7:1 Baada ya hayo nikawaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za dunia wakishika pepo nne za dunia ili upepo usivume hata kidogo: wala katika nchi, wala baharini, wala kwenye miti.

Duara halina pembe nne.

Yesu n Mungu wako mkuu.
Mimi naungana na malaika wote, wazee 24 na wenye uhai wanne na viumbe wote wa Mbinguni Kumuabudu na Kumtukuza Yesu Mungu Mwana.
Wewe ungana kumuabudu Mungu ambae sio Mungu, ila ana uungu usiokuwa ungu na lazima amlilie Mungu baba ambae ni yeye mwenyewe 😀

Siwezi kuabudu binaadamu wala mungu anaesulubiwa msalabani.

mnadanganywa mkuu. Malaika wanafree will. Mungu haabudiwi na maroboti ambao hawana hiyari viumbe wote wanamtii na kumwabudu Mungu kwa hoyari, Hata wewe ukiingia mbinguni utamuabudu kwa hiyari hutaondolewa free will.
Malaika hawana free will na ni viumbe visivyokuwa na matamanio kama alokuwa nayo mwanadamu. Ila katika ukiristo, bibilia ilioandikwa na watu mkafundishwa miongoni mwa uongo kuwa malaika waliasi kwa mungu.. subiri nicheke kwa nza 😀 😀 😀 😀 😀 Eti malaika ana aasi kwa mungu. Shida kweli kufata maandishi ya watu yaliowafundisha kuwa mitume wenu ni wazinifu na majambazi na wauaji. Umekuwa brainwashed. hujui kabisa uumbaji.
 

Elfu kumi katowe sadaka.
 
Hiyo "brainwashed" ndiyo mimi huwaambia wamesomea ujinga.

Wanajidai hawanielewi!
 
Hakuna mahala nliposema kuwa maandihsi yaliyopo kwenye bibilia kuwa yameandikwa kwenye kikako cha Nicea, ushachanganyikiwa au unajaribu kukimbia 😀 😀 nimekwambia mlikaa mkachagua kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe kwenye hio 'Bibilia" hakuna nliposema kuwa mmeandika maandishi siku hio. usipotoshe. Niletee msingi mlotumia kuchagua kipi kiwepo na kipi kisiwepo kwenye Bibilia.

Rudi tena usome vipi Quran imedumu mpaka leo kama ilivyoshushwa.

Kwa ufupi tu, Mtume kaletewa aya, akawafundisha masahaba wake, masahaba wake wakawa wanafundisha na wengine. Siku ilokuwa compiled, waliitwa masahaba waliohifadhi Quran, na mmoja mmoja kuanza kusoma na wengine kumsikiliza, penye makosa anakosolewa na wanakubaliana kipi sahihi. hata siku za karibuni mliona pale uwanja wa taifa, mtoto mdogo anasoma akikosea anakosolewa. Sasa nipe msingi wenu wa bibilia mliotumia kuchagua kama hili linatoka kwa mungu na hili halitoki kwakwe, hili tuliache, jhili tulieke.
 
Unajidai kuwa hutaki kufika huko, kufika wapi 😀? unanchekesha sana, yaani nijutie kuamini kitabu cha Allah, niamini kitabu cha Pauolo na petro? ambacho kila mmoja katia mkono wake. Ingekuwa unataka kujifunza ukweli wa hivi vitabu, saiv ungekuwa ushasilimu, kwa sababu ndani ya bibilia kuna ushahidi wa kutosha kuwa sio kitabu cha mungu bali cha waandishi.

Unaanzaje kuamini kitabu usichojua mwandishi wake? Hebu twende huko tuone nani atajutia
 
Aya inamwambia mtume kuhusu aliyofunuliwa yeye Muhammad s.a.w na sio waliofunuliwa kabla yake. Iko wazi, ila kama kawaida yenu wakiristo, kupindisha maana ili ikidhi matakwa yenu. Wafanyie wakiristo wenzako sio waislam.

Sasa wewe hadi sasa hujaleta aya aliosema kuwa atailinda Injil, hadi tunafika hapa hujawahi kuniletea injil ya issa
 

Hahahah nakushauri tu ukitaka kuchallenge elimu ya dini ya kiislam unatakiwa uwe deep haswaa sio unagusa vitu juu juu tu kiasi kwamba ata mtu akitaka kukusaidia anashindwa aanzie wap
 
Ushahidi uko wap kama mtume alikuwa nazo izo injil nne?

Aya uloileta, tafsiri yake ni hii;

5:46
And We sent, following in their footsteps, Jesus, the son of Mary, confirming that which came before him in the Torah; and We gave him the Gospel, in which was guidance and light and confirming that which preceded it of the Torah as guidance and instruction for the righteous.

5:47
And let the People of the Gospel judge by what Allah has revealed therein. And whoever does not judge by what Allah has revealed - then it is those who are the defiantly disobedient.

Hivi hujui hata kutafsiri ewe Muongo? Mfuasi wa kizushi. Hii ndio Quran, ipo kwenye asili yake, ukipotosha tunatizama asili yake, bibilia wewe huna ata asilia yake.

