mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Nimewahi kukuambia na naendelea kukusisitizia.Kwani Biblia ni kitabu kitukufu ? Je ni kitabu cha mtume gani ?
Halafu hii hoja yako dhaifu ya kutaka upewe "manuscript" ya Qur'aan nikishakujibu mara kibao lakini unaonekana umekaa kubisha bishana na si kujifunza. Nilikwambia hivi sisi tuna sanadi mpaka kufika kwa mtume,na Qur'aan tangu mtume yuko hai maswahaba walikuwa wanaihifadhi vifuani mpaka leo watu wanaihifadhi Qur'aan vifuani na elimu huenda kwa kuridhishana,leo hii mpaka kiama kinasimama hakuna hata wale walio muona Yesu walio hifadhi Injili yote vifuani,Yesu aliondoka na Injili yake.
Ajabu sasa nataka wewe uniambie iko wapi ile Injili aliyokuja nayo Yesu hata kipande cha nusu ukurasa ? Sababu Musa alikuwa na Torati,Daudi alikuwa na Zaburi. Sasa hapa ndipo utakapo kujua dhamiri ya kitabu sio mpaka kiwe cha kushikika mkononi.
Usinieletee habari za kina Luka,Mathayo,John na Marko ambao kati ya wawili hao hawakumdiriki Yesu vipi tuwaamini lwa yale wayasemayo ?
naomba ushahidi kuwa Yesu alikuja kuandika Injili. '' Kusema quran imesema sio ushahidi maana, injili ipo kabla ya quran''.Ina maana hamna Injili aliyokuja nayo Issa mwenyewe bali mna vitabu vya historia ya Yesu na miujiza yake. Sasa ndio mtuletee ile Injiki ya Yesu mwenyewe.
Malaika waovu hao wote mkuu. utajua siku wakikuchenjia.Kwangu mimi hii sio elimu bali ni ujinga na uongo ulio wazi kabisa.
Kabla sijasema yaliyo sahihi,je unaweza kunipa andiko kutoka katika kitabu chenu linalo thibitisha ya kuwa hao ni malaika ?
naomba injili aliyopewa isa, au nionyeshe hiyo aliyopewa alafu sisi tumeichakachua. au majini wameeiba hata hiyo potofu.Mtume lazima aamini hilo bali sisi wafuasi wake tuna amini hilo,ila hapa inazungumziwa Injili aliyo pewa Issa na sio Injili ya Mathayo,Marko,Luka wala John.
hilo hoja ya Quran, ntaomba niianzishie mada tuchimbe kwa kina, nitakutag ila uje na hoja usije na evidenceless arguments.
Kama ulikuwa unacopy na kupaste zile articles za ELEMA anza kusoma. Ila ukiniruhusu na kamamukiwa tayari kujifunza.
kwa sasa naomba ushahidi wa huo mnyororo wakati kama ulikuwa ujui chanzo cha kuandika quran ilikuwa ni baada ya kila mtu kuwa anasema lake. hadi leo kila mmoja anatafsiri lwake.
Nimewahi kukuambia na naendelea kukusisitizia.
Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na mitume, manabii na watumishi wa Mungu walioongozwa na Roho mtakatifu wasiopungua 30
Imeandikwa kwa kipindi cha zaidi ya miaka 1500 katika mazingira tofauritofauti kwa mfumo tofautitofauti mfano mashairi, mithali, hadithi, unabii, masimumulizi, etc.
Malaika waovu hao wote mkuu. utajua siku wakikuchenjia.
2 Cor 11:14 Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
naomba injili aliyopewa isa, au nionyeshe hiyo
Kama ulishindwa kujenga hoja huko nyuma,hutaweza kujenga hoja hata ukianzisha hiyo mada na kuijadili. Anzisha mada kisha uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
Sijawahi kuja na "Evidenceless" ndio maana mpaka leo unaendelea kubisha bisha ili kujifariji.
Kwa ufupi tu zile makala nilikuwa nazi copy na kupaste na ndio msimamo wangu uko vile vile kama nilivyokuwa na copy na ku paste na uzuri makala zile ni za kielimu na zina marejeo,kama ulishindwa kujenga hoj na kuzikosoa zile makala,hutaweza kufanya hivyo tena na mimi nimesoma elimu ya Qur'aan na historia yake kwahiyo wewe anzisha mada kisha tuijadili kielimu.
Ruhusa umepewa wala usiwe na shaka.
Qur'aan ilianza kuandikwa tangu mtume yuko hai na mtume amakufa hali ya kuwa Qur'aan imekamilika.
Unakubali kama Yesu hakuliacha jili tamko "Biblia" vipi ina maana nyinyi mnajua sana kuliko Yesu ?
Na nani aliwaambia mvifanye Taurati,Zaburi kufanya kama muongozo wenu ?
Hao mitume na manabii huo utume na unabii walikuwa wanapewa na nani ?
Ndio utuambie ilikuwaje mpaka ikawafikia nyinyi leo hii,yaani nataka utupe chain ya wapokezi mpaka ifike kwa Yesu bila kukatika.
naona umeanza usanii wakati unataka tujadili kielimu mkui.Injili aliyopewa Issa iko kwenye Lawhul Mahfoodh,sisi hatuko nayo,ila tunasadikisha ya kuwa kweli alipewa Injili na tunaamini hivyo sababu tumetajiwa kwenye Qur'aan.
