Haya ni mafundisho ya quraan ya allah na Muhamed wake. Bible haipo hivyo.

“And they come into Bethany. And a certain woman whose brother had died was there. And, coming, she prostrated herself before Jesus and says to him, "son of David, have mercy on me". But the disciples rebuked her. And Jesus, being angered, went off with her into the garden where the tomb was, and straightway, going in where the youth was, he stretched forth his hand and raised him, seizing his hand.

But the youth, looking upon him, loved him and began to beseech him that he might be with him. And going out of the tomb they came into the house of the youth, for he was rich.

And after six days Jesus told him what to do and in the evening the youth comes to him, wearing a linen cloth over his naked body. And he remained with him that night, for Jesus taught him the mystery of the Kingdom of God. And thence, arising, he returned to the other side of the Jordan. "The Secret Gospel of Mark, Ibidem
 
Hapo inaonyesha hata maana hujui. Nauwakika hata English hujui so umetoa sehem na kuweka hapa. Hicho sio kiarabu. Haya weka fafsiri yake kwa kiswahili.
Yesu ni Njia, Kweli na Uzima. Hakuna yeyote atakayeingia mbinguni bila kupitia kwake. Mudy mwenyewe kakiri akifa hajui atakapokwenda. Ila Yesu yupo Mbinguni anaabudiwa na viumbe vyote mbinguni na Dunian.

Kwa sababu Kwa Yesu ndipo uhai wetu ulipo
 


Tulia ushindiliwe masumari

John reports in another writing the following about the gang's boss:



"I (disciple John), therefore, because he (Jesus) loved me, drew nigh unto him softly, as though he could not see me, and stood looking upon his hinder parts: and I (John) saw that he (Jesus) was not in any wise clad with garments, but was seen of us naked..."


ACTS OF JOHN, From "The Apocryphal New Testament", M.R. James-Translation and Notes, Oxford: Clarendon Press, 1924 , on: http://www.gnosis.org/library/actjohn.htm, last call on: 03/22/2008, also on: http://web.archive.org/web/20041220220424/http://wesley.nnu.edu/biblical_studies/noncanon/acts/actjohn.htm, last call 08/11/2013,
 
mbona ni simple tu sema imeandikwa kwenye bible kitabu gani haya ipi, wacha kuangaika angaika , mm nikiweka hadith nasema ni ipi na imeandikwa na nani na quran ivyo ivyo .
 
Imeandikwa wapi kwenye biblia takatifu
 
Hatutumii vitabu ambavyo havipo kwenye biblia. Hivyo ni kama kuraan tu. Leta maneno ya biblia. Hiyo secret gospel ni tunzi za kuraan ambayo kwetu ni kitabu cha mashetani na mpinga kristo. Leta mistari ya biblia achana na vitabu vyenu mlivyofunuliwa na kumezeshwa mapangoni huku mkikabwa.
 

YESU ANAKWAMBIA

These twelve Jesus sent out with the following instructions: "Do not go among the Gentiles or enter any town of the Samaritans. Go rather to the lost sheep of Israel. (Matthew 10:5)

"I was sent only to the lost sheep of Israel."
(Matthew 15:24)

If I testify about myself, my testimony is not valid. (John 5:31) JAMAA LINAWAPIGA CHANGA LA MACHO
 

Hivyo vitabu vilivyowekwa aliviweka nani , Babu yako ??
 
Mfano wa kuleta mjadala ni huu apa
Musnad Ahmad 16245- [Mua'wiya alisema]: Nilimwona nabii mohamad akiwa anamnyonya ulimi au midomo ya Al-Hassan mwana wa Ali, ili sala za Allah ziwe juu yake. Kwa maana hakuna ulimi au midomo ambayo nabii aliyonyonya atasumbuliwa (kwa moto wa kuzimu).

