mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
'' Kwa maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu, bali wanadamu walinena ya Yaliyotoka kwa Mungu wakiongozwa na roho mtakatifu.'' 2 Petro 1:21Kwa ushahidi gani??
Wayahudi hawana cheo cha u "baba mlezi".
Hayo mnajipachikia tu.
Sasa wewe huoni kuwa Adam na Hawa wameumbwa kwa mfano wa Mungu?
Kwa mujibu wa ukiristo itabidi iwe hivo.Wakiumbwa kwa mfano wa Mungu na wenyewe wanakuwa miungu kwa hiyo na wewe ni mungu au
1: neno la kiebrania la asili (ΧﬡΧ) au chuΜg lililoitwa kwa tafsiri ya kiswahili ncha au kwa kiingereza Circle.7:1 Baada ya hayo nikawaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za dunia wakishika pepo nne za dunia ili upepo usivume hata kidogo: wala katika nchi, wala baharini, wala kwenye miti.
Duara halina pembe nne.
Wewe ungana kumuabudu Mungu ambae sio Mungu, ila ana uungu usiokuwa ungu na lazima amlilie Mungu baba ambae ni yeye mwenyewe π
Siwezi kuabudu binaadamu wala mungu anaesulubiwa msalabani.
Malaika hawana free will na ni viumbe visivyokuwa na matamanio kama alokuwa nayo mwanadamu. Ila katika ukiristo, bibilia ilioandikwa na watu mkafundishwa miongoni mwa uongo kuwa malaika waliasi kwa mungu.. subiri nicheke kwa nza π π π π π Eti malaika ana aasi kwa mungu. Shida kweli kufata maandishi ya watu yaliowafundisha kuwa mitume wenu ni wazinifu na majambazi na wauaji. Umekuwa brainwashed. hujui kabisa uumbaji.
Usidanganye watu kuwa eti ni tafsiri inayokutaka uzame deep. Ikiwa kwenye Bibilia halisi limetumika neno duara, kwanini wewe utumie neno ncha basi? Ncha na duara wapi na wapi? Huu ni ushahidi kuwa usiamini bibilie iliotafsiriwa!1: neno la kiebrania la asili (ΧﬡΧ) au chuΜg lililoitwa kwa tafsiri ya kiswahili ncha au kwa kiingereza Circle.
Linamaana Circle, sphere au arch.
Hivyo Bibilia haisemi Dunia ni flat mkuu.
Na hapa bibilia haijakosewa ila ni tafsriri ambayo inatutaka tuzame zaidi kwenye OG ili kutanua uelewa. Ndio maana hata nyie mnatakiwa kwenda kiarabu ili msichangamane.
Nyinyi si mnaabudu mungu alosulubiwa msalabani? mnamwita Yesu π Nimekwambia mie siwezi kuabudu Mungu anaesulubiwa. Namaanisha kuwa Mungu hasulubiwa na hakuna mwenye uwezo huo.2: Umekubali Yesu kasurubiwa msalabani au? maana hapa akili inabidi ichaji zaidi maana mnanizunguka na hamueleweki mara hakufa, mara hakwenda msalabani. Kama umekubali Basi umekubali alikufa na kama umekubali alikufa basi umekubali Yuko mbinguni akiabudiwa.
Malaika wa kibibilia ndio wanamuabudu Yesu π π mana malaika kwenye bibilia hawajielewi kwa nyie. Malaika tunaowajua waislam wanamuabudu Allah alieumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake, hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hakuna mwenye uwezo wa kumsulubu πMkuu malaika unaowaheshimu wanamuabudu Yesu hata sasa hivi unaposoma andiko nimekupa, wewe endelea na ubishi ila nakuomnea uelewe mapema kabla haijawa too lateπ. Usimuonee wivu mwana wa Mungu ambaye ni Mungu.
