Tumia Quran kuthibitisha kuwa Isa ni Yesuπππ Alizaliwa wapi, ndugu zake, majina ya wafuasi wake na idadi ya wafuasi wake ili tujue ni yule Yesu Kristo wa kwenye Biblia Takatifuπππ
Neno masihi na bin Maryam siyo kigezo cha kumfanya Isa ni Yesu.
πππππ Kuthibitisha Isa ni Yesu kwa kutumia Quran ni ngumu sanaππππ π lazima ukimbilie kwenye Biblia Takatifu
Isa alizaliwa chini ya mtendeππππ.πππππππππππ
Isa na Yesu ni watu wawili tofauti na hawana uhusiano wowote ule. Quran imemtaja Isa kwahiyo kurejelea Yesu ni kwamba Quran haina maelezo ya kutosha. Ukilazimisha utajikuta umekimbilia kwenye Biblia Takatifuπππππ

Tumia Quran kueleza historia ya IsaπππWanafunzi wa Yesu, Walikuwapo Kweli au Walibuniwa?
Mitume hao walipaswa kuwa miongoni mwa watu kumi na wawili mashuhuri zaidi katika historia.
Tunaambiwa kwamba walichaguliwa binafsi na Yesu ili washuhudie matendo yake ya ajabu, wajifunze mafundisho yake ya hali ya juu, na kupeleka habari njema za ufalme wake hadi mwisho wa dunia.Jambo linaloshangaza zaidi ni kwamba tunajua mambo machache sana kuwahusu.
Hatuwezi hata kuwa na uhakika wa majina yao.
Injili zinataja zaidi ya majina ishirini yanayohusishwa na wale wanaoitwa wanafunzi kumi na wawili.
Kwa mfano, wakati mwingine Bartholomayo anaonekana kama Nathanaeli, Mathayo kama Lawi, na Yuda kama Thadayo, Lebayo au Dadao!
Inapaswa kuwa wazi kwamba kama wale kumi na wawili walikuwa watu halisi wa kihistoria, wenye jukumu muhimu sana katika kuanzishwa na kuenea kwa Kanisa, basi isingewezekana kuwepo mkanganyiko mkubwa kiasi hiki kuhusu swali la msingi la wao walikuwa kina nani hasa.
But what do we know about any of them?
πππππ Kuthibitisha Isa ni Yesu kwa kutumia Quran ni ngumu sanaππππ π lazima ukimbilie kwenye Biblia Takatifu
Isa alizaliwa chini ya mtendeππππ.πππππππππππ
Isa na Yesu ni watu wawili tofauti na hawana uhusiano wowote ule. Quran imemtaja Isa kwahiyo kurejelea Yesu ni kwamba Quran haina maelezo ya kutosha. Ukilazimisha utajikuta umekimbilia kwenye Biblia Takatifuπππππ
Tumia Quran kueleza historia ya Isaπππ
1. Isa alizaliwa mjini gani?
2. Majina ya wafuasi wa Isa
3. Idadi ya majina ya wafuasi wa Isa
Utakuja kugundua Isa ni wa mchongo na kwa lugha ya kiarabu hakuna neno Isa.
Hongera kwa kulazimisha Isa ndiyo Yesuππππ Quran yenyewe ilijua itaumbuka ndiyo maana iliandika alizaliwa chini ya mtende ππππ
Waandishi wa agano jipya walikuwa Wayahudi na wasomi wa agano la lake, Kuna mambo mengi tu walikuwa wanarejea huko agano la kale. Huhitaji akili kubwa kujua Muhamad alikopi hadithi za Wayahudi akachanganya na mambo yake ndio Quran ikapatikana. Alikopi habari za mungu mmoja na wahusika(characters) wote wa maandiko ya dini ya Kiyahudi, ni ushahidi rahisi sana. Huwezi kukuta Quran inaongelea mtume wa China, India, America, Africa au uarabuni nje ya Israel pamoja na kusema sijui kulikuwa na mitume zaidi ya laki waliowahi kutumiwa na Allah kwa jamii ya binadamu.Kama kufanana kwa simulizi kunathibitisha kunakili, basi hata Injili zenyewe zina simulizi nyingi zinazofanana na zile za Agano la Kale.
Je, tutasema waandishi wa Injili walikuwa wanachukua "vipande vya story za Wayahudi" tu? Bila shaka sivyo, kwa sababu wote wanazungumzia historia na manabii wale wale.
