Sasa tukisema tusome Qur'an huko inaelezwa kwamba Mungu aliumba malaika,akaumba majini na kisha akaumba binaadamu. Maana yake majini waliumbwa na si sehemu ya kundi la malaika.Unazungumza kwa sababu umesoma ktk Quran si ndivyo??hata anayesema majini na mapepo ni malaika waasi anarejea bible,usimbishie.
Ktk bible malaika waovu waliweza mpaka kuzini na binaadam,sababu ya utofauti wa kiasili wakazaliwa kizazi cha wana wa laana.
Ktk bible malaika sio kiumbe dhaifu ni kiumbe wa daraja la juu sana tu ndio maana hata walipoasi hatuna mashaka na uwezo walio nao hata katika uovu wanaoufanya.
Mkuu wakristo kumfanya Yesu kuwa msingi wa imani yao hilo haliwapi uhalali wa kujimilikisha Yesu na hasa ukizingatia huo ukristo wenyewe ulikuja baada ya Yesu, hivyo sioni haja ya kutumia nguvu kupinga kwamba Yesu sio Isa kiasi cha kusema Isa ni mtu mwengine kisa tu maelezo yake hayajafanana na biblia, ilitakiwa kuelewa tu kwamba anayekusudiwa ni mmoja sasa issue ya kwamba ni maelezo gani kumuhusu Yesu ni sahihi hilo linabaki kila mmoja atakavyo amini.Wakristo kwetu sisi Yesu ndio msingi wa imani yetu,kuanzia aina ya maisha aliyoishi ni ushuhuda,akija mtu yeyote akaeleza tofauti na maandiko yetu kumhusu Yesu lazima tumshangae.
Kama ambavyo atakuja mtu amwelezee Muhammad tofauti na nyinyi mlivyomjua,kumwita mtume sio tatizo maana hata sisi cheo hicho anacho,ila sio mtume tu.
Ikiwa mwandishi wa Quran angemuelezea Yesu kwa namna sahihi,ingetupa hata uhakika kwamba ni kweli mtu hiyo katumwa na Mungu.
Kama Mungu hajawahi kuumba majini sasa ilikuaje malaika waovu mseme ndio majini? Kwanini waitwe majini?Hapa ndipo Muhammad aliweka uwongo wake.
Katika biblia, MUNGU alimuumba malaika. Walioasi ndo walikuwa mashetani. Hii majini , Ibilisi na shetani ni kuchanganya ili uongo uingizwe -
Ni sawa na kusema Table na Meza
MUNGU hajawahi kuumba majini(kutokana na biblia)
Acha kufuta vifungu vya biblia, unachofanya ni ushetani
Luka 10:17 " Wale wanafunzi sabini na wawili wakarudi wakiwa na furaha. Wakamwambia Yesu, “Bwana, tukilitumia jina lako, hata pepo wanatutii!”
Wanamtii Yesu, na ni kwa sababu anawatesa
Luka 10:17 " _ _ Wakamwambia Yesu Bwana, tukilitumia jina lako, _ _ _
Mathayo 8:29 " Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu(Yesu)? Je! Umekuja kututesa kabla ya muhula wetu? "
Quran inamjua Roho mtakatifu, njoo na fungi linaloonesha
Point hata sio kuwepo majini wazuri, hata binaadamu hakuna mwenye asili ya uzuri au uovu bali matendo yake ndio yaatamfanya awe mwema au muovu, na ndio maana hata hilo jina shetani linatumika hadi kwa binaadamu endapo atakuwa anafanya maovu.Na nilisema toka awali mmelishwa ukweli, ulio changanywa na uongo.
Ni malaika ila walioasi,
Katika Biblia, MUNGU hajawahi kuumba jini, wala hakuna tofauti kati ya shetani, Ibilisi na mapepo,
hao ni malaika waasi.
Asikudanye mtu ni kitu kilekile
Tunarudi palepale kazi ya spoon au kijiko ni kula, na kazi ya jini au pepo ni kufanya possession anapomuingia mtu
Mathayo 8:28 -29 " Naye alipofika ng’ambo, katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo walikutana naye, wanatoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile.Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu? Je! Umekuja kututesa kabla ya muhula wetu?"