Unataka turudi nyuma, hapa tayari huna hoja, kwa sababu nimeshakwambia kuwa Quran imekuwa Dictated kwa mtume, na mtume nae ame dictate kwa wafuasi wake, na wafuase wake wameandika na ku dictate kwa wengine. kama kungekuwa na kasoro, basi ingeonekana. Nikakutolea mfano, juzi tu apo uwanja wa taifa, mtoto anasoma Quran, sasa kama wewe umekaa na peni kkuandika anachokisoma, maanake ndio wewe mtungaji wa Quran?3:Bibilia na musaafu hazijaandikwa na Malaika wala Allah bi watu. Tena quran imeandikwa na watu wachache tu kwa kipindi kifupi sana na ikasambazwa, Ila pamoja na vyote kuandikwa na watu. Ni waandishi wa Bibilia tu wanathibitishwa na bibilia hiyo waliongozwa na roho mtakatifu. Ila kwingine hakuna uthibitisho huo.
Mama elfu kumi umekosa, ntatoa sadaka ili Mola akuwezeshe kuleta ninachotaka ambacho hakipo popote duniani.'Oldest' Koran fragments found in Birmingham University
What could be the world's oldest fragments of the Koran have been found by the University of Birmingham.www.bbc.com
Elfu kumi katowe sadaka.
Asante kwanza kwa kukubali kuwa Bibilia ipo hata kabla ya hiyo nicea.Hakuna mahala nliposema kuwa maandihsi yaliyopo kwenye bibilia kuwa yameandikwa kwenye kikako cha Nicea, ushachanganyikiwa au unajaribu kukimbia π π nimekwambia mlikaa mkachagua kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe kwenye hio 'Bibilia" hakuna nliposema kuwa mmeandika maandishi siku hio. usipotoshe. Niletee msingi mlotumia kuchagua kipi kiwepo na kipi kisiwepo kwenye Bibilia.
Rudi tena usome vipi Quran imedumu mpaka leo kama ilivyoshushwa.
Kwa ufupi tu, Mtume kaletewa aya, akawafundisha masahaba wake, masahaba wake wakawa wanafundisha na wengine. Siku ilokuwa compiled, waliitwa masahaba waliohifadhi Quran, na mmoja mmoja kuanza kusoma na wengine kumsikiliza, penye makosa anakosolewa na wanakubaliana kipi sahihi. hata siku za karibuni mliona pale uwanja wa taifa, mtoto mdogo anasoma akikosea anakosolewa. Sasa nipe msingi wenu wa bibilia mliotumia kuchagua kama hili linatoka kwa mungu na hili halitoki kwakwe, hili tuliache, jhili tulieke.
Jibu lako hili;
View attachment 1146372
By the way, umeniletea maneno ya Mattayo sio maneno ya Mungu. nasubiri ahadi ya Mungu kuilinda Bibilia uilete hapa. Na ili kuthibitisha kuwa Injil ya mattayo haitoki kwa Mungu bali kwa binaadamu;
View attachment 1146379
Mnaweza kukaa kitako mkajadiliana mfute izi aya kuficha aibu ya ujinga wenu π
Aproach ya Bibilia tu ni yakuaminika kuliko quran mkuu.Unajidai kuwa hutaki kufika huko, kufika wapi π? unanchekesha sana, yaani nijutie kuamini kitabu cha Allah, niamini kitabu cha Pauolo na petro? ambacho kila mmoja katia mkono wake. Ingekuwa unataka kujifunza ukweli wa hivi vitabu, saiv ungekuwa ushasilimu, kwa sababu ndani ya bibilia kuna ushahidi wa kutosha kuwa sio kitabu cha mungu bali cha waandishi.
Unaanzaje kuamini kitabu usichojua mwandishi wake? Hebu twende huko tuone nani atajutia
Yesu hana injili, hakuwahi kuandika. Nyie na Quran ndio mnasema hayo ndio mlete, sisi tunasema Injili aliyoileta ( Ujumbe wa wokovu kwa wanadamu) imeandikwa na Luka, Marko,bYhana, Mathayo.Aya inamwambia mtume kuhusu aliyofunuliwa yeye Muhammad s.a.w na sio waliofunuliwa kabla yake. Iko wazi, ila kama kawaida yenu wakiristo, kupindisha maana ili ikidhi matakwa yenu. Wafanyie wakiristo wenzako sio waislam.
