one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Nenda kasome acha kutoa mapovu watu wa Pauloacha uzushi jews na misikiti wap na wapi....hata ukristo pia sio wote wanakula nguruwe,
je wajua wayahudi hawali bata, ngamia, samaki wasio na magamba wanaoliwa na waislamu
lini waislamu mliwapa wayahudi msikiti waswalie
mfano Ibada ya IJUMAA inatokana na ugomvi wa Wayahudi na Muhammad.
- Kutokana na hali hiyo mahusiano baina ya Muhammad na Wayahudi
yaliharibika,
Fuatilia katika aya zifuatazo:-
Qur-an 5_:82 Maadui wa Uislam ni Wayahudi
Qur-an 2:I04 [Ufafanuzi] Wayuhudi
walihitirafiana na Muhammad na kurushiana
maneno.
Tangu hapo Muhammad hakupenda kamwe kuwiana na kile wanachofanya wayahudi katika mifumo ya kidini, na ndipo anaitangaza rasmi siku ya ljumaa kama siku ya sala katika Ummah wa Kiislam wakati huo akiwa Yathrib (Madina),
lini waislamu mliwapa wayahudi msikiti waswalie
Kulishwa matangopori ndio lugha gani hiyo?Yesu mtoto wa Maryam na Isa bin Maryam ndio huyohuyo mmoja shida ni kwamba wewe umelishwa matango poli na wazungu
Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Quran 61-6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!
Kuna MWEHU kaingilia uzi wako!Nlitoa angalizo. Kwenye huu mjadala tunahitaji watu Wenye akili.
Inabidi ukasome sana sijasema wamewapa wayahudi wanasema ikiwa msikiti hautumiwi wanaweza kuutumia lakini sio kanisa. Tofauti kubwa wakristo wanaamini YESU kisha beba dhambi zao zote kumuamini tu peponi wakati dini ya kiyahudi na kislamu dhambi kila mtu anachuma yeye mwenyewe na sisi tunawali mara tano wayahudi mara 3. sisi hatuli wanyama wasiokuwa na kwato na wayahudi pia, sisi tunatahiri na wao pia ni vizuri ukaenda ukasoma au kusikiliza youtube kwa viongozi wa kidini tena nenda kwa mayahudi wala sio waislam utasikia mawe huko na vijembe kuhusu YESU tena Paul ndio kabisa wanasema janja janja tu mission town.acha uzushi jews na misikiti wap na wapi....hata ukristo pia sio wote wanakula nguruwe,
je wajua wayahudi hawali bata, ngamia, samaki wasio na magamba wanaoliwa na waislamu
lini waislamu mliwapa wayahudi msikiti waswalie
mfano Ibada ya IJUMAA inatokana na ugomvi wa Wayahudi na Muhammad.
- Kutokana na hali hiyo mahusiano baina ya Muhammad na Wayahudi
yaliharibika,
Fuatilia katika aya zifuatazo:-
Qur-an 5_:82 Maadui wa Uislam ni Wayahudi
Qur-an 2:I04 [Ufafanuzi] Wayuhudi
walihitirafiana na Muhammad na kurushiana
maneno.
Tangu hapo Muhammad hakupenda kamwe kuwiana na kile wanachofanya wayahudi katika mifumo ya kidini, na ndipo anaitangaza rasmi siku ya ljumaa kama siku ya sala katika Ummah wa Kiislam wakati huo akiwa Yathrib (Madina),
lini waislamu mliwapa wayahudi msikiti waswalie
Hakuna haja ya mapovu wewe unayebandika bendera ia Israel kanisani kwako lakini ukiwasikia wayahudi wenyewe wanawadharau sana wakristo yaani YESU wanasema sio Mesiah ni muhubiri tu sasa ikiwa YESU wamekataa kabisa hakuwa na sifa kuitwa muokozi kwani bado hajaja ndio waje kumuamini Paulo. Kasome kuhusu Jews juu ya christian utaogopa maono yao zero.huko msikitini wanatumia kitabu gani
acha kutupiga kamba mkuu tangu lini myahudi anaingia msikitini acha kutuchota!Wanatumia Sinagouge ila wanaruhusiwa msikitini kuingia kufanya ibada zao sio kuswali kama waislamu ila kanisani hawaruhusiwi.
acha uzushi jews na misikiti wap na wapi....hata ukristo pia sio wote wanakula nguruwe,Hakuna haja ya mapovu wewe unayebandika bendera ia Israel kanisani kwako lakini ukiwasikia wayahudi wenyewe wanawadharau sana wakristo yaani YESU wanasema sio Mesiah ni muhubiri tu sasa ikiwa YESU wamekataa kabisa hakuwa na sifa kuitwa muokozi kwani bado hajaja ndio waje kumuamini Paulo. Kasome kuhusu Jews juu ya christian utaogopa maono yao zero.
