Mitume katika Uislamu wapo 25,,katika hio orodha hakuna bulus...
Hivo hoja yako ni uongo..
Nita amini vipi kama hao waloandika ni Waislamu...

Hao mitume 25 wote wametajwa kwenye Qur'an,,
Sasa nataka unioneshe sehem Qur'an imemtaja huyo Bulus
 
Mitume katika Uislamu wapo 25,,katika hio orodha hakuna bulus...
Hivo hoja yako ni uongo..
Nita amini vipi kama hao waloandika ni Waislamu...

Hao mitume 25 wote wametajwa kwenye Qur'an,,
Sasa nataka unioneshe sehem Qur'an imemtaja huyo Bulus
  • Nimekuomba majina ya hao watatu waliotumwa na Allah, nasubiria
  • Koran haijataja majina na ili uweze kuelewa koran kwa aya kama hizo lazima ukasome scholar wanasemaje kuhusu hayo majina na mimi nilicho fanya nimesoma scholar wenu ndo wametaja jina Bulus, kwa mujibu wa scholar wenu awa ndio watatu waliotumwa na mungu Allah,,, Ibn Kathir in his Tafsir (Commentary) amewataja kama Sham`un (Peter), Yuhanna (John) and Bulus (Paul) kwenye mji wa Antioch (Antakiyah)
  • Swali la ziada Allah aliwatuma kufanya nini kwenye mji huo?
 
Tukishamaliza mjadala tuangalie na maandiko yenyewekw
Kwaiyo ww unabishana na vitabu vinavyoandika sifa zao ambazo zinatofautiana kabisa ,,,,,,tukuamin ww au tuamin maandish ya vitabu?? Watu bhana,,,,! Popularity is not reality let the writings speak !
 
Wasio elewa Quran ni makafiri peke yao

Kama hao watu Allah hakutaja majina yao iweje aje mtu akuambie hawa watu majina yao ni haya na wewe ukubali Quran imekalika haitakiwi kiongezwe kitu wala kipunguzwe kitu

Hiyo aya haikutaja majina hao watu wa jina ya hilo eneo itabaki kuwa hivyo

Ila kwa kuwa mmeshazoea kudanganya endeleeni tu kudanganyana
 
Umeandika kama gazeti na ndivyo ilivyo kitu chochote cha uongo lazima uzuunguke sana

Quran inasema manabii wote kabla ya Muhammad walikuwa waislam

Ili kuvunja hi aya ya Quran toa andiko linalosema Ibrahim , Isaka na Yakubu walikuwa wakristo au walikuwa wayahudi

.Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

133.
Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.
 
  • Kadanganye wasio jua ila mimi huwezi, koran ili uelewe lazima kuna aya upate maelezo yake kutoka kwa scholar ndio maana kuna kina Ibn Kathir kina ,Al Jalalayn na wengine wengi , uislamu unaosoma kwa waislamu wenyewe na wenyewe ndio mmetoa aya majina matatu Sham`un (Peter), Yuhanna (John) and Bulus (Paul) ambao walitumwa kwenye mji wa Antioch (Antakiyah)
 
Aliyekuambia hivyo amekudanganya na ndio maana nakuambie endeleeni kudanganyana na ndio maana hadi Leo hamumjui Mungu wa kweli kwa ajili ya kufuata maneno ya watu

Quran 2:2
Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,

3.
Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.

4.
Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo
 
Je haya unayo yaamini ndiyo Yesu aliyafundisha au aliyaacha kwa Wanafunzi wake ?
 
Haya majina umeyatoa wapi wewe ? Kwenye Qur'aan au ?

Pili,andika vizuri neno "Qur'aan".
 
uislamu umeanza baada ya mohamad kuja kuwadanganya na kuwapotosha
 
hebu wataje hao watatu kwa majina kama kweli unakijua kitabu chako?
Majina yao hakuna kwa sababu Allah hakuona umuhimu wa kutaja majina yao hakuna majina ya hao watu wala jina la mji waliokuwepo hao watu

Sasa huyo aliyekutajieni majina mbona hamkumiliza na jina la huo mji waliokuwepo

Mkiweka majina hapo hiyo inakua sio Quran yetu aliyeteletea Allah ila inakua Quran mliyoitunga kwa manufaa mnayoyajua nyinyi
 

kwanini useme ALLAH NA siyo MUNGU?
 
Hivi Adam alipatikana kwa tendo la ndoa ?
Ngoja Mimi nikuulize Kwa namna ya tofauti ili ujibu Kwa logic hili swali..

Aliye wa Kwanza aliumbwa ktk namna Muumbaji/muundaji aliona vile inafaa,kisha uumbaji ukakamilika na Muumbaji akasema it's perfect.Sasa wote waliofuata tulikuwa na mwendelezo wa Yule wa Kwanza

So jamaa anauliza Kwa nn Kwa Yesu ikawa tofauti,hakufuata asili ya uumbaji wa kawaida ya viumbe wote waliozaliwana mabao tunaendelea kuzaliwa baada ya Yule wa kwanza...Kwa nn yeye ni unique ktk hili
 
uislamu umeanza baada ya mohamad kuja kuwadanganya na kuwapotosha
Mwandishi aliyeandika kitabu cha Yohana na kukudanganyeni kuwa Yesu ni Mungu hadi Leo hii hamujui lakini bado mishipa ya shingo inawatoka kutete maneno ambayo hata aliyeandika hajulikani

Maneno ya huyo asiyejulikana yanaazia Yohana 1:1 hadi Yohana 1:37 nyinyi ndio mlio danganywa

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels, and the fact that it is so different has spurred a debate over whether John’s Gospel is historical or not, something that has been noted in Gospel of John commentary for hundreds—even thousands—of years.
 
HUWEZI UKAJUA uungu wa Yesu kwakuwa uislamu ni kama mafalisayo
 
Sasa hoja yako ilikuwa nini kumbishia uliye mqyote huko juu ?

Unajua hao wanazuoni wametoa wapi hayo majina ?

Mathalani tamko "Bethelehemu" ukisoma katika kitabu cha Imaam Ibn Kathir kiitwacho "Qasa al Anbiyaai" akimuongelea nabii Issa (Yesu) analitaja jina hilo kama "Baytul Lahm" kwa maana "Nyumba ya Nyama". Hii ina maanisha yw kuwa haya majina yalitamkwa hivyo.

Pili,usiwe mjinga na mbishi unalokoselewa,na haandiki "Koran" isipokuwa mtu muongo,mjinga asiyeijua Qur'aan. Usawa wa tamko "Koran" unaupata wapi na kwa mujibu wa nani ?
 
  • Nakuuliza swali dogo sana Hii hapa chini ni Aya ya Koran unaweza kusema nani kaongea haya maneno
1;1. KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
 
Siitaji kujua walipo yatoa , ndio maana nimekwambia nimekujibu kulingana na maandiko yenu wenyewe sasa kama wamekosea nenda kawaambie waondoe hayo majina na jiulize wewe na Ibn kathir nani mjuzi?

nafikiri hilo nimeshamaliza

Na Neno Koran lipo sawa kabisa Ingia google search ilo neno uone linaleta nini acha kupoteza mda kwa issu ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…