Kuna point za msingi sana unatakiwa uzijibuWe jamaa umekariri vibaya hicho kitabu chenu biblia na unajibu kwa jazba na pasipo maarifa. Hayo unayoyazungumza wewe ni utofauti wa majina ya huyo Yesu/Issa ktk vitabu viwili lakini wakimkusudia mtu mmoja yule yule. Hiyo haina tofauti na watu ama manabii na malaika wanavyoitwa ndani ya Quran tukufu na biblia. Mfano. Malaika Jibril(Quran) ndio huyo huyo anaitwa Gabriel (biblia), Mussa vs. Moses, Nuhu vs. Noah, Is haka vs. Isaka nakadhalika. Yesu amefafanuliwa uzao wake tangu bibi yake (mama wa Mariam) ambaye aliomba Mungu amjaalie mtoto baada ya kukaa hadi uzee bila mtoto siku alipoona ndege mtini akilisha watoto wake..quran inaendelea hadi kuelezea Habari za Mariam na kisha sura kamili kumuhusu Yesu; Quran ikimtaja kama Issa Mtoto wa Mariam na maisha yake yote hadi alipoondola duniani. Biblia ina mambo mengi yaliyopindishwa ukweli wake ili kukidhi matakwa ya watu ila Quran haijawahi chakachuliwa na yenye kueleza ukweli tupu. Kiongozi wa waislamu ni Mtume Muhammad (saw), wala si Issa. Isipokuwa waislam wanawaamini mitume wote wa Mwenyeji Mungu hata wale wa kabla ya Muhammad akiwemo Isaa/Yesu. So quran ni version ya mwisho kabisa ktk vitabu vya Mungu ambavyo ni Tawrat, zabur, injil na baadae ndipo ikaja quran. Ndio maana mambo yoote ya nyuma utayakuta ndani ya Quran lakini sio yote yaliyomo ndani ya quran utayakuta kwenye vitabu vya kabla au hata Biblia.
Pia kuhusu nabii Issa kaelezwa kuanzia ukoo wake katka sura 19 surat mariam na pia ndie nabii katajwa zaidi katka Quran hivyo si kweli kwamba tukitaka kumjua lazima tufuate bible..na katka biblia tunaamini kitu kinacchoshabihiana na Quran
Yan ili tuaminin verse ya biblia lazima iwe na rejea yake katka Quran takatifu so kitabu chetu kimetimia kwa mahitaji ya dini yetu na imekamilika kuongoza watu wenye kufikiri
Tunamjadili Issa , ila na hao wengine kuna makosa napo kafanya alivyokuwa ana copy na kunchanganya fairy tale stories,Hawa wanaosisitiza Isa sio Yesu kwa sababu ya hitilagu za kimapokea baina ya Qur'an na Biblia, mbona siwasikii wakihoji Musa wa Qur'an na Musa wa Biblia, kadhalika Daudi, Yusuf, Adam, Suleiman hali ya kuwa hitalafu za kimapokeo zipo hata kwa hao?
Au ni ile agenda ya "uungu" wa Yesu ndo unazalisha hii hoja?
Hujajibu maswali yangu,, hii inadhihirisha kwamba ulikuwa unaongelea vitu ambavyo huvijui.... This proves your ignorance !!
Inampa ugumu nani ? Hv una akili kweli ww ? Kwahio Waislamu wote hawajui Kiarabu ? Na je, hakuna translation ?
Ndo maana waislam tuna kitu kinaitwa " Madrasa" ambapo tunajifunza lugha ya kiarabu..
Hii inazidi kuthibitisha kuwa unaongelea kitu ambacho hukijui..
Sio sahihi.... Wapi nimeitumia Bible kuelezea hata nabii mmoja ?
Alafu nikwambie tu kitu, sisi Waislamu tunaamini katika Injili ambayo alikuja nayo Issa kwa Wayahudi..
Hiyo Biblia ni kitabu cha Paulo,, hivyo mnafuata dini ya Paulo na sio Mungu
Mm naweza kumuelezea Issa kupitia Qur'an na Injili.....
