- Koran ni neno sawa kabisa na wala sio hoja
- Koran haijataja majina ndio maana majina unayapata kwa scholar wakongwe ingia hapa kapambane nao QuranX.com The most complete Quran / Hadith / Tafsir collection available!
Sasa kama huitaj kujua kwanini unaandika ujinga na kupotosha mambo ? Huku ukiegemeza hoja yako katika Qur'aan ?Siitaji kujua walipo yatoa , ndio maana nimekwambia nimekujibu kulingana na maandiko yenu wenyewe sasa kama wamekosea nenda kawaambie waondoe hayo majina na jiulize wewe na Ibn kathir nani mjuzi?
nafikiri hilo nimeshamaliza
Na Neno Koran lipo sawa kabisa Ingia google search ilo neno uone linaleta nini acha kupoteza mda kwa issu ndogo
Hiyo ni dua Allah ametufundisha tuwe tunaisoma kabla ya kuanza kufanya kitu chochote1;1. KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
- Nakuuliza swali dogo sana Hii hapa chini ni Aya ya Koran unaweza kusema nani kaongea haya maneno
The Quran
Commentaries for 36.13
Ya Sin
« PrevGoNext »
36.13 Abbas - Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs(Coin for them a similitude) explain to the people of Mecca: (The people of the city) of Antioch, how We destroyed them (when those sent (from Allah) came unto them) i.e. when the emissary of Jesus, Simon the Pure, came to them and they disbelieved in and denied him;
36.13 Jalal - Al-JalalaynAnd strike for them as a similitude (mathalan is the first direct object) the inhabitants (ashāba is the second direct object) of the town, [of] Antioch (Antākya), when the messengers, namely, Jesus’s disciples, came to it (idh jā’ahā’l-mursalūna is an inclusive substitution for ashāba’l-qaryati, ‘the inhabitants of the town’).
Umefanya lamaana kuweka link kwa hiyo. Wewe huoni kuwa anaetoa hayo maelezo hapo ni Mgalatia kama wewe
Ndio maana nimekuambie endeleeni tu kudanganyana maana mmeshazoea kudanganyana
nimekuuliza hayo ni maneno ya nani? na wapi allah kasema anawafundisha weka ushaidi acha kuongea tu tafadhaliHiyo ni dua Allah ametufundisha tuwe tunaisoma kabla ya kuanza kufanya kitu chochote
Kama uliwahi kuonana na Yesu akakuambia yeye ni Mungu sawsHUWEZI UKAJUA uungu wa Yesu kwakuwa uislamu ni kama mafalisayo
Sasa kama huitaj kujua kwanini unaandika ujinga na kupotosha mambo ? Huku ukiegemeza hoja yako katika Qur'aan ?
Hili tatizo lingine,nimekwambia iwa mujibu wa nani,unaleta habari sa google,sasa hao google si wajinga kama wewe ndiyo maana wameandika.
Nenda kwa waarabu wenye neno lao wakutamkie kisha uandike.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMohamad siyo mtume wa Mungu. ni mjanjamjanja fulani hivi
Naona unasoma huku unaruka ruka,wapi nimesema Ibn Kathir muongo ? Huku nimemrejea ?
- wanaotakiwa kufundisha uislamu ni nyinyi waislamu , na nimefanya jambo jema kabisa nimecopy mnayofundisha huyu hapa muislamu mwenzako ambae anajua kuliko wewe Kathir - Ibn Al Kathir amewataja kama Sham`un (Peter), Yuhanna (John) and Bulus (Paul) walitumwa kwenda mji wa Antioch (Antakiyah) link hii hapa QuranX.com The most complete Quran / Hadith / Tafsir collection available!
- Unachotakiwa sema Kathir - Ibn Al Kathir ni muongo ili tumalize mada, ni jambo rahisi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Mwamedi nae huo utume alipewa na Nani ndugu maana Mimi naona janja janja ya Paul na Mwamedi ni moja wote kujifanya wameshukiwa na Mungu na kupewa maono na hapo hapo wakajiita mitume
Napata ukakasi wa kutenganisha Kati ya
Paulo......mkristo
Mohammed....mwislam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mie huwa wananiacha hoi hapo tyuuh.haaaahaaa jamaa wana vituko wanahoji Paulo alipewa na Nani utume ukiwajibu alitokewa na Mungu wanabisha
Hapo hapo ukiwauliza Mwamedi alipewa na Nani utume watakujibu na Allah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mfano ibrahimu wa quran ni tofauti na wa bibliaTunamjadili Issa , ila na hao wengine kuna makosa napo kafanya alivyokuwa ana copy na kunchanganya fairy tale stories,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Quran haijaeleza habari za Yesu imeeleza habari za Issa.
