We jamaa umekariri vibaya hicho kitabu chenu biblia na unajibu kwa jazba na pasipo maarifa. Hayo unayoyazungumza wewe ni utofauti wa majina ya huyo Yesu/Issa ktk vitabu viwili lakini wakimkusudia mtu mmoja yule yule. Hiyo haina tofauti na watu ama manabii na malaika wanavyoitwa ndani ya Quran tukufu na biblia. Mfano. Malaika Jibril(Quran) ndio huyo huyo anaitwa Gabriel (biblia), Mussa vs. Moses, Nuhu vs. Noah, Is haka vs. Isaka nakadhalika. Yesu amefafanuliwa uzao wake tangu bibi yake (mama wa Mariam) ambaye aliomba Mungu amjaalie mtoto baada ya kukaa hadi uzee bila mtoto siku alipoona ndege mtini akilisha watoto wake..quran inaendelea hadi kuelezea Habari za Mariam na kisha sura kamili kumuhusu Yesu; Quran ikimtaja kama Issa Mtoto wa Mariam na maisha yake yote hadi alipoondola duniani. Biblia ina mambo mengi yaliyopindishwa ukweli wake ili kukidhi matakwa ya watu ila Quran haijawahi chakachuliwa na yenye kueleza ukweli tupu. Kiongozi wa waislamu ni Mtume Muhammad (saw), wala si Issa. Isipokuwa waislam wanawaamini mitume wote wa Mwenyeji Mungu hata wale wa kabla ya Muhammad akiwemo Isaa/Yesu. So quran ni version ya mwisho kabisa ktk vitabu vya Mungu ambavyo ni Tawrat, zabur, injil na baadae ndipo ikaja quran. Ndio maana mambo yoote ya nyuma utayakuta ndani ya Quran lakini sio yote yaliyomo ndani ya quran utayakuta kwenye vitabu vya kabla au hata Biblia.Yesu siyo Issa.
Issa ni nabii wa Kiislamu. Sisi wakristo hatumtambui Issa.
Hushawahi kuona wakristo wanamuita Yesu km Issa?
Ignorance alikuwa nayo yule mtume ambaye alikuwa hajui kusoma na kuandika. Mm najua kusoma na kuandika kwahiyo huwezi kunidanganya kwa lolote.
Pole sana.
Narudia tena. Yesu siyo Issa
Wewe ndio umeleta hayo mambo ya Yesu, hebu rudia mchango wako wewe mwenyewe No 13 kasome tenaUmeongea sana.
Kwani mimi wapi nimemtaja huyo yesu hapa mkuu ?
Mada mezani ni issa bin maryam.
Wewe unaniletea hoja za yesu wapi na wapi mkuu.
Mtafute ambae kaleta hoja sa yesu ufanye nae mjadala mkuu mimi sikumtaja yesu katika hii thread na wala sijasema yesu ni issa.
Hii Injili aliyoshushiwa Issa wa Koran ipo wapi? Je kuna kitabu chochote nje ya Koran au Historia yoyote inayotaja kuwepo kwa Issa.
Alilitoa kwenye Qurani aliyoteremshiwa na Mola wake kwani muhammad yeye hakuwa anajitungia habari wala majina,yeye alinukuu Qurani.
Naam Qurani imesimulia hayo.
Nabii issa alishushiwa injili kea mujibu wa Qurani.
Hivyo nabii issa katajwa na injili yake aliyoshushiwa.
Nimekujibu kwa mujibu wa nilivyoisoma Qurani
Hujaelewa.Wewe ndio umeleta hayo mambo ya Yesu, hebu rudia mchango wako wewe mwenyewe No 13 kasome tena
Sijui wka sasa iko wapi.Hii Injili aliyoshushiwa Issa wa Koran ipo wapi?
