Yesu alikuwa Kristo!Watu wengi hujiuliza: Je, Nabii Issa bin Maryam (Yesu) alikuwa Mkristo?
Swali hili linahitaji kufafanuliwa kwa elimu, mantiki na ushahidi wa kweli kutoka katika Qur-aan na hata maandiko yanayohusishwa na Wakristo.
Ukweli ni kwamba:
Issa bin Maryam (Yesu) hakuwa Mkristo, bali alikuwa Muislamu aliyemwabudu Allah Mmoja pekee na aliwaita watu kwenye Tawhiid.
Kwa sababu:
Ukristo ulianza baada ya kunyanyuliwa kwa Issa عليه السلام.
Issa mwenyewe hakuwahi kusema “Mimi ni Mungu”.
Hakuwahi kusema “Niabuduni”.
Hakuwahi kufundisha Utatu (Trinity).
Maana ya “Muislamu”
“Muislamu” maana yake ni:
Mtu anayejisalimisha kwa Allah kwa Tawhiid na kumtii.
Hivyo Mitume wote walikuwa Waislamu:
Adam
Nuh
Ibrahim
Musa
Issa
Muhammad ﷺ
Wote walikuja na ujumbe mmoja:
“Mwabuduni Allah peke yake.”
Ushahidi Kutoka Qur-aan
1. Issa Aliwaita Watu Wamwabudu Allah
Allah amesema:
إِنَّ اللَّهَ رَبِّي وَرَبُّكُمْ فَاعْبُدُوهُ ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُسْتَقِيمٌ
“Mwenyezi Mungu ni Mola wangu na Mola wenu, basi muabuduni Yeye. Hii ndiyo njia iliyonyooka.”
— Surat Aal Imraan 3:51
Hapa Issa anasema wazi:
Allah ni Mola wake.
Allah ni Mola wa watu wengine.
Watu wamwabudu Allah, si yeye.
Mtu anayesema:
“Muabuduni Allah”
hawezi kuwa Mungu.
2. Issa Hakudai Uungu
Allah amesema:
مَا الْمَسِيحُ ابْنُ مَرْيَمَ إِلَّا رَسُولٌ
“Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume.”
— Surat Al-Maaidah 5:75
Qur-aan imesema wazi:
Issa ni Mtume.
Si Mungu.
Si mwana wa Mungu.
3. Mitume Wote Walikuwa Waislamu
Allah amesema kuhusu Ibrahim:
مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَٰكِن كَانَ حَنِيفًا مُّسْلِمًا
“Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mcha Mungu Muislamu.”
— Surat Aal Imraan 3:67
Kama Ibrahim hakuwa Mkristo, basi hata Issa hakuwa Mkristo, kwa sababu Ukristo haukuwepo kabla yake.
Je, Ukristo Ulianza Lini?
Neno “Mkristo” lilianza baada ya Issa kunyanyuliwa.
Katika Biblia yenyewe imeandikwa:
“Wanafunzi wakaanza kuitwa Wakristo kwanza huko Antiokia.”
— Matendo 11:26
Hii inaonyesha:
Issa hakuwahi kujiita Mkristo.
Wala hakuwaita wafuasi wake Wakristo.
Jina hilo lilikuja baadaye.
Je, Issa Alihubiri Utatu?
Hakuna sehemu Issa aliposema:
Mungu ni watatu.
Mimi ni sehemu ya Utatu.
Niabuduni mimi.
Badala yake alisema:
“Msikie Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja.”
— Marko 12:29
Huu ndio ujumbe wa Tawhiid.
Issa Aliswali Kama Waislamu
Katika Biblia:
Alikuwa akisujudu.
Alifunga.
Aliomba kwa Allah.
Alisema:
“Si mapenzi yangu bali yako yatimizwe.”
Mungu haombi kwa Mungu mwingine.
Je, Issa Ni Mwana wa Mungu?
Allah amesema:
لَقَدْ كَفَرَ الَّذِينَ قَالُوا إِنَّ اللَّهَ هُوَ الْمَسِيحُ ابْنُ مَرْيَمَ
“Kwa yakini wamekufuru wale wanaosema Mwenyezi Mungu ndiye Masihi mwana wa Maryam.”