Sasa wewe hadi sasa hujaleta aya aliosema kuwa atailinda Injil, hadi tunafika hapa hujawahi kuniletea injil ya issa
Ilikuaje Bibilia Zinazidiana idadi ya vitabu, halafu vile vile bado hujatoa maelezo, ni vipi walihakiki kuwa hichi ndicho sahihi na hichi sio sahihi, kwa sababu kuna vitabu pia viliachwa na kutolewa nje na vilikuwepo kabla ya nicea na vilikuwa na wafuasi wakiviamini ivo ivo.Asante kwanza kwa kukubali kuwa Bibilia ipo hata kabla ya hiyo nicea.
lkn ilikuwa imesambaa uncontrollably duniani kote wakati huo.
Pia sio kila mwenye Bibilia alihusishwa lkn wote walibaki wanaamini maneno yaleyale.
Huko nicea unakopapenda.View attachment 1146446ka tu kuwa zile inili nne ndizo ambazo zipo tangu karne ya kwanza, na mengine yote ni fabrication. Pia hata wasingekaa hapo, Uthibitisho huo ulishafanyika siku nyingi 200AD kupitia hiyo nimekuwekea attachment Muratonian flagment iliyothibitisha maneno wanayoamini ndiyo yaliyoaminiwa na wakristoawali na injili zile nne ndio zilezile hadi kesho.
Hii haikuhitaji Nicea maana zilikuwepo na ziliaminika siku zote. Wale walikuwa na mambo mengine mengi tu na kupambana na uzushi mwingi wa wakati wao.
Naomba Source ya maelezo ya swahaba.
Sababu ninayojua miongoni mwao ni kuwepo kwa watu kubishana kuhusu walivyovikariri. Kila mtu anasema lake. Leta source mkuu kapa ipo lkn.
karibu mkuu.Hahahah nakushauri tu ukitaka kuchallenge elimu ya dini ya kiislam unatakiwa uwe deep haswaa sio unagusa vitu juu juu tu kiasi kwamba ata mtu akitaka kukusaidia anashindwa aanzie wap
π π π we jamaa mbishi! yaani nakutolea mifano pia unajifanya kipofu! nimeshakueleza kuwa Quran ukusanywaji wake ulikuaje. Sasa kama kulikuwa na mabadilishano ungetuona na sie tupo kama nyie, mara huyu msahafu anaouamini una sura 3 yule 50. lakini huwezi kukuta hayo kwenye kitabu chenye ukweli. Kitabu chenye shaka ndio utaona mara hichi kimo na hichi hakimo mara huyu kaongeza kitabu huyu kapunguza hakiamini. Hio ni dalili kuwa ni kitabu cha mtu na sio Mungu.Aproach ya Bibilia tu ni yakuaminika kuliko quran mkuu.
Bibilia, watu waliandika kwa uongozi wa roho mtakatifu wakawatumia wengine, wakakopy na kusambambaza hadi leo hakuna kikao kilochokaa kikausanya bibilia zote kisha kikatoa bibilia Moja kama muongozo.
Ila quran Caliph uthman aliagiza watu walete magome Yote, flagments na manuscriot zote, akachukua na yale ambayo tayari watangulizi wake walikuwa wameanza kuyakusanya wakaka watu kadhaa wakaibuka na Copy moja ya kitabu kizima. Kikaandikwa vikawa saba. Vingije vyote vikachokwa moto na kukifanya hicho kimoja kuwa source. Swali Unaaaminije kama hajaweka mikono yake, Kwa nini apoteze ushahidi huku akijua kuna mgongano wa wafuasi wengine wanasema mtume alisema hivi wengine vile. Kitabu hicho kilichotolewa na kiongozi sio salama kukiamini kuliko Bibilia ambayo imejaa manuscript za kale mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali tena zinaendana. Inabidi umuamini Uthmana na rafikizake kwanza kabla hujaamini Quran walioicomioe, Sisi hatuna haja ya kumuamini Jerome, Erasmus, Luther, King James, Tindale au Nani Maana tunaanza Kuamini maneno yaliyokuwepo na yenye ushahidi wake wa kale kwanza kisha tunamuona aliyecopile.