Sijawahi kusikia kitabu kingine kikimtaja issa huwenda kip au hakipoJe kuna kitabu chochote nje ya Koran au Historia yoyote inayotaja kuwepo kwa Issa
Qurani ni masimulizi ya Mola ambayo yametaja wahusika mbalimbali na kunukuu kauli za mahusika hao.Maana
Baada ya kifo chake, yale maajabu yaliyotokea pale golgota wengi wa wayahudi waakaamini kwamba kweli alikuwa ni Mesiyah kweli.Na wayahudi wanasema hivyo hivyo Yesu alikuwa muhubiri mzuri tu mjanja lakini hakuwa Mesiah kwao Mesiah
Yesu (kwa Kiebrania יֵשׁוּעַ, Yeshua, kifupisho cha יהושע, Yeoshua, yaani "Mungu anaokoa") alikuwa Myahudi mwanamume aliyeishi miaka 2000 hivi iliyopita (labda 6 KK - 30 BK).Mie naomba kujuzwa
Issa bin Mariam=kiarabu
Yesu =Kiswahili
Jesus=kiingereza/kireno
Je Kwa lugha ya kwao Israel alikuwa akiitwa nani?
Nalog off
Ahsante sana kwa elimuYesu (kwa Kiebrania יֵשׁוּעַ, Yeshua, kifupisho cha יהושע, Yeoshua, yaani "Mungu anaokoa") alikuwa Myahudi mwanamume aliyeishi miaka 2000 hivi iliyopita (labda 6 KK - 30 BK).
Alizaliwa na bikira Maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huko Bethlehemu ya Uyahudi. Maisha yake yalikuwa ya pekee kwa kuwa alifahamu vitu vingi kwa mfano: sheria hata kuwazidi walimu wa sheria japokuwa hakusomea sheria. Alifanya pia maajabu mengi.
Adam baba yake n nanHakuna mtu asiye na baba. Anakosaje baba?
SamahabIssa siyo Yesu
1. Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini mtende
2. Yesu alisurubiwa, akafa na siku ya 3 akafufuka wakati Issa hakusurubiwa, hakufa wala kufufuka.
3. Yesu alitumia Biblia. Alipewa kusoma kitabu cha Isaya na alibatizwa wakati Issa alitumia Quran na hakubatizwa.
Kwanini huwa mnang'ang'ania Yesu ni Issa? Siyo kosa lako sbb huwa mnakaririshwa.
Samahab
Lkn inaonesha dhahir kuwa ww ndo umakaririshwa tena ubaya zaid umekaririshwa matango pori
Rudi kwa alyekumezesha hzo forest cucumber alaf urud tena uje utapike matango
We jamaa umekariri vibaya hicho kitabu chenu biblia na unajibu kwa jazba na pasipo maarifa. Hayo unayoyazungumza wewe ni utofauti wa majina ya huyo Yesu/Issa ktk vitabu viwili lakini wakimkusudia mtu mmoja yule yule. Hiyo haina tofauti na watu ama manabii na malaika wanavyoitwa ndani ya Quran tukufu na biblia. Mfano. Malaika Jibril(Quran) ndio huyo huyo anaitwa Gabriel (biblia), Mussa vs. Moses, Nuhu vs. Noah, Is haka vs. Isaka nakadhalika. Yesu amefafanuliwa uzao wake tangu bibi yake (mama wa Mariam) ambaye aliomba Mungu amjaalie mtoto baada ya kukaa hadi uzee bila mtoto siku alipoona ndege mtini akilisha watoto wake..quran inaendelea hadi kuelezea Habari za Mariam na kisha sura kamili kumuhusu Yesu; Quran ikimtaja kama Issa Mtoto wa Mariam na maisha yake yote hadi alipoondola duniani. Biblia ina mambo mengi yaliyopindishwa ukweli wake ili kukidhi matakwa ya watu ila Quran haijawahi chakachuliwa na yenye kueleza ukweli tupu. Kiongozi wa waislamu ni Mtume Muhammad (saw), wala si Issa. Isipokuwa waislam wanawaamini mitume wote wa Mwenyeji Mungu hata wale wa kabla ya Muhammad akiwemo Isaa/Yesu. So quran ni version ya mwisho kabisa ktk vitabu vya Mungu ambavyo ni Tawrat, zabur, injil na baadae ndipo ikaja quran. Ndio maana mambo yoote ya nyuma utayakuta ndani ya Quran lakini sio yote yaliyomo ndani ya quran utayakuta kwenye vitabu vya kabla au hata Biblia.
