Uislam na Kingereza wapi na wapi?
 
Unataka kusema MUNGU Ana DHAMBI?? [emoji44][emoji12]
Mjinga wewe huwezi kutumia akili ata kidogo πŸ˜€

Kwani Mungu ana thawabu? nani anamuhukumu Mungu kuwa kafanya dhambi au kapata thawabu πŸ˜€

Pumbav wahed πŸ˜€
 
Bibilia ni kitabu mnachodai kimetoka kwa Mungu (ilhali hamujui hata nani kaandika). Kujidai kuwa eti wakiristo wanatumia bibilia tu, ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa. Kama hujui kamuulize padre wako akwambie kuwa zipo source nyengine ambazo zinatumiwa kama reference.

Mungu wako kampachika mimba katoto cha miaka 13 ili azaliwe πŸ˜€

Na kama haitoshi, bibilia ikwaamrisha kuwaua wanaume ili mjipatie VITOTO vya kike kwa ajili yenu πŸ˜€ Uchimvi mtupu kwenye bibilia.

Na hio hadithi ulioileta na ile ya mara ile twambie ni kwa mujibu wa akaunti ya nani? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Swali limekushinda kujibu sio?

By the way, Ngono ukifanya na mkeo sio kosa, na ukiota unafanya ngono sio kosa wala sio dhambi. Tatizo lenu mshazoea kufanya uzinifu mkazaliwa na kuwazaa watoto wa nje ya ndoa sasa mnashindwa kutofautisha ndoa na uzinifu wenu πŸ˜€

Jibu maswali mchimvi
 
Nyie, huyo mnaemwita "Yesu" akirudi leo ukimwita "Yesu" hakuelewi.

Nani aliwadanganya kuwa jina lake "Yesu"?

Lugha za Kihebrania ba Aramaic hazina herufi Y.

Halafu hiyo Biblia mnayosoma ni kopi ya kopi ya kopi ya kopi ya kopi...

Iko wapi "orijino"?

Acheni kulisha watu matango pori.
 
Mjinga wewe huwezi kutumia akili ata kidogo πŸ˜€

Kwani Mungu ana thawabu? nani anamuhukumu Mungu kuwa kafanya dhambi au kapata thawabu πŸ˜€

Pumbav wahed πŸ˜€
Asante [emoji117] HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE [emoji123][emoji106]
 
Asante [emoji117] HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE [emoji123][emoji106]
Karibu tena, najua jibu nlokupa tayari umetambua ukweli, lakini kwa vile wewe ni mjinga basi utaachana na ukweli na utamfata shetani .Wewe endelea kuabudu mtu πŸ˜€ wacha sisi wengine tumuabudu alieumba mbingu na ardhi πŸ™‚

By the way kabla hujakimbia, nijibu hili hapa chini basi mana umeliruka:

 
Tatizo ni kuwa Yesu hawez kuwa Mungu. Mungu hazaliwi na wala hazai...

Au wewe hoja yako ilikuwa inasemaje?
Acha ukafiri ww! MWANADAMU KWELI HAWEZI KUWA MUNGU jee NA MUNGU HAWEZI KUWA MWANADAMU??
 
Acha ukafiri ww! MWANADAMU KWELI HAWEZI KUWA MUNGU jee NA MUNGU HAWEZI KUWA MWANADAMU??
Ukafiri ni kuamini kuwa Mungu anaweza kuwa mwanadamu. Huo ni ukafiri mkubwa sana! na ndio maana hata wewe mwenyewe umejiita mjinga na kukiri kuwa ile kengele ya kanisa huwa inawaita wajinga. Tatizo lako wewe ni mwanaharamu uliekubuhu. Ivi mungu ajigeuze katika umbile la kiumbe dhaifu? Yaani Mungu muweza wa yote adhalilike asulubishwe na watu? Yaani Mungu awe hoi bin taaban halafu anajiomba msaada mwenyewe? Shetwani Rrajium......
 
ww jidanganye mnyewe mwali WANGU BIBLIA TAKATIFU INA TBS MOJAWAPO NI HII [emoji116]Halafu TUMEHIFADHI KIFUANI [emoji116] na ndio tukafahamu koloani NI famba [emoji44][emoji23][emoji23] HAKUNA ALICHO SAHAU MUNGU HADI AMTUME muhammad ibn Abd'Allah!
 
Akiwa mtumishi huwa anatumwa na nan? πŸ˜€
ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji106][emoji123] YALE ALIYO TUFUNULIA NDIYO TUNAYO YAHUBIRI KWA JIHAD NA KUWAFUNDISHA WATOTO WETU [emoji123][emoji123][emoji123][emoji106]
 
ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji106][emoji123] YALE ALIYO TUFUNULIA NDIYO TUNAYO YAHUBIRI KWA JIHAD NA KUWAFUNDISHA WATOTO WETU [emoji123][emoji123][emoji123][emoji106]View attachment 1169382
Akiwa mtumishi hutumwa na nani? Swali jepesi tu linakushinda?

John 8:42 Yesu akawaambia, "Kama Mungu angekuwa Baba yenu, mngenipenda mimi, maana mimi nilitoka kwa Mungu na sasa niko hapa. Sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila yeye alinituma.
 
upo? naona uliufyata!
Quran ilikuja kipindi cha mtume wala haikuwepo kabla yake. Hivyo kitabu kilichokuepo ni Biblia tu na quraan imekuja kuichalenge biblia na kuukataa Uungu wa Yesu. Hii imesababisha unabii utimie wa mpinga kristo na soon atajitokeza waziwazi mkuu wa quraan yake na kukokota wafuasi wake motoni. Inabidi utubu leo na kumfuata Yesu wakati bado mlango wa neema upo wazi.
 
Quran ilikuja wakati wa Mtume s.a.w, na wewe umemwita mtume, kwaio tayari umetambua kuwa yeye ni mtume wa Mungu.

Bibilia haikuwepo wakati Yesu, ilikuja kuandikwa baada ya miaka kupita, sasa nyie mnainasibisha na Yesu, Quran imekuja kuwaweka sawa.

Hata hivo, Sio Quran tu inapinga Uungu wa Yesu, hata Bibilia nayo pia inapinga na kukufundisha kuwa alikuwa mtume tu. πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…