Hivi wakristo hamtumii akili zenu kweli ?
Hamjiulizi kwanini maeneo ambayo Yesu alihubiri kwasasa kuna asilimia ndogo ya Wakristo!! Ukristo umeanzishwa na Paulo,,
Hivi kwenye comment zangu kuna sehemu yeyote nimetumia Biblia mm ?
Nilikuuliza hili swali hujanijibu,,
" Yesu ni nani kwako ? "
Nijibu hilo swali alafu nitakuonyesha sehemu Biblia inamueleza Issa..
kwanini alipandikizwa ? hapa ndipo mnafeli kwanini wengine wapatikane kwa tendo la ndoa yeye apatikane bila tendo la ndoaBaba yake ni nani ?
Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....
Ndugu yangu nasikitika unakosa "intellectual maturity" yaani hauna nidhamu ya hata kujadili vitu vya kisomi.Tunamjadili Issa , ila na hao wengine kuna makosa napo kafanya alivyokuwa ana copy na kunchanganya fairy tale stories,
hawawezi kujibu wafuga majiniIlikuwaje kuwaje akazaliwa bila baba, Quran inasema mimba ilitungwaje?
jibu swali langu kwanza siyo swali juu ya swaliHivi Adam alipatikana kwa tendo la ndoa ?
Nyinyi wagalatia mnachekesha sana mmeingizana machaka katikita ukristo wenu na bibilia yenu sasa wajanja wenu wanaendelea kuwadanganya kupitia Qurankoran 36:14 Muslim commentaries
- Koran inamtaja Paul kama messanger wa Allah , unaweza kuniambia huyu Paul kwa nini alikuwa messanger wa Allah? NA Huyu Paul wa Allah alitumika kufanya kazi gani za allah huko antioch? Pole kwa lugha
- When We sent to them two Messengers, they denied them both means, they hastened to disbelieve in them. (so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Antakiyah)
-Bulus is used mostly in Arabic and it is of Latin origin. Bulus is of the meaning humble. In addition, Bulus is a derivative (Arabic) of the Dutch, English, French, and German name Paul.
hebu wataje hao watatu kwa majina kama kweli unakijua kitabu chako?Nyinyi wagalatia mnachekesha sana mmeingizana machaka katikita ukristo wenu na bibilia yenu sasa wajanja wenu wanaendelea kuwadanganya kupitia Quran
Yani wanizidi kukufumbeni macho ili msiujue ukweli
Kuna jina Paulo hapo?
Na kwa taarifa yako kwa mujibu wa Quran mtume wa mwisho kwa wana waisrael ni Yesu
Quran 36:13
Na wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo wafikia walio tumwa.
14.
Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu.
15.
Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu kama sisi. Na Mwingi wa Rehema hakuteremsha kitu. Nyinyi mnasema uwongo tu.
Sio kweli,, hakuna kitu kama hicho kwenye Qur'an..
Narudia tena,, hakuna kitu kama hicho kwenye Qur'an.
Hivi ww una akili kweli ?
Yaani unajaribu kumtetea Paul kwa kutumia dini ya mwenzako (Qur'an) ? Kwahio unaamini kuwa Uislamu ndo dini ya kweli ?.. Nashukuru,, haina haja ya kuendelea na mjadala.
Upo vizuri..Una nondo za hatari snMUHAMMAD HAJATOKA KWA ISHMAELI WALA WATOTO WA ISHMAEL HAWAKUWA WACHA MUNGU WA BABA YAO AITWAYE YEHOVA KAMA UNAPINGA SOMA MPAKA MWISHO KISHA JIBU MASWALI HAYA
1. BABA NA BABU WA MUHAMMAD WANATOKEA KWA MTOTO YUPI KATI YA WATOTO HAO 12 WA ISHMAELI?
2. KATI YA HAO WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALIKUWA NI NABII WA MUNGU ILI KUENDELEZA AGANO LA MUNGU?
