Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,943
- 2,597
Weka hoja vizuri niielewe mimi mana pengine wewe umejielewa umejengea hoja nini.Sijui kwanini Qu-aran ilipiga hi u-turn kwa jina la Yesu, tukumbuke Qu aran imekuja miaka zaidi ya 600 tokea Biblia kuwepo, wakati Qu aran inakuja, tayari kulikua na Biblia za lugha ya Kiarabu, Biblia za Kiarabu, hazimtaji Yesu kama Nabii Issa, zinamtaja Yesu kama YASU, angalia vizuri, Kiswahili, Yesu, Kiarabu Yasu, Kingereza Jesus; sasa hili la Nabii Issa ni lugha gani?
Jina Issa Muhammad alilitoa wapi? swali la ziada tunaona issa alikuwepo kabla ya muhammad, ni vitabu gani kabla ya muhammad tunaweza kumsoma issaWeka hoja vizuri niielewe mimi mana pengine wewe umejielewa umejengea hoja nini.
Ila mimi sijaelewa hoja yako ipi hasa katika comment hii
Ipoje? Ungeweka maelezo tofauti mkuu ingekuwa vizuri sana .Turner syndrome haiko hivyo ulivyoelezea.
Kwa hiyo dini ya Jesus Christ (Christian) imeanzishwa na asiye Christ (Paul) !... tena wameenda mbali kusema dini ya kikristo muanzilishi ni Paul sio yesu.
Mi sijaona swali hapo Quran haiwezi kuandikwa kama unavyo taka wewe
Quran 2-27.
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.
128.
Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
129.
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Huyo ni nabii Ibrahim na mwanawe Ishmael walipo maliza kujenga msikiti wa Maka nchini Saudi Arabia ya sasa wakamuomba Mungu alete mtume anaetokana na vizazi vya Ishmael
Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.
Nakuwekea Family tree ya watoto wa Ishmael kuanzia Kedar hadi Muhammad na ramani ili kuonyesha kuwa hao watoto wa Ishmael waliishi Saudi Arabia
K
Wewe labda upinge kuwa Kedar sio mtoto wa Ishmael na pia vizazi vya Ishmael hajawahi kuishi Saudi Arabia
Zaidi yahapo nenda tu kanisani ukaimbe na kupiga makofi usubiri siku yako ya kufa upelekwe Jahanam
View attachment 1795383View attachment 1795385
Hayo sio maneno yangu ni maneno ya mayahudi Rabbi wao.Kwa hiyo dini ya Jesus Christ (Christian) imeanzishwa na asiye Christ (Paul) !
Wewe nani alikuambia kuwa Tourat ni kitabu cha wakristo?Kwa nini unategemea biblia kuelezea korani yako?
Lakini hapa wameulizwa waisilamu, sio Wayahudi. Sasa mbona umewajibia watu ambao swali halikuelekezwa kwao?Hayo sio maneno yangu ni maneno ya mayahudi Rabbi wao.
Mimi nikiongea kama muislam itakuwa naonesha upendeleo maneno yangu hayana nguvu sasa ukitaka maoni ya waislamu ni wazi kuwa agano jipya ni false na Paul hayuko katika uislamu kabisa sasa nimechukuwa upande mwingi wa dini watu ambao wakristo wanaona wenzao zaidi jews na wao wanasema Paul ni false ila wale wameenda mbali hata Yesu wanasema sio Messiah kwani Messiah bado hajaja ila sisi waislamu tunaamini Yesu ila siyo yale aliyoleta Paul baadae. ndio maana nime quote third party Jews maoni kama mimi hayana nguvu.Lakini hapa wameulizwa waisilamu, sio Wayahudi. Sasa mbona umewajibia watu ambao swali halikuelekezwa kwao?
hakuna swali limeulizwa kwa waislamu nilichoongea hapa wengi hawa jamaa zangu wanaobandika au ku support jews wanauelewa mdogo wakidhani mayahudi wanawakubali lakini katika watu wasiokubali wakristo ni mayahudi wamemkataa Yesu na zaidi wanasema Paul ndio majanga ndiye alileta hii dini mpya na sisi waislamu hatujui mtu Paul hayuko kwetu.Lakini hapa wameulizwa waisilamu, sio Wayahudi. Sasa mbona umewajibia watu ambao swali halikuelekezwa kwao?
Acha kujifurahisha , zaburi , injili ya ISSA za waislamu naomba nipe ata sura moja moja , niwe mwislamu leoWewe nani alikuambia kuwa Tourat ni kitabu cha wakristo?