π π π Hakuna popst yangu hata moja ulojibu yaliyomo ndani yake zaidi ya kuzunguka. ngoja nikustopishe.Yesu hana injili, hakuwahi kuandika. Nyie na Quran ndio mnasema hayo ndio mlete.
sisi tunasema Injili aliyoileta ( Ujumbe wa wokovu kwa wanadamu) imeandikwa na Luka, Marko,Yhana, Mathayo.
Usinilishe aya mzee. wewe ndio unatakiwa ujibu sio mimi. Mimi niulize juu ya hizo ili nikuambie hata mtume ndizo anazozijua na anasema tutahukumiwa kwa hizo.
asili ya Bibilia ipo, hilo nalo ulidanganywa mkuu.Ushahidi uko wap kama mtume alikuwa nazo izo injil nne?
Aya uloileta, tafsiri yake ni hii;
5:46
And We sent, following in their footsteps, Jesus, the son of Mary, confirming that which came before him in the Torah; and We gave him the Gospel, in which was guidance and light and confirming that which preceded it of the Torah as guidance and instruction for the righteous.
5:47
And let the People of the Gospel judge by what Allah has revealed therein. And whoever does not judge by what Allah has revealed - then it is those who are the defiantly disobedient.
Hivi hujui hata kutafsiri ewe Muongo? Mfuasi wa kizushi. Hii ndio Quran, ipo kwenye asili yake, ukipotosha tunatizama asili yake, bibilia wewe huna ata asilia yake.
Wacha watu wakuone ulivokuwa Muongo, subiri ukutane na brainwashed christians ndio ulete tafsiri ya kizushi π
Allah anasema amempa Injil Issa, sasa hao wa bibilia wamepewa na nani? Akina mattayo na wenzake?
Quran ni maneno ya Allah, na nimekuletea aya kuwa Muhammad ni mtume wake.Qur'an maneno ya Nani?? Tuwekee HUMU Allah anamtuma Muhammad ibn Abd'Allah! acha bla bla zako za kisla kisla [emoji44][emoji12]
Adamu ni chmichemi ya Binadamu, Alifinyangwa na maelezo yake Yqko wazi.Kama Yesu ni Mungu kwakuwa hakuwa na baba wa kibinadamu, Je Adam ambaye hakuwa na baba wala mama wa kibinadamu utamwitaje?? Acheni kusema msioyajua. Mwenyezi MUNGU huumba apendavyo, vivyo hivyo Yesu ni kiumbe wa Mwenyezi MUNGU na aliumbwa kwa amri yake.
Yesu hakuumnwa.Hoja yako ni dhaifu mkuu, hivi hujiulizi kuhusu Adam ambaye kabla yake hakuwepo mwanadamu yeyote? Kuzaliwa kwa Yesu si muujiza kuuzidi wa kuumbwa Adam.
Mwenyezi MUNGU huumba apendavyo, akitaka jambo huliambia kuwa na likawa.
Inabidi mtume alikuwa kashazaliwa wakati wakiristo wanapewa Injili?asili ya Bibilia ipo, hilo nalo ulidanganywa mkuu.
Yani unaenda mbele hatua mbili unarudi nyuma hatua mia. hahaha
Mkuu Mtume anashuhudia wakristo walipewa injili.
Mimi nakuambia Injili aliyoioeta Yesu imeandikwa na Mathayo, Luka, Yohana na Marko.
Alichopewa mtume wetu ndicho kilichoandikwa kwenye Quran, na ni moja tu. Sasa huwezi kufananisha na injili za kina matayo, kwa sababu wao hawakuandika alichoshushiwa Yesu sasa. wameandika Injili kwa mujibu wao na isitoshe, muandishi wa hio injili ya mattayo hajulikani. DUH!sio jambo la ajabu. Hata ujumbe aliyompa Yeremia uliandikwa na Baraki.
Hata ujumbe unaosadikiwa kupewa Mtume, uliandikwa na watu wengine maana yeye hajui kusoma na kuandika.
sasa kama unanibishia nipe hiyo ya Yesu aliyoandika ambayo mtume anawaambia watu wakikristo watahukumiwa kwayo.
Unasema imepotishwa, naomba iliyopotoshwa maana mwenzako huko ananidanganya sijui naye kama huwa anasoma Al - Tanzil eti iko sijui mbinguni. daa!!!