— Surat Al-Maaidah 5:72
Na Issa mwenyewe alisema:
“Ninakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
— Yohana 20:17
Kama Issa ana “Mungu wangu”, basi yeye si Mungu.
Ujumbe wa Kweli wa Issa
Ujumbe wa Issa ulikuwa:
Muabuduni Allah mmoja.
Acheni shirk.
Fuateni Mitume.
Tubu kwa Allah.
Jiandaeni kwa Akhera.
Na hata alimtabiri kuja kwa Mtume Muhammad ﷺ.
Allah amesema:
وَمُبَشِّرًا بِرَسُولٍ يَأْتِي مِن بَعْدِي اسْمُهُ أَحْمَدُ
“Na mwenye kutoa bishara ya Mtume atakayekuja baada yangu jina lake Ahmad.”
— Surat As-Saff 61:6
Hitimisho
Issa bin Maryam:
Hakuwa Mungu.
Hakuwa mwana wa Mungu.
Hakuwa Mkristo.
Alikuwa Mtume mkubwa wa Allah.
Alikuwa Muislamu mwenye kumwabudu Allah mmoja.
Na dini ya Mitume wote ilikuwa moja:
Tawhiid — kumuabudu Allah peke yake bila kumshirikisha.
Mwisho
Allah amesema:
إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ
“Bila shaka dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.”
— Surat Aal Imraan 3:19
Isa alibatizwa?Watu wengi hujiuliza: Je, Nabii Issa bin Maryam (Yesu) alikuwa Mkristo?

Waislam n kama vile wana matatizo ya akiliYani hawa jamaa ni bora ufuge kondoo ulale nayo chumba kimoja kuliko kuishii nao, watu wangese sana
Yesu siyo Issa ndiyo maana hakuna muislamu yoyote atakayeweza kujibu swali 1-5 na kigezo cha kutumia Issa ndiyo Yesu ni kwamba Quran haina maelezo ya kutosha kuhusu Issa (ni kutafuta huruma kwenye ukristo) Hakuna sehemu yoyote kwenye Quran imeandika Yesu, kwanini wewe useme ni Yesu? Issa alizaliwa chini ya mtende kwa maana hiyo Issa hajulikani mahali (mji) alipozaliwa.Watu wengi hujiuliza: Je, Nabii Issa bin Maryam (Yesu) alikuwa Mkristo?
Swali hili linahitaji kufafanuliwa kwa elimu, mantiki na ushahidi wa kweli kutoka katika Qur-aan na hata maandiko yanayohusishwa na Wakristo.
Ukweli ni kwamba:
Issa bin Maryam (Yesu) hakuwa Mkristo, bali alikuwa Muislamu aliyemwabudu Allah Mmoja pekee na aliwaita watu kwenye Tawhiid.
Kwa sababu:
Ukristo ulianza baada ya kunyanyuliwa kwa Issa عليه السلام.
Issa mwenyewe hakuwahi kusema “Mimi ni Mungu”.
Hakuwahi kusema “Niabuduni”.
Hakuwahi kufundisha Utatu (Trinity).
Maana ya “Muislamu”
“Muislamu” maana yake ni:
Mtu anayejisalimisha kwa Allah kwa Tawhiid na kumtii.
Hivyo Mitume wote walikuwa Waislamu:
Adam
Nuh
Ibrahim
Musa
Issa
Muhammad ﷺ
Wote walikuja na ujumbe mmoja:
“Mwabuduni Allah peke yake.”
Ushahidi Kutoka Qur-aan
1. Issa Aliwaita Watu Wamwabudu Allah
Allah amesema:
إِنَّ اللَّهَ رَبِّي وَرَبُّكُمْ فَاعْبُدُوهُ ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُسْتَقِيمٌ
“Mwenyezi Mungu ni Mola wangu na Mola wenu, basi muabuduni Yeye. Hii ndiyo njia iliyonyooka.”
— Surat Aal Imraan 3:51
Hapa Issa anasema wazi:
Allah ni Mola wake.
Allah ni Mola wa watu wengine.
Watu wamwabudu Allah, si yeye.