Apo nimekuweka Hadith na nimeeleza imeandikwa na nani, sasa ww unaleta mada ata hujui kwenye bilble ilipo andikwa tukueleweje kama si mpotoshaji
 
Nimekuambia aya za quraan hatuzitumii kwenye mafundisho yetu. Leta aya za biblia hapa
 
mbona ni simple tu sema imeandikwa kwenye bible kitabu gani haya ipi, wacha kuangaika angaika , mm nikiweka hadith nasema ni ipi na imeandikwa na nani na quran ivyo ivyo .

Mark 14:50-52 RSV

50 And they all forsook him, and fled.

51 And a young man followed him, with nothing but a linen cloth about his body; and they seized him,

52 but he left the linen cloth and ran naked away.
 
Je Mataifa yaliokolewa au hayakuokolewa? Nakuambia bible hauifafsiri kama hadisi za quraan.
 
Nimekuambia aya za quraan hatuzitumii kwenye mafundisho yetu. Leta aya za biblia hapa

Umechanganyikiwa kama huyo kiumbe unayemuabudu ??


Do we really want to entrust our souls to a man who had a disciple who ran around with nothing but a towel on?” (John 21:7)
 
Apo ambacho huelewi ni nini

Mark 14
45 Kwa hiyo Yuda alipofika, alimwendea Yesu akamwambia, “Mwalimu,” akambusu. 46 Wakamkamata Yesu, wakamweka chini ya ulinzi. 47 Lakini mmoja wa wale waliokuwa wamesimama hapo aka chukua upanga akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio. 48 Kisha Yesu akasema, “Mbona mmekuja kunikamata kwa mapanga na marungu? Kwani mimi ni jambazi? 49 Siku zote nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha Hekaluni wala hamkunikamata. Lakini Maandiko lazima yatimie. ” 50 Ndipo wanafunzi wake wote wakamwacha, wakakimbia. 51 Kijana mmoja aliyekuwa amevaa shuka tu alikuwa akimfuata Yesu. Walipomkamata, 52 alikimbia uchi, akaacha shuka lake.
 


Huyo anayekupa hiyo story hapo ni nani ??
 
Yameokolewa kwani mnaowana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake makanisani huku mkiwaomba Watakatifu *******

https://www.advocate.com/religion/2017/6/02/30-lgbt-saints
Ndio maana unachanganya mafundisho ya quraan na kufikiri ni biblia. Hakuna sehem inayotoa ruhusa ya jinsia moja kuoana. Biblia iko wazi kuwa hukum yao ni ziwa liwakalo moto. So ukiona vitu vya hivyo jua ni mafundisho ya mashetani kama ilivyo kuraan tu na Sio ukristo.
 
Yameokolewa kwani mnaowana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake makanisani huku mkiwaomba Watakatifu *******

https://www.advocate.com/religion/2017/6/02/30-lgbt-saints
Weka nukuu ya bible acha kupotosha
Bible ipo wazi apa
1 Wakorintho 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
 
Nashangaa navysosema sijakuekewa. Sasa kwamaelezo yako ndio uonyeshe huo uongo uko wapi na wewe umejuaje hilo ? Kusema tu bila kuonyesha ithibati wewe unaingia katika kundi la waongo.
Tofauti ya waislam na wakristo inaanzia kwa Isaka(waislaeli) na Ishmaeli(waarabu), wakristo wanadai Isaka ndo alitaka kuchinjwa na baba yake kabla ya kuletewa kondoo na Mungu, na kwa tendo hilo Mungu akambariki Ibrahimu yeye na uzao wake wote, pia wanadai kwamba Ishmaeli ni mtoto wa kijakazi cha Sara ambaye alipatikana baada ya Sara kumuomba mmewe kuzaa na kijakazi baada ya yeye kushidwa kuzaa.

Waislam wao wanadai Ishmaeli ndo aliyetaka kuchinjwa na baba yake na baadaye kubarikiwa, wanakataa pia kuwa Ishmaeli si mtoto wa kijakazi cha Sara bali ni mtoto mkubwa wa Ibrahimu kwa mke mwingine.

Kama mkikubaliana kwenye hili, basi mjadala wenu utakuwa umeisha.
 




Ulipo kubaliana na Mimi hapo [emoji116]ref screenshot au sio wewe ulieandika hayo maneno?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…