mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
hahaha mimi sio huyo mdau. siwezi kufanya usanii kwenye mambo ya Mungu mkui. Bora nitoke kabisa jukwaa hili kuliko kuwa mnafiki kiasi hicho.Kwaio wewe ni Lukwangu? Sasa kuna faida gani ukitumia ID mbili? au ndio ionekane una wafuasi wengi kama kawaida yenu wakiristo 😀 😀 😀
Mtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.
Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?
Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?
UPDATES
Tumegundua Yesu hakuwa na Baba Binadamu. Tumegundua Yesu hakuanzia Tumboni mwa Mariam ila alipitia Tumboni mwa Mariam. Waislam wako sahihi Kumuita Issa Bin Mariam ila watakuwa sahihi saizi wakimuita Mwana Wa Mungu ambaye ni Mungu.
Aliitwa Yesu Kristo. Sasa vitabu vya mpinga kristo vilivyokuna miaka zaidi ya 700 baada ya yeye kwenda mbinguni ndio vimekuja na uongo kama ilivyo tabiriwa. Ndio maana mnawaaminisha anaitwa issa tena kazaliwa chini ya mtende.yesu wa biblia nani kakuambia mwana wa mariam anaitwa yesu.....swali ni ili.....mariam alimuita jina gani mwanae namaanisha birth name sio mlilomuita waswahili
Kwenye uislamu wanatumia ubin wa mama.
Ukiambiwa allah wa quraan ni kajini unabisha. Sasa umeongea pointi gani hapo.Lam yalid walam yulad"HAKUZAA(MUNGU)WALA HAKUZALIWA",unawezaje kumuita mwana wa mungu.
Inamaana mungu alioa?alimtia mimba kwa kumjamii Mariam?hufahamu kuwa Mariam alikuwa bikira?je na sisi ni wana wa mungu?
Kwenye uislamu wanatumia ubin wa mama.
Only bible ndo reference yangu , nilisha kwambia wa kristo hatuna hadith
Aliitwa Yesu Kristo. Sasa vitabu vya mpinga kristo vilivyokuna miaka zaidi ya 700 baada ya yeye kwenda mbinguni ndio vimekuja na uongo kama ilivyo tabiriwa. Ndio maana mnawaaminisha anaitwa issa tena kazaliwa chini ya mtende.
Mtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.
Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?
Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?
UPDATES
Tumegundua Yesu hakuwa na Baba Binadamu. Tumegundua Yesu hakuanzia Tumboni mwa Mariam ila alipitia Tumboni mwa Mariam. Waislam wako sahihi Kumuita Issa Bin Mariam ila watakuwa sahihi saizi wakimuita Mwana Wa Mungu ambaye ni Mungu.
Mimi nawewe si rahisi kuelewana. Yesu kazaliwa na Mariamu halafu tena unasema yeye ndiye aliyeumba, haieleweki.Yesu hakuumnwa.
Yeye ndiye aliyeumba, na Pasipo yeye Hakikufanyika chochote ambacho kilifanyika Yohana 1:1-3.
Ufunuo 5: mwishoninanaabudiwa na viumne wote wa mbinguni yeye pamoja na ababa Yake.
hii zaburi ni ukumbusho wa utumwa wa wayahudi Babeli, na furaha ya maadui zao (Wana wa Edom) walipoona babeli ikiwashughulikia.mitale na midimu
Nnaomba tafsiri ya huu mstari wa biblia...
Zaburi 137:
9 Heri yeye atakayewakamata wadogo wako, Na kuwaseta wao juu ya mwamba
Kwa Mariam ilikuwa ni njia.Mimi nawewe si rahisi kuelewana. Yesu kazaliwa na Mariamu halafu tena unasema yeye ndiye aliyeumba, haieleweki.
Je mtu asiye na mwanzo wala mwisho, asiye na baba wala mama mbona hajapewa cheo cha uungu?Kwa Mariam ilikuwa ni njia.
Alikuja Duniani Kupitia njia hiyo sio kwamba alianzia kwa mariam.
Mbona ametoa kauli nyingi kuwa yeye sio wa dunia hii amekuja.
Na alikuwepo hata kabla ya mariam wala bibi yake mariam kuwepo.
'Kabl ya Ibrahim baba yenu kiwako , mimi niko au YHWH, Maana nyingine kabla ya Ibrahim Yeye ni Mungu.
Wayahudi wakataka Kumuua kwa sababu wameona kakufuru kwa kujiita Mungu, Ila Yeye akawaambia mnataka kuniua kwa sababu nimewaambia ukweli?
mkuu Yesu mtamu ukimsoma kwa kutulia
hajaumba, pasipo Yesu hakikufanyika chochote kilichofanyika mbinguni na duniani.Je mtu asiye na mwanzo wala mwisho, asiye na baba wala mama mbona hajapewa cheo cha uungu?
Miujiza aliyopewa Yesu na Mungu ni pamoja na kuumba ndege kwa idhini ya Mungu, hakujamfanya kuwa Mungu. Kwenye Biblia nzima hakuna sehemu Yesu anasema "Mimi ni Mungu na niabuduni" bali baadhi ya wakristo wanaungaunga aya ili wathibitishe Uungu wa Yesu.hajaumba, pasipo Yesu hakikufanyika chochote kilichofanyika mbinguni na duniani.
Aliitwa Yesu Kristo. Sasa vitabu vya mpinga kristo vilivyokuna miaka zaidi ya 700 baada ya yeye kwenda mbinguni ndio vimekuja na uongo kama ilivyo tabiriwa. Ndio maana mnawaaminisha anaitwa issa tena kazaliwa chini ya mtende.
Wapi waislam wanasema Yesu kaandika Injil? Hata Mussa hakuandika Taurat, alipewa na akaifundisha.Waislam ndio wanasema Yesu kaandika Injili