Mtu anayesema:
“Muabuduni Allah”
hawezi kuwa Mungu.
2. Issa Hakudai Uungu
Allah amesema:
مَا الْمَسِيحُ ابْنُ مَرْيَمَ إِلَّا رَسُولٌ
“Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume.”
— Surat Al-Maaidah 5:75
Qur-aan imesema wazi:
Issa ni Mtume.
Si Mungu.
Si mwana wa Mungu.
3. Mitume Wote Walikuwa Waislamu
Allah amesema kuhusu Ibrahim:
مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَٰكِن كَانَ حَنِيفًا مُّسْلِمًا
“Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mcha Mungu Muislamu.”
— Surat Aal Imraan 3:67
Kama Ibrahim hakuwa Mkristo, basi hata Issa hakuwa Mkristo, kwa sababu Ukristo haukuwepo kabla yake.
Je, Ukristo Ulianza Lini?
Neno “Mkristo” lilianza baada ya Issa kunyanyuliwa.
Katika Biblia yenyewe imeandikwa:
“Wanafunzi wakaanza kuitwa Wakristo kwanza huko Antiokia.”
— Matendo 11:26
Hii inaonyesha:
Issa hakuwahi kujiita Mkristo.
Wala hakuwaita wafuasi wake Wakristo.
Jina hilo lilikuja baadaye.
Je, Issa Alihubiri Utatu?
Hakuna sehemu Issa aliposema:
Mungu ni watatu.
Mimi ni sehemu ya Utatu.
Niabuduni mimi.
Badala yake alisema:
“Msikie Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja.”
— Marko 12:29
Huu ndio ujumbe wa Tawhiid.
Issa Aliswali Kama Waislamu
Katika Biblia:
Alikuwa akisujudu.
Alifunga.
Aliomba kwa Allah.
Alisema:
“Si mapenzi yangu bali yako yatimizwe.”
Mungu haombi kwa Mungu mwingine.
Je, Issa Ni Mwana wa Mungu?
Allah amesema:
لَقَدْ كَفَرَ الَّذِينَ قَالُوا إِنَّ اللَّهَ هُوَ الْمَسِيحُ ابْنُ مَرْيَمَ
“Kwa yakini wamekufuru wale wanaosema Mwenyezi Mungu ndiye Masihi mwana wa Maryam.”
— Surat Al-Maaidah 5:72
Na Issa mwenyewe alisema:
“Ninakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
— Yohana 20:17
Kama Issa ana “Mungu wangu”, basi yeye si Mungu.
Ujumbe wa Kweli wa Issa
Ujumbe wa Issa ulikuwa:
Muabuduni Allah mmoja.
Acheni shirk.
Fuateni Mitume.
Tubu kwa Allah.
Jiandaeni kwa Akhera.
Na hata alimtabiri kuja kwa Mtume Muhammad ﷺ.
Allah amesema:
وَمُبَشِّرًا بِرَسُولٍ يَأْتِي مِن بَعْدِي اسْمُهُ أَحْمَدُ
“Na mwenye kutoa bishara ya Mtume atakayekuja baada yangu jina lake Ahmad.”
— Surat As-Saff 61:6
Hitimisho
Issa bin Maryam:
Hakuwa Mungu.
Hakuwa mwana wa Mungu.
Hakuwa Mkristo.
Alikuwa Mtume mkubwa wa Allah.
Alikuwa Muislamu mwenye kumwabudu Allah mmoja.
Na dini ya Mitume wote ilikuwa moja:
Tawhiid — kumuabudu Allah peke yake bila kumshirikisha.
Mwisho
Allah amesema:
إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ
“Bila shaka dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.”
— Surat Aal Imraan 3:19
Umeandika wayahudi wana dini yao , ni dini gani hiyo ??Usemachio ni kweli , yesu sio Mungu, na ukristo ulianza baada ya Yesu kuondoka duniani wale walikuwa wanamfuata wakaitwa wafuasi WA Yesu au kristo. Kwa hiyo ndo hao wakristo .