Wacha watu wakuone ulivokuwa Muongo, subiri ukutane na brainwashed christians ndio ulete tafsiri ya kizushi 😀

Allah anasema amempa Injil Issa, sasa hao wa bibilia wamepewa na nani? Akina mattayo na wenzake?
 
[QUUOTE="mitale na midimu, post: 31958295, member: 321780"]
Yesu hakuhitaji hayo maana ndiye aliyewaumba Adam na Hawa wakiwa na Baba Yake. Baba Yake Haitaji Kumzaa wotenwapo milele[/QUOTE]

Huwa nina wasi wasi sana na elimu zenu. Hivi Yesu ndio aliwaumba Adam na Hawa akiwa na baba yake? Wakati huo yeye alikuwa na umri gani?
Kwahiyo unataka kusema kuna Mungu wawili, kwa maana ikiwa mtoto wa ngombe nae ni ngombe? Je viti vya enzi vipo vingapi?
 
[QUUOTE="mitale na midimu, post: 31958295, member: 321780"]
Yesu hakuhitaji hayo maana ndiye aliyewaumba Adam na Hawa wakiwa na Baba Yake. Baba Yake Haitaji Kumzaa wotenwapo milele

Huwa nina wasi wasi sana na elimu zenu. Hivi Yesu ndio aliwaumba Adam na Hawa akiwa na baba yake? Wakati huo yeye alikuwa na umri gani?
Kwahiyo unataka kusema kuna Mungu wawili, kwa maana ikiwa mtoto wa ngombe nae ni ngombe? Je viti vya enzi vipo vingapi?[/QUOTE]

unaandika kiisilamu silamu [emoji12] Mbona mungu wako kawapa darja la WASOMI NA WACHA MUNGU WAKRISTO?? kwa ULICHO andika unabishia Allah [emoji12][emoji23][emoji23]
 
Kama Yesu ni Mungu kwakuwa hakuwa na baba wa kibinadamu, Je Adam ambaye hakuwa na baba wala mama wa kibinadamu utamwitaje?? Acheni kusema msioyajua. Mwenyezi MUNGU huumba apendavyo, vivyo hivyo Yesu ni kiumbe wa Mwenyezi MUNGU na aliumbwa kwa amri yake.
 
Naomba mtume mwingine aliyeAliwa hivyo?
Naomba zaidi ya Yesu mwanadamu aliyezaliwa bila Baba.

Hata Yesu hasemi Yusufu ni Baba Yake, ila yeye sio Wa ulimwengu huu.Yusufu ni Baba Wa kulea.

Hivyo chanzo cha Yesu sio Mariam ,Mariam ni njia tu
Hoja yako ni dhaifu mkuu, hivi hujiulizi kuhusu Adam ambaye kabla yake hakuwepo mwanadamu yeyote? Kuzaliwa kwa Yesu si muujiza kuuzidi wa kuumbwa Adam.

Mwenyezi MUNGU huumba apendavyo, akitaka jambo huliambia kuwa na likawa.
 
Ni Muislam yupi asieamini kuwa Muhammad ni mtume wa Mwenyezi Mungu? Tofauti kati ya Shia, Ibadhi na Sunni sio kwenye kuamini mitume na kama tofauti yao ndio hiyo weka ushahidi.
 

Tuwekee Ushahidi HUMU Allah kamtuma Muhammad ibn Abd'Allah [emoji44] NENO LA MUNGU HALITANGUKI [emoji123][emoji106]
 
Tuwekee Ushahidi HUMU Allah kamtuma Muhammad ibn Abd'Allah [emoji44] NENO LA MUNGU HALITANGUKI [emoji123][emoji106]View attachment 1146361
Jibu lako hili;


By the way, umeniletea maneno ya Mattayo sio maneno ya Mungu. nasubiri ahadi ya Mungu kuilinda Bibilia uilete hapa. Na ili kuthibitisha kuwa Injil ya mattayo haitoki kwa Mungu bali kwa binaadamu;



Mnaweza kukaa kitako mkajadiliana mfute izi aya kuficha aibu ya ujinga wenu 🙂
 
1: Mkuu naomba aya Injili mnayodai ni ya Yesu iko mbinguni Lawhul Mahfoodh.
Na uniambie kwa nini muamini injil ambayo iko huko, wakayi enzi za mtume ilikuwepo. Nani kaipeleka na imepelekwa lini kwa manufaa ya nani?

2:Mimi nimekuambia Injili ameileta Yesu. Hajaandika wala hajawahi kuandika hata jarida. Ila Alichokileta na Kimeandikwa katika vitabu vinne vya Injili.
Wewe unaamini Alileta injili akaandika kitabu, Nakiomba basi mbona hoja ndogo. Kama huna unasema imeharibiwa nipe hiyo mbovu.

3:Sura zako hazijajibu wala kukanusha hoja. Watu wa injili ambao wanapaswa kuhukumiwa na injili wako wapo, walienda wapi kama hawapo. Unaushahidi wa kukataa injili, taurat na zaburi hazikiwepo enzi ya mtume. Kama huna utulie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…