Na sio tu mimi nikupe au sisi tukupe,yaani hapa duniani hakuna menye Injili ya Issa,hata nyie mnakiri ya kuwa wale walioandika hiyo iitwayo Injili waliandika juu ya maisha ya Yesu na harakati zake pamoja na miujiza aliyoitenda.
nimekupa Fungu la ziada Ufunuo 12Ila nyinyi mlinyimwa kweli maarifa,hivi kiumbe kikijigeuza mfano wa kiumbe fulani ndi hicho kiumbe chenyewe halisia ?
Huna ushahidi wa kuonyesha ya kuwa Majini,mapepo na mfano wake ni malaika au walikuwa malaika.
naona unayumba kila hoja inavyoyumba mkuu.Injili aliyopewa Issa iko kwenye Lawhul Mahfoodh,sisi hatuko nayo,ila tunasadikisha ya kuwa kweli alipewa Injili na tunaamini hivyo sababu tumetajiwa kwenye Qur'aan.
Na sio tu mimi nikupe au sisi tukupe,yaani hapa duniani hakuna menye Injili ya Issa,hata nyie mnakiri ya kuwa wale walioandika hiyo iitwayo Injili waliandika juu ya maisha ya Yesu na harakati zake pamoja na miujiza aliyoitenda.
Ya Mungu yaliyokufikia kupitia Yohana.Yohana 1 ni maneno ya nani hayo ??
: Naomba hata ushahidi wa kipande cha karatasi kilichoandikwa wakati mtume Yuko hai. Nitakutumia 10,000 ya Bundle mkuu bure.
hakipo duniani pote.
Nipe ushahidi wa utume na unabii wao kutoka kwa Mungu ?Mitume na manabii, walipewa na Mungu, na waliandika, ila habari za Torati, zaburi zote zipo ndizo hizo unazozisoma kwenye Bibilia. Hakuna kilichopotoka kama kipo nionyeshe, na kilipotoka lini na kwa ushahidi upi. Imefika wakati tuache kibishana tuelimishane kwa shahidi mbalimbali.
:Hii unayoipinga, angalau uanze kunionyesha hiyo unayodaiiliandikwa na Yesu
Ubarikiwe ntaanzia hapa.Una kichwa kigumu sana,sisi tuna "sanadi" na nyinyi hamna sanadi,baada ya zoezi la ukusanyaji wa Qur'aan kukamilika,makaratasi hayakuwa na haja tena,yaani yawepo ili iweje ? Wakati watu walikuwa wana Qur'aan vifuani na wanaendelea kurithishana ?
Nipe ushahidi wa utume na unabii wao kutoka kwa Mungu ?
Safi kabisa,mimi kwanza ukosoaji wangu kwenye Biblia uko wazi na huu ukiushindwa tangu kipindi kile,iko hivi,nitajie chain ya walio andika Bibli mpaka ifike kwa Yesu,ukiweza mimi nakuwa Mkristo.
Sijasema Yesu aliandika,na bora hata kama angekuwa ameandika kidogo mngepata pa kuegemea,yeye alifikisha ujumbe kisha akaenda zake. Ndio mtuambie Injiki ya Yesu mnayo na kama mnayo mmeipata wapi ?
naona umeanza usanii wakati unataka tujadili kielimu mkui.
Huku kwwnye Lawhul Mahfoodh (Preserved tablets)
aliziweka nani?
lini?
zilizhakachuliwaje?
mbona ulianza kusema sisi tumeichakachua? naomba uliiona wapi tulioichakachua?
mtume akiwa hai, nimetoa hapo haya ya Surah 5: 46-47 mtume anathibitisha wakati yupo hai, ilikuwepo, na anawataka wakristo wahukumiwe kwa hiyo kama aya ya 43 ( alitoka kwenye kiti cha hukumu ikawekwa torati ili imuhukumu myahudi, akasema myahudi atahukumiwa kwa torati).
Ubarikiwe ntaanzia hapa.
ila suala la injili ya Yesu unahaingaika hadi nakuonea huruma mkuu.
Wayahudi hawana cheo cha u "baba mlezi".Lakini haimfanyi Yusuf kupoteza hadhi ya baba mlezi wa Yesu....
Ya Mungu yaliyokufikia kupitia Yohana.
Masuali nnayokuuliza hujubi, unachoquote na unachosema hakiendani. Chukua mtama ule kwanza usihangaishe watuHizi akili za kukariri kiarabu eti lugha ya mungu wenu ni shida
Sasa wewe huoni kuwa Adam na Hawa wameumbwa kwa mfano wa Mungu?Hawa ni binadamu na waliumbwa na Mungu kama ni msomaji wa biblia kitabu cha mwanzo “ basi tumuumbe kwa sura na mfano wetu” means Adam na Hawa waliumbwa Mungu na kesi yao ni tofauti na ya Yesu ndo maana tunasema ni wazazi wa kwanza sio miungu wa kwanza