Isa ni mtume wa Waislam, Wakristo wana Yesu. Usichanganye Yesu na Isa au Issa. Ni watu wawili tofauti. Hata Waarabu ambao ni Wakristo, hawamwiti Yesu, Issa, bali wanamwita Yesu, Yasu.Tahadhali : huu si mjadala wa mashambulizi ya Kidini. Ni mjadala qwa kisomi wa kujenga Hoja. Kelele za Dini zenu pelekeni kwingine. Hapa tunataka hoja na uelewa. Sisi wengine hatuna Dini.
1. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huyu Nabii kwenye Quran anatambulika kama Issa Bin Mariam. Kwa jina la Mama yake ni si ukoo wa Baba yake kama wengine wote waliosalia.
2. Je wenye Quran wanamwamini ktk namna gani? Kuwa ni mtume. Je ni mtume kama Mtume mwingine?
3. Je wasiotumia Quran wanamfaham na wanamkubali kuwa ni mmoja ya manabii?
Naomba tujadiliane kwa utulivu kwa nia ya kujifunza. Mimi naifaham Quran na ninaifahamu Biblia. Kwa kuwa nmekulia katika mazingira yote mawili.
Hata wewe muislam mweusi "Kaffir" unadharauliwa na muarabu.Hakuna haja ya mapovu wewe unayebandika bendera ia Israel kanisani kwako lakini ukiwasikia wayahudi wenyewe wanawadharau sana wakristo yaani YESU wanasema sio Mesiah ni muhubiri tu sasa ikiwa YESU wamekataa kabisa hakuwa na sifa kuitwa muokozi kwani bado hajaja ndio waje kumuamini Paulo. Kasome kuhusu Jews juu ya christian utaogopa maono yao zero.
Hadi siku Yesu anapaa mbinguni kulikuwa hakuna dini inayoitwa ukristo na hata hao wa Israel aliyowaacha hadi Leo hi hawautaki wala hawaujui ukristoMSILAZIMISHE ISA NDIO YESU MNAZARETHI.... MNAFAIDIKA NINI
Jina Isa maana yake ni hii
Katika Qurani yenye jumla ya juzuu 30; Surah 114; aya 6236; maneno yenye kutamkia 76,440; herufi 322,373; jina Isa linatamkwa lisa au Aysi limetajwa mara 25. Isa pia ameitwa masihi mara 93. Lakini tunaposoma Qurani iliofarsiriwa na Imam Baidawi vol 1 ukurasa 160 ameeleza kuwa Isa jina la Kiarabu maana yake ni Wekundu unaozidiana na weupe.
Maana ya jina Yesu
JINA Yesu lintokana na lugha ya Kiebrania ‘Yehoshua’ katika lugha ya Kigiriki wanasema ‘lesous’ inatamka ‘Yesous’ yaani Yesu. Katika lugha ya Kiarabu wanasema ‘Yasu’, kwa kiingereza ni “Jesus” maana yake ‘Bwana anaokoa au Bwana ni Mwokozi’ Isaya 43:6, 10-11. Katika Biblia ambayo in jumla ya Sura 1189; aya 31,102; vitabu 66 – Agano la kale vitabu 39 na agano Jipya vitabu 27; neno Mwokozi kiiengereza wanasema ‘Saviour’ limetajwa mara 55. Ikumbukwe kwamba katika agano jiypa jina Yesu au Yehoshua (kwa kiebrania) limetajwa mara 1275 katika aya zipatazo 1226. Zingatia pia kuwa agano jipya lina jumla ya aya 7930 na sura 260 hivyo hapa tunaona jina Yesu maana yake ni Mwokozi na jina Isa ni wekundu uliozidiana na weupe.
Kwa kuwa maana ya haya majina tofauti bila shaka Isa sio Bwana Yesu.
Je unamjua baba yake Adam na Baba yake Hawa? Au hao hawakuwa watu? Kwa mwenyezi Mungu hakuna linaloshindikana. Anaweza kunfanya mtu atokee kwenye mbuyu na ikawezekana.Hakuna mtu asiye na baba. Anakosaje baba?