Hoja ya kuwa Yesu aliokuwa muislsmu na yenyewe sio sawa Kwa sababu alkuwa ni myahudi na nijuavyo Mimi wayahudi wanadini yao
Yesu siyo Issa ndiyo maana hakuna muislamu yoyote atakayeweza kujibu swali 1-5 na kigezo cha kutumia Issa ndiyo Yesu ni kwamba Quran haina maelezo ya kutosha kuhusu Issa (ni kutafuta huruma kwenye ukristo) Hakuna sehemu yoyote kwenye Quran imeandika Yesu, kwanini wewe useme ni Yesu? Issa alizaliwa chini ya mtende kwa maana hiyo Issa hajulikani mahali (mji) alipozaliwa.
Ili uwe muislamu lazima utumie lugha ya kiarabu kuabudu (ni lazima na siyo ombi) na pia lazima ufuate nguzo za kiislamu (uende Macca kuhiji na kumponda shetani mawe). Na waislamu hulazimisha Yesu ni Issa kwasababu haina maelezo ya kutosha na hutumia kigezo cha mavazi. Mavazi aliyokuwa anavaa Yesu ni utamaduni wa mavazi waliyokuwa wanavaa mashariki ya kati.
Kudhihirisha Quran ina mapungufu makubwa na mengi hakuna muislamu yoyote chini ya jua atakayojibu haya maswali kwa kutumia Quran ndiyo maana habari za Issa hufananisha na za Yesu lakini ukumbukwe Issa siyo Yesu.
1. Neno Yesu limeandikwa kwenye Quran?
2. Kama halipo kwanini useme Issa ni Yesu wakati jina Yesu halipo kwenye Quran? Kwa maana hiyo Quran ina mapungufu
3. Issa alizaliwa wapi?
4. Nitajie majina ya wafuasi wa Issa?
5. Wafuasi wa Issa walikuwa wangapi?
hata nguzo ziliitwa kristo ndani ya bibliaYesu alikuwa Kristo!
Isa alibatizwa?
Waislam n kama vile wana matatizo ya akili
hiyo ni injili ya de Gunner ilivyoandika ??Yesu ni transplant ya nyani(primal humans) na Anunaki viumbe kutoka nje ya milky way(ulimwengu wetu) so walichukua nyani Waka toa mbegu kwao pia alafu Waka fuse. Akatokea mwanadamu(yesu) ambaye alikuwa na uwezo wa kiungu. Maana hao aliens walioshindwa namna ya kuwa control watu so wakamtimia yesu kama kiongozi.
Kamwe wakristo hatuwezi kutumia vitabu vya majini wa mapango ya makkha kujadili kuhusu utukufu wa BWANA WETU YESU KRISTO.
-Wakristo hatuna muda mchafu wa kujadili habari za mtu aliyechawiwa na akachawika
-wakristo hatuna muda mchafu wa kujadili imani za mtu aliyeoa kabinti ka miaka tisa halafu kuna watu wanamuita mtume.
endeleeni kuamini imani yenu ya kupga jiwe jeusi na sisi tuendelee kumuabudu aliyeshinda umauti. huyo ni MUNGU MKUU, MSHAURI WA AJABU, MFALME WA WAFALME.
Tutolee hapa ujinga wenu kuwaita wabakaji eti mtume wa allah!
1. Yesu siyo Isa kwa kiarabu. Nitumie screenshot ya Biblia ya Kiarabu kama utaona kuna jina IsaKwanza, hoja zako zinaonyesha hujui tofauti kati ya tafsiri ya majina na utambulisho wa mtu.
Sasa na mimi nikuulize: Neno "Utatu" halipo popote kwenye Biblia. Kwa nini mnalifundisha? Neno "Mungu Mwana" halipo kwenye Biblia. Kwa nini mnalitumia? Kama kutokuwepo kwa neno fulani kunamaanisha fundisho ni batili, basi kwanza eleza hayo kabla ya kuikosoa Qurani.
- Ukisema jina "Yesu" halipo kwenye Qurani, ni kweli. Lakini hata jina "Jesus" halipo kwenye Biblia za Kiebrania. Jina la asili ni Yeshua. Kwa Kiarabu anaitwa Isa. Kwa Kiingereza Jesus. Kwa Kiswahili Yesu. Je, hao wote ni watu tofauti au ni mtu mmoja anayejulikana kwa lugha tofauti?