Na ukiangalia atakayewapiga mashetani siku ya mwisho ni Yesu.
Na kati inayoongoza kuwa na waumini wengi wenye pepo ambao ndio majini yenyewe ni nyinyi waislamu.
Hakunaga shetani mzuri, usidanganywe kuna majini wema na wabaya. Huo ni mtego
Hao watu wawili walishi katika zama moja au waliishi zama tofauti kila mmoja?Kobaz Issa sio Yesu.
Hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Kobaz Issa sio Yesu.
Hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Hata Ww umetoka kizazi cha zinaa, kuna mtu kapanuliwa mapaja huko ndo ukatokea wwWavalishwa Pampers, Ni kweli, Yesu kwa mujibu wa Biblia haingii katika ufalme wa Mungu , kwani amezaliwa kutoka kizazi cha zinaa
Kuran na biblia zimeelezea yote hayo.Hao watu wawili walishi katika zama moja au waliishi zama tofauti kila mmoja?
Hata Ww umetoka kizazi cha zinaa, kuna mtu kapanuliwa mapaja huko ndo ukatokea ww
Hata Ww umetoka kizazi cha zinaa, kuna mtu kapanuliwa mapaja huko ndo ukatokea ww
A bastard shall not enter into the congregation of the LORD; even to his tenth generation shall he not enter into the congregation of the LORD.
Deuteronomy 23:2
Nani aliandika kuwa kuna malaika waovu ???Kama Mungu hajawahi kuumba majini sasa ilikuaje malaika waovu mseme ndio majini? Kwanini waitwe majini?
Ndivyo wakristo wanavyosema kwamba kuna malaika waliyoasi na hao ndio waovu.Nani aliandika kuwa kuna malaika waovu ???
Kuelezea vp kwamba kuna kipindi aliishi Yesu na kuna kipindi aliishi Isa?Kuran na biblia zimeelezea yote hayo.
Hiyo ni Quran ambayo ktk elimu hii pia inajichanganya,wakati Allah anasema malaika wamsujudie adam shetani aligoma.Sasa tukisema tusome Qur'an huko inaelezwa kwamba Mungu aliumba malaika,akaumba majini na kisha akaumba binaadamu. Maana yake majini waliumbwa na si sehemu ya kundi la malaika.
ukristo haukuja baada ya Yesu kuondoka,sema umetajwa baada ya Yesu kuondoka,nikikwambia uislam umekuja na Muhammad unakataa,kwa sababu unasema uislam ni tafsiri ya neno kujinyeyekeza kwa Alla.Mkuu wakristo kumfanya Yesu kuwa msingi wa imani yao hilo haliwapi uhalali wa kujimilikisha Yesu na hasa ukizingatia huo ukristo wenyewe ulikuja baada ya Yesu,
Nawewe kwanini ulazimishe kuwa ndiye huyo huyo,tunaokataa ni sisi,sisi tuna Yesu nyie mna issah kwanini hamjiamini naye??hivyo sioni haja ya kutumia nguvu kupinga kwamba Yesu sio Isa kiasi cha kusema Isa ni mtu mwengine kisa tu maelezo yake hayajafanana na biblia,
Aliyekusudiwa hapa kuwa mmoja tunalinganisba taarifa za msingi kuwahusu,miaka 400 ijayo,akija mtu akasema Mtume Muhammad alikufa aliuawa kwa kuliwa na simba,atakuwa anamjua Muhammad mnayemjua kweli??ilitakiwa kuelewa tu kwamba anayekusudiwa ni mmoja sasa issue ya kwamba ni maelezo gani kumuhusu Yesu ni sahihi hilo linabaki kila mmoja atakavyo amini.
HAwawezi kupinga hilo sababu lina walakini pia hata ktk vichwa vyao.Na ndio maana nikatolea mfano wa majini na malaika waovu, huoni waislamu wakitumia nguvu kupinga kwamba majini sio malaika waovu japokuwa Qur'an imewaeleza kwa kina majini na tfauti kabisa na maelezo ya wakristo.
NdioKuelezea vp kwamba kuna kipindi aliishi Yesu na kuna kipindi aliishi Isa?
Kijadala cha Makobaz ndivyo kinavyosemaNdivyo biblia ya Nabii wako Tito inavyosema??