Unayo ambayo haijachakachuliwa???Unaruka mkojo unakanyaga mavi huyo anayesema hapo kwenye Mathayo ni nani ?? Mkorinto??
Tunarudi kulekule Mkorinto ndiye anayesema
Tumieni akili, nyinyi viumbe , hizo biblia zimechakachuliwa vibaya sana
Unayo ambayo haijachakachuliwa???
Unayo ambayo haijachakachuliwa???
KWahiyo wewe umejuaje hizi ni fake ikiwa OG haipo??Itakuwepo ???? na watu wanatafuta ugali na madaraka na utajiri??
KWahiyo wewe umejuaje hizi ni fake ikiwa OG haipo??
Si ndio maana Muhammad alifanikiwa.Wazee wa kanisa hao wasikilize maneno yao
There is nothing so easy as by sheer volubility to deceive a common crowd or an uneducated congregation.’
– St. Jerome (Epistle to Nepotian, Lii, 8.)
sio wewe uliyesema biblia imechakachuliwa!!!au unakataa madai yako mara hii??Sijasema mimi , hivi akili yako ipo ??, hao wanaosema hivyo ni hao wataalamu wenu wanaokutafsiria biblia ??
sio wewe uliyesema biblia imechakachuliwa!!!au unakataa madai yako mara hii??
Si ndio maana Muhammad alifanikiwa.
Halafu ni muhimu kufahamu kuwa jina Yesu ni jina la kawaida kabisa huko Israel. Hivyo, ukitaka kufahamu ni Yesu huyu aliye mwokozi lazima Umwite Yesu Kristo. Kwa hiyo kuna mayest wengi tu. Hata kwenye Biblia kuna anayeitwa Yesu Yusto.Ndio ukubali kwamba Yesu ambaye ni Mungu ni tofauti na Yesu ambaye si Mungu.
ukristo haukuja baada ya Yesu kuondoka,sema umetajwa baada ya Yesu kuondoka,nikikwambia uislam umekuja na Muhammad unakataa,kwa sababu unasema uislam ni tafsiri ya neno kujinyeyekeza kwa Alla.
Nawewe kwanini ulazimishe kuwa ndiye huyo huyo,tunaokataa ni sisi,sisi tuna Yesu nyie mna issah kwanini hamjiamini naye??
Aliyekusudiwa hapa kuwa mmoja tunalinganisba taarifa za msingi kuwahusu,miaka 400 ijayo,akija mtu akasema Mtume Muhammad alikufa aliuawa kwa kuliwa na simba,atakuwa anamjua Muhammad mnayemjua kweli??
HAwawezi kupinga hilo sababu lina walakini pia hata ktk vichwa vyao.
Kwahiyo wakristo nao wanalazimisha kwamba majini waliyotajwa kwenye Qur'an ndio wawe malaika waovu waliyotajwa kwenye biblia?ukristo haukuja baada ya Yesu kuondoka,sema umetajwa baada ya Yesu kuondoka,nikikwambia uislam umekuja na Muhammad unakataa,kwa sababu unasema uislam ni tafsiri ya neno kujinyeyekeza kwa Alla.
Nawewe kwanini ulazimishe kuwa ndiye huyo huyo,tunaokataa ni sisi,sisi tuna Yesu nyie mna issah kwanini hamjiamini naye??
Aliyekusudiwa hapa kuwa mmoja tunalinganisba taarifa za msingi kuwahusu,miaka 400 ijayo,akija mtu akasema Mtume Muhammad alikufa aliuawa kwa kuliwa na simba,atakuwa anamjua Muhammad mnayemjua kweli??
HAwawezi kupinga hilo sababu lina walakini pia hata ktk vichwa vyao.
Wapi umepata hayo?Ndio
Soma kuran na bibliaWapi umepata hayo?
Hakuna ushahidi wa kuwahi kuwepo hao wawili.Ukisoma Biblia na Quran ni watu wawili tofauti
Biblia imemzungumzia mtu mwenye kuitwa Yesu na Qur'an ikaja ikamzungumzia huyo huyo na imeeleza kabisa wazi nani inamkusudia, sasa wewe ukisema hao ni watu wawili tofauti ndio labda uonyeshe wapi hapo palipoeleza hivyo?Soma kuran na biblia
Hakuna anayelazimisha,infact mnaamini ni waumini wenzenu kwa Allah,tutaanzaje kuwanathibisha na waliotajwa katika Biblia??Kwahiyo wakristo nao wanalazimisha kwamba majini waliyotajwa kwenye Qur'an ndio wawe malaika waovu waliyotajwa kwenye biblia?
Kipi kinatofautisha simba dangote na simba wa serengeti??Biblia imemzungumzia mtu mwenye kuitwa Yesu na Qur'an ikaja ikamzungumzia huyo huyo na imeeleza kabisa wazi nani inamkusudia, sasa wewe ukisema hao ni watu wawili tofauti ndio labda uonyeshe wapi hapo palipoeleza hivyo?
Nimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.
Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.
Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.
Swali langu kwa wana Jamii Forums:
Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?
Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?
Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?
Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
Point yako ni ipi? Kwamba Ibilisi alikuwa malaika ila akakataa amri ya Mungu?Walioambiwa wasujudu ni malaika au majini?alikuwa ni jini aliyeumbwa kwa moto au upepo??
Kwenye Biblia imesemaje kuhusu kuzaliwa kwake, na kwenye kuran imesemaje kuhusu kuzaliwa kwake?Biblia imemzungumzia mtu mwenye kuitwa Yesu na Qur'an ikaja ikamzungumzia huyo huyo na imeeleza kabisa wazi nani inamkusudia, sasa wewe ukisema hao ni watu wawili tofauti ndio labda uonyeshe wapi hapo palipoeleza hivyo?