia...kama ya Nyerere na muungano wake!
Hapana ni Watu wawili tofauti .na Pia Mungu wa Waislam sio yule Mungu wake Yesu Kristu- Ni Miungu miwili tofautiNimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.
Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.
Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.
Swali langu kwa wana Jamii Forums:
Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?
Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?
Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?
Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
TEAM KATAA NDOA MNAITWA HUKU..............Na kwa nini hakuwahi kuoa kama wanavyosema hawa vijana wa hovyo wa KATAA NDOA?
Tatizo kwenye hili suala ni wakristo kujimilikisha Yesu, yani hapo ndio mzizi wa tatizo kwa maana wao wanataka vile wanavyomuelezea na kumtambua wao basi ndio iwe hivyo hivyo kinyume na hivyo basi huyo sio Yesu. Lakini cha ajabu wakristo na waislamu wanapozungumzia majini huwa wote pamoja wanakusudia kitu kimoja japokuwa ukitizama maelezo ya uislamu majini ni tofauti na wakristo ila hukuti wakristo wakisema majini wanaoelezwa na waislamu ni majini tofauti na majini wenye kuelezwa na wakristo.
Yesu huyo huyo wengine wanasema ni Mungu na wengine wanasema sio Mungu, kwahiyo hata Yesu hayupo mmoja.Isa sio yesu na haŵawezi kuwa wamoja
Issa gani?Swali Dogo : Issa alisulubiwa?
Sio kila swali linajibu la moja kwa moja(illusion)Yesu huyo huyo wengine wanasema ni Mungu na wengine wanasema sio Mungu, kwahiyo hata Yesu hayupo mmoja.
waislamu wanasema Nabii Issa hakuzaliwa kwa njia ya kibaolojia i.e alizaliwa na bikra kwa neno la Mungu,Nimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.
Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.
Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.
Swali langu kwa wana Jamii Forums:
Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?
Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?
Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?
Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
Hata kwenye majini Kuna tofauti kubwa wakristo hakuna sehemu wanakwambia Kuna majini wazuri na kwenye uislam **** majini wazuri pia. Sasa kwa Yesu na Isa ipo tofauti uislam unasema hakufa ukristo amekufa na kufufuka. Hapo wanazungumziwa watu wawili tofauti.Tatizo kwenye hili suala ni wakristo kujimilikisha Yesu, yani hapo ndio mzizi wa tatizo kwa maana wao wanataka vile wanavyomuelezea na kumtambua wao basi ndio iwe hivyo hivyo kinyume na hivyo basi huyo sio Yesu. Lakini cha ajabu wakristo na waislamu wanapozungumzia majini huwa wote pamoja wanakusudia kitu kimoja japokuwa ukitizama maelezo ya uislamu majini ni tofauti na wakristo ila hukuti wakristo wakisema majini wanaoelezwa na waislamu ni majini tofauti na majini wenye kuelezwa na wakristo.
Mimi nimeonyesha tu kwamba kuna Yesu tofauti pia.Sio kila swali linajibu la moja kwa moja(illusion)
Kusema Yesu sio MUNGU ni sawa na kusema alikuja kwa mapenzi yake mwenyewe
Pili UMUNGU ni kama U-raisi:- umekamilishwa na Raisi mwenyewe, Makamu Raisi na Waziri Mkuu
Nako kwenye Umungu kuna Mungu Baba, Mungu mwana(Yesu) na Roho mtakatifu
Na utasemaje kama Yesu sio Mungu kama kila kitu kila umbwa na yeye?
Isa wa kwenye QuranIssa gani?
majuzi nilikua nasoma mtandaoni, what does the Quran say about Jesus, it seems kuna school of thought kadhaa zinaamini alisulubiwa (Swali Dogo : Issa alisulubiwa?