Unaweza kuthibitisha kwamba Issa alitumia Qur'an ?
Wapi imeandikwa Issa alitumia Qur'an ?
Je, kama ametajwa kwenye Qur'an ndo inamaanisha kwamba ameitumia ?
Lugha sio shida kwani kiarabu kinashabihiana na kiswahili na kinaeleweka tuu na muislam ambaye hataki kusoma ni motoni kwani aya ya kwanza imesisistiza ni lazima kusoma na uelewa maarifa mbalimbaliUslamu ni dini ambayo haijakamilika yaani haijitoshelezi katika mafundisho yake. Kwasababu
1. Lugha inayotumika, inawapa ugumu wa kujua kile kilichoandikwa kwenye Quran
2. Kuwepo kwa watu wengi wasiojua kusoma Quran kwasababu ya lugha iliyotumika ya Kiarabu. Ili uweze kusoma Quran lazima ujue lugha ya Kiarabu.
3. Huwezi kuuelezea historia au manabii ktk dini ya Kislamu bila kurejelea kwenye The holy Bible.
Ukiwauliza waislamu Issa Bin Mariamu ni nani lazima wakimbilia kwenye Biblia lkn hawawezi kumuelezea Issa kutoka kwenye Quran.
Na hii inadhihiri kuwa waislamu wengi wanapata mafundisho ya kukaririshwa.
Mtoa mada ameuliza Issa Bin Mariam ni nani?
Tayari watu wanakimbilia kwenye Biblia kuwa ni Yesu kwasababu hawajui kilichoandikwa kwenye Quran. Nilitegemea wewe kama muislamu umuelezee Issa kutoka kwenye Quran cha ajabu umekimbilia kwenye The holy Bible. Inaonesha uelewa wako ni mdogo sana
Maswali
1. Unaweza kunionesha ni wapi kwenye Biblia wanamuelezea Issa Bin Mariam hata Allah?
Issa ni kwenye Quran
YESU ni kwenye Biblia
YESU SIYO ISSA.
Pia kuhusu nabii Issa kaelezwa kuanzia ukoo wake katka sura 19 surat mariam na pia ndie nabii katajwa zaidi katka Quran hivyo si kweli kwamba tukitaka kumjua lazima tufuate bible..na katka biblia tunaamini kitu kinacchoshabihiana na QuranUslamu ni dini ambayo haijakamilika yaani haijitoshelezi katika mafundisho yake. Kwasababu
1. Lugha inayotumika, inawapa ugumu wa kujua kile kilichoandikwa kwenye Quran
2. Kuwepo kwa watu wengi wasiojua kusoma Quran kwasababu ya lugha iliyotumika ya Kiarabu. Ili uweze kusoma Quran lazima ujue lugha ya Kiarabu.
3. Huwezi kuuelezea historia au manabii ktk dini ya Kislamu bila kurejelea kwenye The holy Bible.
Ukiwauliza waislamu Issa Bin Mariamu ni nani lazima wakimbilia kwenye Biblia lkn hawawezi kumuelezea Issa kutoka kwenye Quran.
Na hii inadhihiri kuwa waislamu wengi wanapata mafundisho ya kukaririshwa.
Mtoa mada ameuliza Issa Bin Mariam ni nani?
Tayari watu wanakimbilia kwenye Biblia kuwa ni Yesu kwasababu hawajui kilichoandikwa kwenye Quran. Nilitegemea wewe kama muislamu umuelezee Issa kutoka kwenye Quran cha ajabu umekimbilia kwenye The holy Bible. Inaonesha uelewa wako ni mdogo sana
Maswali
1. Unaweza kunionesha ni wapi kwenye Biblia wanamuelezea Issa Bin Mariam hata Allah?
Issa ni kwenye Quran
YESU ni kwenye Biblia
YESU SIYO ISSA.