- Ni vizuri kutambua kuwa mtume wetu ALIOA na hakuzini. Sijaona dini yoyote ambayo imekataza kuoa. Hapa huna hoja zaidi ya ujing.a Nilikwambia kuwa nyie hamujui kutofautisha ndoa na uzinifu, wengi wenu mmezaliwa nje ya ndoa, yaani wanaharamu. Sasa kama ameoa kosa lake liko wapi?Abdul leo nimepata issue nyingine ya mudi , je kweli aliiba chupi ya mwanamke
- Ni vizuri kutambua kuwa mtume wetu ALIOA na hakuzini. Sijaona dini yoyote ambayo imekataza kuoa. Hapa huna hoja zaidi ya ujing.a Nilikwambia kuwa nyie hamujui kutofautisha ndoa na uzinifu, wengi wenu mmezaliwa nje ya ndoa, yaani wanaharamu. Sasa kama ameoa kosa lake liko wapi?
- Kwa bahati nzuri au mbaya, mtume wetu hakuwa na mtoto wa kiume, na kama alikuwa nae naomba umtaje jina basi tumjue.
- Labda tukuulize, huyo aliemuua ni nani?
Maliza ulichoanza basi kwanza...
Mungu wa wakiristo alisema:
Hesabu 31:18
Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.
Ndio waliopokonywa mke hao na mtume?Alio wamiliki mkono wake wa kuume NI WAKE ZAKE?? Kasim, Abdullah, na Ibrahim sio wanawe??[emoji12]
Ndio waliopokonywa mke hao na mtume?
Mbona katika list uloitaja mwanzo hukumtaja Zaid? kwanini?Zaidi ndie aliyepokonywa mkewe na mo! chilubi mo alificha nini moyoni kuhusu Mke wa MWANAE??!View attachment 1181228View attachment 1181229
Mbona katika list uloitaja mwanzo hukumtaja Zaid? kwanini?
Mbona katika list uloitaja mwanzo hukumtaja Zaid? kwanini?Siandiki utakavyo wewe [emoji44][emoji12]unaendeleza wazimu wako wa maswali [emoji116]View attachment 1181353
Ina uhusiano na hii mada?Mambo ni mengi muda ni mchache
Hata sijuiIna uhusiano na hii mada?
Ni dhahiri kabisa, ndugu waislamu huwaaminisha wakristo kuwa Yesu ndiye Issa. Kiukweli hili ni uongo mweupe! Pana tofauti kubwa Kati ya Yesu na Issa!
1. Yesu alikuwa myahudi-Issa hakuwa myahudi
2. Yesu alizaliwa Bethlehem kwenye hori la ng'ombe-Issa alizaliwa chini ya mtende.
3. Yesu hakuongea soon baada ya kuzaliwa-Issa aliongea baada ya Kuzaliwa (kama sheik Sharifu)
4. Yesu aliishi miaka 33-Issa aliishi miaka 40
5. Yesu aliteswa msalabani akafa na kufufuka-Issa cjui alikufaje.
6. Yesu ni Mungu na alitenda miujiza mingi na aliyaweza yote hata wasiyoamini-Issa hakufa msalabani, alitoroka!
7. Yesu aliacha mitume 12-Issa anasema Mtume wa mwisho ni Muhammad ambaye Yesu hamtambui kama Mtume Bali kiumbe wake.
Tofauti ni nyingi, Waislamu bakini na Issa wenu,msilazimishe wakristo wamuamini.
Nadhani ndiye aliyeachiwa Injili yenu isiyoonekana mpk mwisho.
Hana Baba.1. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huyu Nabii kwenye Quran anatambulika kama Issa Bin Mariam. Kwa jina la Mama yake ni si ukoo wa Baba yake kama wengine wote waliosalia.
Ni mtume kama mitume wengine.... Ni mtume wa mwisho wapili kabla ya mtume Muhammad SAW2. Je wenye Quran wanamwamini ktk namna gani? Kuwa ni mtume. Je ni mtume kama Mtume mwingine?
Watakuja kujibu wenyewe..3. Je wasiotumia Quran wanamfaham na wanamkubali kuwa ni mmoja ya manabii?
Naaam....Naomba tujadiliane kwa utulivu kwa nia ya kujifunza. Mimi naifaham Quran na ninaifahamu Biblia. Kwa kuwa nmekulia katika mazingira yote mawili.
Hakuna mtu asiye na baba. Anakosaje baba?Hana Baba.
Ni mtume kama mitume wengine.... Ni mtume wa mwisho wapili kabla ya mtume Muhammad SAW
Watakuja kujibu wenyewe..
Naaam....
Baba yake ni nani ?Hakuna mtu asiye na baba.
Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....Anakosaje baba?
Mohamad siyo mtume wa Mungu. ni mjanjamjanja fulani hiviHana Baba.
Ni mtume kama mitume wengine.... Ni mtume wa mwisho wapili kabla ya mtume Muhammad SAW
Watakuja kujibu wenyewe..
Naaam....