- Qurani inamtaja Isa kuwa ni Masihi, mwana wa Mariamu. Huyo ni nani mwingine katika historia isipokuwa Yesu mwana wa Mariamu? Kama si Yesu, basi taja Masihi mwingine aliyezaliwa na Mariamu.
- Kuhusu alipozaliwa, Qurani haikutaja jina la mji. Lakini kutokutaja mji si ushahidi kwamba mtu huyo hajulikani. Biblia pia haikutaja mambo mengi ambayo ungependa kuyajua kuhusu Yesu.
- Kuhusu majina ya wanafunzi wake, Qurani imewaita Al-Hawariyyun (wafuasi/wanafunzi). Kutotaja majina yao yote hakubadilishi ukweli kwamba walikuwepo. Hata Biblia haijataja majina ya kila aliyemfuata Yesu.
- Kuhusu idadi yao, Qurani haikukusudia kuwa kitabu cha historia ya kina kama Injili. Kusudi lake ni kutoa mwongozo wa dini. Ndiyo maana haijatoa orodha za majina na idadi katika kila tukio.
Yani hawa jamaa ni bora ufuge kondoo ulale nayo chumba kimoja kuliko kuishii nao, watu wangese sana
1. Yesu siyo Isa kwa kiarabu. Nitumie screenshot ya Biblia ya Kiarabu kama utaona kuna jina Isa
2. Kama jina Isa ni la kiarabu kwanini kwenye Quran ya Kiswahili hakuna neno Yesu?
3. Kama Isa ni Yesu kwanini kwenye Quran haitaji mji? Alizaliwa chini ya mtende huoni kama Quran ina mapungufu makubwa.
4. Wafuasi wa Isa hawajulikani
Isa na Yesu ni watu wawili tofauti na hawana uhusiano wowote ndiyo maana Quran haijaeleza mahali alipozaliwa, idadi ya wafuasi wake na na majina ya wafusi wake
Mbona unaandika maelezo mengi sana wakati maswali yanaeleweka.Hoja zako hazithibitishi kwamba Isa na Yesu ni watu wawili tofauti, bali zinaonyesha tu kwamba Qurani haikueleza kila jambo unalotaka kujua.
Kama Isa si Yesu, basi taja huyo Isa mwingine ni nani?
Ni nani huyo aliyekuwa Masihi?
Ni nani huyo aliyekuwa mwana wa Mariamu?
Ni nani huyo aliyezaliwa na bikira?
Ni nani huyo aliyefanya miujiza kwa idhini ya Mungu?
Qurani inamtaja mtu mwenye sifa hizo zote, na historia nzima ya Wayahudi, Wakristo na Waislamu haimjui mtu mwingine isipokuwa Yesu mwana wa Mariamu.
Halafu hoja yako ya “Qurani haikutaja mji” ni dhaifu sana. Biblia haijataja tarehe ya kuzaliwa Yesu, umri wake katika miaka mingi ya maisha yake, sura yake, urefu wake wala rangi yake. Je, kwa sababu hiyo Yesu wa Biblia hajulikani?
Na kuhusu wanafunzi wake, kutotajwa majina yao katika Qurani hakuwafanyi wasijulikane. Qurani si kitabu cha wasifu wa wanafunzi wa Yesu; ni kitabu cha mwongozo.
Bado hujajibu swali rahisi: Kama Isa si Yesu, basi huyo Isa mwana wa Mariamu ni nani hasa katika historia?
Kwa kutumia Qurani pekee:Mbona unaandika maelezo mengi sana wakati maswali yanaeleweka.
Jibu haya maswali kwa kutumia Quran
1. Isa alizaliwa mji gani?
2. Nitajie majina ya wafuasi wa Isa?
3. Wafuasi wa Isa walikuwa wangapi?
Nitumie screenshot ya Biblia ya Kiarabu ambayo inaonesha neno Isa. Ili tujue kuwa Yesu ni Isa kwa kiarabu
Watu wengi hujiuliza: Je, Nabii Issa bin Maryam (Yesu) alikuwa Mkristo?