Napinga kilichoeleza Quran kwa 100% kwasbb
1. Biblia na Quran ni vitabu viwili tofauti. Lengo la wakristo watu wamjue Mungu ili kuwafikia watu wamjue Mungu ndiyo maana utakuta mpk Biblia za Kisukuma zipo. Sijui mpango wenu maana kuna waislam ukimpa hiyo Quran akosomee anakutumbulia macho tu. Yeye ni kutafsiriwa na kukaririshwa na viongozi tu
2. Ukisoma habari za Yesu kwenye Biblia ni tofauti kwa 100% na za Issa kwenye Quran.
Hayupo mkristo yoyote duniani anayeamini Quran, Allah na huyo Issa 100% kwasbb
A. Amri ya kwanza ilifanyika pale Eden ambapo Adam alipewa mke mmoja kwahiyo ukioa wake wawili hiyo ni dhambi. Quran inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja
B. Wakristo tunaamini hakuna jini wazuri wote ni wabaya ni maajenti wa shetani. Kushirikiana nao ni kutenda dhambi. Waislam wanaamini kuna majini wazuri
Pole sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah ila watu lolwaulize majini na wachawi na waganga wakilisikia jina la Yesu kwanini wanaungua moto,sasa wewe thubutu umtaje huyo issa utakapo kutana na mashetani kama atakusaidia
Bora hata umetoa na evidence, safi sana.
- wanaotakiwa kufundisha uislamu ni nyinyi waislamu , na nimefanya jambo jema kabisa nimecopy mnayofundisha huyu hapa muislamu mwenzako ambae anajua kuliko wewe Kathir - Ibn Al Kathir amewataja kama Sham`un (Peter), Yuhanna (John) and Bulus (Paul) walitumwa kwenda mji wa Antioch (Antakiyah) link hii hapa QuranX.com The most complete Quran / Hadith / Tafsir collection available!
- Unachotakiwa sema Kathir - Ibn Al Kathir ni muongo ili tumalize mada, ni jambo rahisi tu
QURAN HAIJAKAMILIKA? Wapi inamuelezea KEDARI hadi KWA mudy....Mi sijaona swali hapo Quran haiwezi kuandikwa kama unavyo taka wewe
Quran 2-27.
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.
128.
Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
129.
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Huyo ni nabii Ibrahim na mwanawe Ishmael walipo maliza kujenga msikiti wa Maka nchini Saudi Arabia ya sasa wakamuomba Mungu alete mtume anaetokana na vizazi vya Ishmael
Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.
Nakuwekea Family tree ya watoto wa Ishmael kuanzia Kedar hadi Muhammad na ramani ili kuonyesha kuwa hao watoto wa Ishmael waliishi Saudi Arabia
Wewe labda upinge kuwa Kedar sio mtoto wa Ishmael na pia vizazi vya Ishmael hajawahi kuishi Saudi Arabia
Zaidi yahapo nenda tu kanisani ukaimbe na kupiga makofi usubiri siku yako ya kufa upelekwe Jahanam
View attachment 1795383View attachment 1795385
Tutajie Mitume watatu waliotumwa na Mwenyezi Mungu na utwambie walitumwa mji upi ,piga PICHA vitabu Vya QURANI TUSOME hapa? HAPA KAMA NILIVYO WEKA MIMIWasio elewa Quran ni makafiri peke yao
Kama hao watu Allah hakutaja majina yao iweje aje mtu akuambie hawa watu majina yao ni haya na wewe ukubali Quran imekalika haitakiwi kiongezwe kitu wala kipunguzwe kitu
Hiyo aya haikutaja majina hao watu wa jina ya hilo eneo itabaki kuwa hivyo
Ila kwa kuwa mmeshazoea kudanganya endeleeni tu kudanganyana