Pia si kweli kwamba Muhammad alichukua tu hadithi za Wayahudi na kuziongezea. Kuna mambo mengi ambayo Qurani inatofautiana nayo kabisa na mafundisho ya Kiyahudi na Kikristo. Kama lengo lingekuwa kunakili tu, kwa nini Qurani ikosoe baadhi ya imani zao na kupingana nazo katika masuala muhimu?
Zaidi ya hayo, kuwepo kwa simulizi zinazofanana hakuthibitishi chanzo chake. Ikiwa Musa, Ibrahim, Nuhu na Yesu walikuwa manabii wa Mungu kweli, ni kawaida kwa vitabu vinavyodai kutoka kwa Mungu mmoja kutaja watu hao hao.
Swali la msingi si kama kuna simulizi zinazofanana. Swali ni hili: Je, unaweza kuthibitisha kwa ushahidi kwamba Muhammad alinukuu kutoka chanzo fulani maalumu, au unaona tu kufanana kwa simulizi na kuhitimisha kwamba lazima alinakili?
Kufanana kwa habari si ushahidi wa kunakili; kwanza lazima uthibitishe chanzo, njia ya upatikanaji wa habari hizo, na ushahidi wa moja kwa moja wa kunukuu.
Tumia Quran kueleza historia ya Isaπππ
1. Isa alizaliwa mjini gani?
2. Majina ya wafuasi wa Isa
3. Idadi ya majina ya wafuasi wa Isa
Utakuja kugundua Isa ni wa mchongo na kwa lugha ya kiarabu hakuna neno Isa.
Hongera kwa kulazimisha Isa ndiyo Yesuππππ Quran yenyewe ilijua itaumbuka ndiyo maana iliandika alizaliwa chini ya mtende ππππ
Tumia Quran kueleza historia ya Isaπππ
1. Isa alizaliwa mjini gani?
2. Majina ya wafuasi wa Isa
3. Idadi ya majina ya wafuasi wa Isa
Utakuja kugundua Isa ni wa mchongo na kwa lugha ya kiarabu hakuna neno Isa.
Hongera kwa kulazimisha Isa ndiyo Yesuππππ Quran yenyewe ilijua itaumbuka ndiyo maana iliandika alizaliwa chini ya mtende ππππ
Tumia Quran kueleza historia ya Isaπππ
1. Isa alizaliwa mjini gani?
2. Majina ya wafuasi wa Isa
3. Idadi ya majina ya wafuasi wa Isa
Utakuja kugundua Isa ni wa mchongo na kwa lugha ya kiarabu hakuna neno Isa.
Hongera kwa kulazimisha Isa ndiyo Yesuππππ Quran yenyewe ilijua itaumbuka ndiyo maana iliandika alizaliwa chini ya mtende ππππ
Tumia Quran kueleza historia ya Isaπππ
1. Isa alizaliwa mjini gani?
2. Majina ya wafuasi wa Isa
3. Idadi ya majina ya wafuasi wa Isa
Utakuja kugundua Isa ni wa mchongo na kwa lugha ya kiarabu hakuna neno Isa.
Hongera kwa kulazimisha Isa ndiyo Yesuππππ Quran yenyewe ilijua itaumbuka ndiyo maana iliandika alizaliwa chini ya mtende ππππ
Waandishi wa agano jipya walikuwa Wayahudi na wasomi wa agano la lake, Kuna mambo mengi tu walikuwa wanarejea huko agano la kale. Huhitaji akili kubwa kujua Muhamad alikopi hadithi za Wayahudi akachanganya na mambo yake ndio Quran ikapatikana. Alikopi habari za mungu mmoja na wahusika(characters) wote wa maandiko ya dini ya Kiyahudi, ni ushahidi rahisi sana. Huwezi kukuta Quran inaongelea mtume wa China, India, America, Africa au uarabuni nje ya Israel pamoja na kusema sijui kulikuwa na mitume zaidi ya laki waliowahi kutumiwa na Allah kwa jamii ya binadamu.
Tumia Quran kueleza historia ya Isaπππ
1. Isa alizaliwa mjini gani?
2. Majina ya wafuasi wa Isa
3. Idadi ya majina ya wafuasi wa Isa
Utakuja kugundua Isa ni wa mchongo na kwa lugha ya kiarabu hakuna neno Isa.