Ili uwe mtume wa Mungu unapaswa iwe mjinha mjinga? Je ujinga ndio sifa kuu kwa mtu Kuwa Mtume?Mohamad siyo mtume wa Mungu. ni mjanjamjanja fulani hivi
Mmmhhh. Kasheshe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]N Yesu au YESU na si yesu na paulo hakuandika biblia aliandika baadh ya vitabu kama timotheo wagalatia wafilipi wakolosai na wathethalonike na aliandika chini ya uongozi wa MUNGU
Awali ya yote kwanza nakupa kongole kama ni kweli wewe ni mweleledi wa hivi vitabu vya dini kingine ni kwamba hiyo hiyo quran imetoa jibu kuhusu hili jambo kwa wanao amini quran sura ya tatu imeelekeza kwa sababu mungu anajuwa mupo mutakao hoji kama wewe kabla ya kuuliza ulitafakari nabii Adam ni Adam bin nani?Tahadhali : huu si mjadala wa mashambulizi ya Kidini. Ni mjadala qwa kisomi wa kujenga Hoja. Kelele za Dini zenu pelekeni kwingine. Hapa tunataka hoja na uelewa. Sisi wengine hatuna Dini.
1. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huyu Nabii kwenye Quran anatambulika kama Issa Bin Mariam. Kwa jina la Mama yake ni si ukoo wa Baba yake kama wengine wote waliosalia.
2. Je wenye Quran wanamwamini ktk namna gani? Kuwa ni mtume. Je ni mtume kama Mtume mwingine?
3. Je wasiotumia Quran wanamfaham na wanamkubali kuwa ni mmoja ya manabii?
Naomba tujadiliane kwa utulivu kwa nia ya kujifunza. Mimi naifaham Quran na ninaifahamu Biblia. Kwa kuwa nmekulia katika mazingira yote mawili.
We mwamba acha uongo,wakati wa nabii issa quraan haikuwepo
Unasema Issa alitumia Qur'an ?
Hilo limetosha kunidhihirishia ignorance yako..
Unasema Issa alitumia Qur'an ?
Hilo limetosha kunidhihirishia ignorance yako..
Usilo lijua ni kwamba hayo uliyoyasema yote ni mafundisho uliyoyapata kutoka kwa wazungu ambao ndio waliokuletea ukristo
Lakini wana wa Israel waliokaa na Yesu na kuishie nae kama jirani yao ukristo wala hawaujui
Hiyo 2% ya wakristo hapo imepatikana kutoka kwa wageni kama wewe kama ukienda kuishi nchini Israel
Hivyo wewe huna uwezo wa kupinga ilichosema Quran kuhusu Yesu kwa sababu wewe waliokufundisha habari za Yesu sio wa Israel ila ni wazungu sasa je! Hizo habari za Yesu hao wazungu walikufundisha wewe wao walizipata wapi mnajua nyinyi
90% ya Italy ni wakristo kwa sababu wao ndio waliianzisha hiyo DiniView attachment 1793647View attachment 1793651
Tatizo wengi huwa hatusomi na kuelewa narudia tena sijasema wanaingia msikitini nimesema ikitokea kuna msikiti uko wazi hautumiki na kanisa liko wazi halitumiki wayahudi wakataka sehemu ya kufanyia ibada yao kwa namna yao kidini wanaruhusiwa kuomba msikiti kufanyia ibada kivyao sio kanisa hawaruhusiwi. Uzuri mimi nasoma sana hizi dini zingine sio kuingia kutaka kujuwa history sasa kama unaona nacho sema uwongo si google tu utajionea.Sababu kubwa wale viongozi wao wa kidini wanasema wao na waislamu kwa kuwa wanaamini Mungu huyu mmoja ila wakristo tofauti. wanaamini makanisa wanaabudu masanamu misikiti hapana.acha kutupiga kamba mkuu tangu lini myahudi anaingia msikitini acha kutuchota!
Hebu nieleze kwa urahisi mimi nasoma mambo ya history za kidini. Nimesema ikitokea wayahudi hawana sehemu ya kufanyia ibada wakakuta msikiti hautumini au wakaomba na wakaruhusiwa basi wanaweza kufanya ibada ya kiyahudi ila wayahudi hawaruhusiwe kuingia kanisani kwa kuamini kuwa makanisa wanaabudu masanamu kwani wamekatazwa katika dini yao kwa maana nyingine wanasema waislamu na wao wanatofauti lakini wote wanaamini Mungu mmoja lakini sio wakristo haya ni maneno ya Ma Rabbi wa kijews sio mimi nenda kafanye research. Jews wanawatizama wakristo kama Idol worshipers haya ndio maneno yao.acha uzushi jews na misikiti wap na wapi....hata ukristo pia sio wote wanakula nguruwe,