Walioandika hiyo lazima ni waislam maana akiliyao imefungwa na majini.
 
Mbona wewe sio msomi na sio mcha mungu? Huoni kama wewe si mkiristo 😀

Vitabu vilikuwepo vingi kabla ya Quran na havikuwa bibilia. Sasa itabidi uoneshe kitabugani icho kimezungumziwa
Kambishie Allah aliye sema kwa kinywa cha Muhammad ibn Abd'Allah [emoji116]Mimi nimenukuu tu [emoji23][emoji23]
 
Sindano imekuchoma ndipo hufurukuti
Uwege na hofu hata kidogo na god WAKO ga_kila agizo analo kupa unapotezea [emoji116]afu unamwambia sindano imekuchoma [emoji44] halafu tena unataka pepo yake [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwani walio mpiga mawe muhammad kule Taifu hadi akakusanya nguo zake na kukimbia walikuwa wakurya?¿ NI nduguze makureshi wenzie [emoji106] halafu hata mungu amekubainishia hivi [emoji116]ilaha wewe Qur'an husomagi [emoji12]
 
Kambishie Allah aliye sema kwa kinywa cha Muhammad ibn Abd'Allah [emoji116]Mimi nimenukuu tu [emoji23][emoji23]View attachment 1150450
Siwezi kumbishia Allah, mana sie yeye aliesema tuamini Bibilia 😀 wala Yesu hakushushiwa bibilia, kama kashushiwa bibilia lete ushahidi basi? I challenge you kwenye hili.
 
Kumbe umeelewa NI mkojo [emoji106]niliweka tafsida [emoji23] sasa hapo anafanyaje [emoji44]

Sisi WAFUASI WA YESU TUMEHIFADHI INJILI KIFUANI [emoji123][emoji106]na ndio sababu qaraa tumeipotezea haina TBS [emoji23][emoji23]
Mumehifadhi kifuani? 😀 😀 😀 hebu twambie ukusanyaji wake ulikuaje tuone kama kuna mtu aliwahi kuhifadhi injili tangu muanze kuitunga kama Luke alivosema.
 
Hivi mtu anayesema Shetani anakaa puani, na ili kumwondoa basi safisha pua kwa kutumia maji. Ni wa kuaminika kweli? Na anatamka hadharani kuwa yeye ni Kiroja.

Hakika Viroja wanajuana wao kwa wao.
 
Mumehifadhi kifuani? 😀 😀 😀 hebu twambie ukusanyaji wake ulikuaje tuone kama kuna mtu aliwahi kuhifadhi injili tangu muanze kuitunga kama Luke alivosema.

MUNGU WANGU AMESHA NIFUNDISHA MWENYEWE KUPITIA DHAMIRA NJEMA ALIYO NIUMBIA NDANI, NA KUJUA HILI NI JEMA NA HILI OVU [emoji123][emoji106] Kumbe mwenzangu mpaka usome vipande vya karatasi ndipo ujue hili JEMA NA HILI OVU [emoji44][emoji12] na ndio asbab nimeipotezea qaraa haina TBS [emoji12]

hujanijibu kuhusu ule mkojo wa ngamia kunani?[emoji44]
 
Siwezi kumbishia Allah, mana sie yeye aliesema tuamini Bibilia 😀 wala Yesu hakushushiwa bibilia, kama kashushiwa bibilia lete ushahidi basi? I challenge you kwenye hili.
Kwa hiyo KITABU alicho waagiza Allah UKIAMINI USIPO AMINI UMESHA POTELEA MBALI kimeshushwa na MTUME gani?? Na WAFUASI wake Jumba gani LA IBADA WANAABUDU??[emoji23][emoji23]
 
Hivi mtu anayesema Shetani anakaa puani, na ili kumwondoa basi safisha pua kwa kutumia maji.
Ni wa kuaminika kweli ?
Na anatamka hadharani kuwa yeye ni Kiroja.
Hakika Viroja wanajuana wao kwa wao.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio huyo huyo aliyesema mbwa ni adui kisa walimzuia "malaika gabriel" kuingia home kwake kumpa aya[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ila wawindaji walimgomea. Ndo huyo huyo aya moja anasema Allah aliumba Dunia kwanza then akaumba Mbingu then Aya nyingine anasema Allah aliumba Mbingu kwanza ndio akaumba dunia.

Ndo huyo huyo alishushiwa aya kuwa ni ruhusa " kwake" kula mtumwa wake, mke wa mtoto wake wa kuasili, kula mtoto aisha, na awe na wake 8+ lakini waislam wengine ni wanne tu[emoji2][emoji2][emoji2]jamaa alikuwa mchoyo huyu.
 
Mkojo wa ngamia nimekuekea link ya kisayansi ila wewe sio mtafutaji elimu.

Mungu wako alokufa ndio amekufundisha? 😀 😀 😀 Quran haihitaji TBS. TBS inahitaji Bibilia ambayo imetengezwa na mwanadamu, na walifanya check up pale Nicea wakakuchagulieni cha kuamini 😀
 
Kwa hiyo KITABU alicho waagiza Allah UKIAMINI USIPO AMINI UMESHA POTELEA MBALI kimeshushwa na MTUME gani?? Na WAFUASI wake Jumba gani LA IBADA WANAABUDU??[emoji23][emoji23]
Mbona mimi nikikuuliza masuali huyajibu? au Magumu kwako 😀 😀 😀

Mi ntayajibu maswali yako mepesi.

Kwanza hakuna mtume alieshusha kitabu, unaona umbulula wenu huo sasa? Labda mattayo kawashushia injili kutoka juu ya kabati😀 😀 😀

Wafuasi wa Issa walikuwa mayahudi na amesema mwenyewe kuwa ametumwa kwa wana wa kondoo, sasa sijui wewe mwafrika unataka kutwambia nini hapa 😀 Tatizo lenu kitabu mmetunga wenyewe, mmechagua wenyewe nini cha kuweka na nini cha kutoa ila hamtaki kuamini.

Hongera kwa kuanza kuiamini Quran! 🙂
 
Kwani huyo anaabudiwa?
Huyu uliyemfanya mungu yeye ni mwanaharamu haingii katika ufalme wa Mungu kama Biblia ilivyotuambia.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo
38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo mnang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2
 
ahaa Kumbe...
 
Nakupongeza sana mwisho wa siku umeamua kumpinga mudi kwa maneno yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…