Tourat
Zaburi
Injili
Quran
Hivi vyote ni vitabu vya waislam ndio maana unaona tuna copy na Ku pest bila ya shida
Nyinyi wakristo vitabu vyenu ni Tito, waefeso, Wagalatia, wakolitho mlipo vipata mnajua wenyewe sisi hatujui
Najaribu kusema kwamba Yesu wa kwenye Biblia, sio Issa bin Mariamu wa kwenye Qu aran. Qu aran ni Kiarabu kwa sehemu kubwa, Biblia za Kiarabu hizo hizo hazim address wa nabii Issa kwa jina hilo, zinamtaja kama Yasu, huyu nabii Issa labda ni mtume mwingine ambaye hatuji hasa aliandikwa kwenye kitabu gani, remember kwa Qu aran, huyu nabii Issa historia yake haijaandikwa kwa marefu na mapana, is like Qu aran inatutaka wasomaji wake twende kwenye vitabu vingine vitakatifu ambavyo haijavisema ni vipi hivyoWeka hoja vizuri niielewe mimi mana pengine wewe umejielewa umejengea hoja nini.
Ila mimi sijaelewa hoja yako ipi hasa katika comment hii
Ni kweli Yesu siyo Issa ,lakini pia Yesu siyo Jesusu !Yesu Siyo Issa
Aliingiliwa lazima ww mtu anashikaje mimba bila kupandwa?Baba yake ni nani ?
Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....
Alilitoa kwenye Qurani aliyoteremshiwa na Mola wake kwani muhammad yeye hakuwa anajitungia habari wala majina,yeye alinukuu Qurani.Jina Issa Muhammad alilitoa wapi?
Naam Qurani imesimulia hayo.swali la ziada tunaona issa alikuwepo kabla ya muhammad,
Nabii issa alishushiwa injili kea mujibu wa Qurani.ni vitabu gani kabla ya muhammad tunaweza kumsoma issa
Umeongea sana.Najaribu kusema kwamba Yesu wa kwenye Biblia, sio Issa bin Mariamu wa kwenye Qu aran. Qu aran ni Kiarabu kwa sehemu kubwa, Biblia za Kiarabu hizo hizo hazim address wa nabii Issa kwa jina hilo, zinamtaja kama Yasu, huyu nabii Issa labda ni mtume mwingine ambaye hatuji hasa aliandikwa kwenye kitabu gani, remember kwa Qu aran, huyu nabii Issa historia yake haijaandikwa kwa marefu na mapana, is like Qu aran inatutaka wasomaji wake twende kwenye vitabu vingine vitakatifu ambavyo haijavisema ni vipi hivyo
Kitabu hicho kinasema ukiona mambo huyelewi uliza vitabu vilivyokuwepo kabla yake yaani injili, zaburi na torati.I injili hasa ya Yohana iko wazi kuhusu uungu wa Yesu. Kwangu Mimi issa bin Mariam ni distorted explanations of Jesus Christ of the Bible. Ni sawa ikiandikwa Hadith ya Nyerere Nigeria inayosema alizaliwa dar, akafia muhimbili. Ila ukija Tanzania utakutana na maandiko yanasema wazi kazaliwa mwitongo na kafia st Thomas UK. Ntawaamini wayahudi zaidi ya Yesu wa uarabuni.Jina Issa Muhammad alilitoa wapi? swali la ziada tunaona issa alikuwepo kabla ya muhammad, ni vitabu gani kabla ya muhammad tunaweza kumsoma issa
We unachekesha sana hicho kitabu cha Yohana kilichosema Yesu ni Mungu na wewe ndio unakiamini huyo mwandishi aliyoandika hicho kitabu hadi Leo hi bado hajulilikaniKitabu hicho kinasema ukiona mambo huyelewi uliza vitabu vilivyokuwepo kabla yake yaani injili, zaburi na torati.I injili hasa ya Yohana iko wazi kuhusu uungu wa Yesu. Kwangu Mimi issa bin Mariam ni distorted explanations of Jesus Christ of the Bible. Ni sawa ikiandikwa Hadith ya Nyerere Nigeria inayosema alizaliwa dar, akafia muhimbili. Ila ukija Tanzania utakutana na maandiko yanasema wazi kazaliwa mwitongo na kafia st Thomas UK. Ntawaamini wayahudi zaidi ya Yesu wa uarabuni.