Hongera kwa kulazimisha Isa ndiyo Yesuππππ Quran yenyewe ilijua itaumbuka ndiyo maana iliandika alizaliwa chini ya mtende ππππ
Sikiliza tu Nyimbo za Waarabu Wakristo: (Nyimbo za Injiri)
YouTube au Tiktok
Hawamtaji kabisa Isa, Bali Yasu Al-Masihi:
Simpo tu:
Hizo Taqqiya zenu hazina nafasi katika ulimwengu wa Sasa:
Pelekeni Madrasa
Mpaka hapa Isa ni wa mchongoππππ ndiyo maana Quran imeshindwa kuthibitisha hiloUnachanganya mambo mawili tofauti: utambulisho wa Isa na kiwango cha maelezo yaliyomo katika Qurani.
Kwanza, Qurani si kitabu cha wasifu wa manabii. Hata kuhusu Nabii Ibrahim, Musa au Nuhu, Qurani haielezi kila undani wa maisha yao. Kusudi lake ni kutoa mafunzo ya kiimani, si kuandika historia ya kina kama kitabu cha wasifu.
Qurani haisemi jina la mji. Lakini kutokutaja jina la mji hakuthibitishi kwamba Isa hakuwapo au ni mtu mwingine.
- Unauliza Isa alizaliwa mji gani?
Qurani inawataja Al-Hawariyyun (wanafunzi/wafuasi), lakini haitaji majina yao mmoja mmoja.
- Unauliza majina ya wafuasi wake?
Qurani haitaji idadi yao.
- Unauliza idadi yao?
Lakini sasa swali ni hili: Je, kutokutajwa kwa maelezo hayo kunathibitisha kwamba Isa si Yesu? Hapana.
Kwa mfano, Qurani haitaji jina la mke wa Firauni aliyemuamini Mungu. Je, hiyo inamaanisha hakuwapo? Haitaji majina ya watu wengi waliotajwa kwa sifa zao tu. Huo ni mtindo wa Qurani.
Pili, unasema "kwa Kiarabu hakuna neno Isa". Hata kama ungeweza kuthibitisha hilo, bado hujathibitisha kwamba Isa ni mtu mwingine. Umetoa hoja kuhusu matamshi ya jina, si kuhusu utambulisho wa mtu.
Swali ambalo bado hujalijibu ni hili:
Kama Isa si Yesu, huyo Isa mwana wa Mariamu aliyekuwa Masihi, aliyezaliwa kwa muujiza, akafanya miujiza, akatumwa kwa Wana wa Israeli, na akawa na wanafunzi ni nani hasa katika historia?
Taja:
Jina lake kamili
Alipoishi
Mama yake ni nani
Chanzo cha historia yake
Kwa sababu mpaka sasa hujaonyesha mtu wa pili. Unasema tu "Isa si Yesu", lakini hujaonyesha Isa mwingine ni nani.
Kuhusu kuzaliwa chini ya mtende, hiyo ni tofauti ya simulizi kati ya Qurani na Biblia.
Tofauti ya simulizi si ushahidi wa mtu tofauti. Kama vitabu viwili vinakubaliana kuhusu mhusika mkuu lakini vinatofautiana katika baadhi ya maelezo, jambo la kujadili ni usahihi wa simulizi, si kuwepo kwa mtu mwingine.
Hakuna UshahidiMpaka hapa Isa ni wa mchongoππππ ndiyo maana Quran imeshindwa kuthibitisha hilo
Alizaliwa chini ya mtendeπππππ
πππππππππHakuna Ushahidi
βKwa muda mrefu kumekuwa na mjadala kuhusu kama Yesu aliwahi kuwepo kweli.
Hoja (iliyoandikwa vizuri sana) ni kwamba hakuna kabisa ushahidi unaothibitisha kuwepo kwake katika nyaraka nyingine isipokuwa vyanzo vya Kikristo vinavyotia mashaka makubwa.ββ Riane Eisler (The Chalice & the Blade, uk. 122)
πππππππππ
Mpaka hapa umethibitisha Isa siyo Yesu. Isa yupo ila Yesu hayupo kwa maana hiyo Isa siyo Yesu
Kwa Quran yako nilitegemea lazima utakuja kuthibitisha Isa siyo Yesuππππ
We uwe unaongea na wa Madrasa wenzako:Hakuna Ushahidi