3. KATI YA WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALISHAHADIA SHAHADA KUWA YEYE NI MWISLAMU ?
4: AYA IPI HUYU ISHMAELI ALIMWABUDU MUNGU WA BABA YAKE NDANI YA VITABU VYA MANABII, TORATI,ZABURI NA INJILI KABLA YA QURAN YA KUANDWA NA MASWAHABA MWAKA 610-622 B.K?
5: LETE MAJINA YA WATOTO 12 WA ISHMAELI NDANI QURAN YAKO?
NATANGAZA KUWA UKOO WA MJAKAZI WA IBRAHIMU AITWAYE HAJIRI ,ISHMAELI MWENYEWE, WATOTO WAKE ISHMAELI 12 NA WATOTO WA IBRAHIMU KUTOKA KWA KETURA HAWAKUMWABUDU MUNGU WA BABA YAO AITWAYE YEHOVA USHAHIDI HUU HAPA ANABISHA AJITOKEZE AJIBU MASWALI HAPO JUU
--------------------------------
KIZAZI CHA IBRAHIMU KWA MJAKAZI WAKE HAJIRI KWA MTOTO AITWAYE ISHMAELI
HIKI NDICHO KIZAZI CHA ISHMAELI YAANI MASEYIDI 12 ALIOHIDWA KUZAA:
Mwanzo 25:12-15
12 Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
13 Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni
WATOTO 12 WA ISHMAELI
1:Nebayothi. 2: Kedari. 3: Abdeeli. 4 Mibsam. 5 Mishma 6 Duma
7Masa. 8 Hadadi. 9 Tema, 10 Yeturi 11: Nafishi 12 Kedema.
Nyinyi wagalatia mnachekesha sana mmeingizana machaka katikita ukristo wenu na bibilia yenu sasa wajanja wenu wanaendelea kuwadanganya kupitia Quran
Yani wanizidi kukufumbeni macho ili msiujue ukweli
Kuna jina Paulo hapo?
Na kwa taarifa yako kwa mujibu wa Quran mtume wa mwisho kwa wana waisrael ni Yesu
Quran 36:13
Na wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo wafikia walio tumwa.
14.
Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu.
15.
Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu kama sisi. Na Mwingi wa Rehema hakuteremsha kitu. Nyinyi mnasema uwongo tu.
Tunafatilia mjadala kimyakimya mpaka sasa ndugu Jackwillpower anaelekea kubeba ndooPaulo labda wa ubungo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kuna watu mnajua sn kujenga hoja..Chief, kwani Mud na Yesu walikutana wapi hadi AKAMWAMBIA kuwa hakusurubiwa?.
Mud aliwai kumuona Yesu? Kwanini una muamini ikiwa kigezo ni KUONA?.
Mbona una m-attack Paul kisa TU HAKUMUONA YESU?.
Ila hapo hapo unakubali Muhammad mafunuo ya Muhammad.
MFANO:
Miaka zaidi ya elfu 6 anatokea mtu uko naijeria aanze kusema Nyerere hakuzaliwa butihama,bali amezaliwa muhimbiri.
Nyerere sio Mzanaki, bali mnyakisa.
Nyerere hakuwa rais wa Tanzania bali alikuwa mwana harakati tu kama akina Che guava,wanaosema Nyerere alikuwa rais ni waongo....alafu wanatokea wajinga fulani wanamuamini huyu mtu.
Dhana ya kusema kwamba uwongo ukisemwa sana unakuwa ukweli uwa naiona kupitia Mud na kitabu chake.
Yaan nishinde kuwa amini akina walyoba, John LUPI, Abdul sky..Maria Nyerere, wazazi wa Nyerere walio mzaa, ishi nae, kupigania uhuru pamoja nije ni muamini kilaza wa uko naijeria..
Hakyanani bora nikitoe kwenye imani.
Sio sahihi,, huyo scholar amesingiziwa,, au kama kasema kweli basi amekosea...
Uislamu unaongozwa na vitu viwili,, Qur'an na Hadithi ( sunah),, na katika hvi hakuna kinachomzungumzia huyo Paulo..
Mtetee Paulo kwa kutumia Bibilia yako...
Hii inazidi kudhihirisha kuwa Ukristo ni dini ya kutungwa tu...