Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,861
yaani tuiamini qurani iliyokuja baada ya miaka 600 , tuache biblia na vitabu vya historia vya kina josephus , INAKUJA AKILINI KWELI?Inaonekana ni mgumu sana kuelewa.kuto kufanana kwa maandiko haita badilisha Yesu kuwa Issa...
Wapo watamwita mungu,wengine watamwita nabii na wengine watasema yùle sio Yesu.
Kila kitabu kimemueleza jinsi wanavyo mjua.
HATA MTUMIE UONGO VIPI, UKWELI NI KWAMBA YESU SIO ISAInaonekana ni mgumu sana kuelewa.kuto kufanana kwa maandiko haita badilisha Yesu kuwa Issa...
Wapo watamwita mungu,wengine watamwita nabii na wengine watasema yùle sio Yesu.
Kila kitabu kimemueleza jinsi wanavyo mjua.
HAKIKA MIMI MUHAMMAD ABDULLAH MTALIB NINASHETANI KAKIRI MBELE YA MKEWE AISHAAliyekuambia hivyo amekudanganya na ndio maana nakuambie endeleeni kudanganyana na ndio maana hadi Leo hamumjui Mungu wa kweli kwa ajili ya kufuata maneno ya watu
Quran 2:2
Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
3.
Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.
4.
Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo
Hi website ya wagalatia wenzako wameiweka ili wazidi kukupotezeni mazwazwa kama nyinyi
- Mtu muongo ni son of the devil, kasome maelezo ya Kathir - Ibn Al Kathir acha kujitia uchizi
Hadiyth ambayo Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) iliyosimuliwa na Abu Dhar ambayo alimuuliza Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) idadi ya Mitume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na akamjibu kuwa ni mia tatu na makumi kadhaa. Hadiyth hiyo imeelezwa usahihi wake na Imaam Al-Albaaniy kama ilivyo hapa chini:Hawa ndo mitume 25 wa Uislamu... Na wote hawa wametajwa kwenye Qur'an... Sasa nataka unioneshe huyo Paulo.
The prophets of Islam include:
Adam, Idris (Enoch), Nuh (Noah), Hud (Heber), Saleh (Methusaleh), Lut (Lot), Ibrahim (Abraham), Ismail (Ishmael), Ishaq (Isaac), Yaqub (Jacob), Yusuf (Joseph), Shu'aib (Jethro), Ayyub (Job), Dhulkifl (Ezekiel), Musa (Moses), Harun (Aaron), Dawud (David), Sulayman (Solomon), Ilyas (Elias), Alyasa (Elisha), Yunus (Jonah), Zakariya (Zachariah), Yahya (John the Baptist), Isa (Jesus) and Muhammad. Peace be upon them all.
Unajua moja kati ya vitu basic kwenye Uislamu ni kuamini hiyo mitume 25...Sasa huyo Paulo katoka wapi kama sio uzushi ?
Km hakuna kinachoshindikana Kwa MUNGU ,mbn mnawabeza na kuwakatalia wale wanaosema MUNGU alishuka Kwa namna ya mwili wa nyamaSwali lako halina maana kwasababu hakuna kinachoshindikana mbele ya Mungu...
Kama alizaliwa kwa tendo la ndoa,, ni jukumu lenu kutuambia baba yake alikuwa nani,,
Imani katika Biblia imethibitishwa pia na sehemu kubwa ya unabii wake, na hasa huu mmoja. Danieli, nabii wa zamani alitabiri kwa usahihi mwaka ambao Yesu alianza huduma Yake. Kwa mujibu wa Danieli 9:25, “Tangu kuwekwa amri ya kutengeneza na kuujenga upya Yerusalemu hata zamani Zake Masihi [Yesu] Aliye mkuu; kutakuwa na majuma saba; na katika majuma sitini na mawili.” Hii ni jumla ya majuma 69, au siku 483. Wasomi kwa ujumla hukubaliana kuwa majuma ya Danieli yanapaswa yaeleweke kama “majuma ya miaka,” siku ikimaanisha mwaka, kwa jumla ya miaka 483.Wewe ulikwepo kipindi hicho yesu anazaliwa.hizo ni ngano kama ngano nyengine tu.watu wamekaa chini wakaandika wewe ukaamini basi mishipa ya shingo inakutoka.
wakati hata mtunzi wahiko kitabu humjui..
UNABII WA YESU KUHUSU HEKALU LA YERUSALEMUWewe ulikwepo kipindi hicho yesu anazaliwa.hizo ni ngano kama ngano nyengine tu.watu wamekaa chini wakaandika wewe ukaamini basi mishipa ya shingo inakutoka.
wakati hata mtunzi wahiko kitabu humjui..
Quran haina mda wa kutaja majina ya watu sijui nani kamza nani na nani kamza nani kwa sababu katika Quran hakuna maneno ya waandishiQURAN HAIJAKAMILIKA? Wapi inamuelezea KEDARI hadi KWA mudy....
QURANI NGAPI INAELEZA HUO UKOO KUTOKA KWA ISHMAELI HADI KWA MUDY?
KEDARI NI ADUI WA MUNGU WA ISRAEL
(Isaya 21 )
------------
16 Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.
17 Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana Bwana, Mungu wa Israeli, amenena neno hili.
(Zabur 120 )
------------
1 Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia.
2 Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.
3 Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?
4 Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.
5 Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.
6 Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.
7 Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.
JIBUNI MASWALI BASI
View attachment 1798340
MBONA UNAJITETEA KWA BIBLIA, TOKA LINI MNAIAMINI BIBLIA NYIE?Quran haina mda wa kutaja majina ya watu sijui nani kamza nani na nani kamza nani kwa sababu katika Quran hakuna maneno ya waandishi
Mathayo 1:1
Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu.
Mathayo 1:2
Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
Mathayo 1:3
Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;
Huyo anaeongea hapo sio Mungu wala sio Yesu ila muandishi hakuna tofauti yoyote na huyu aliyeandika family tree ya kuanzia Ishmael hadi Muhammad au wewe unadhani hiyo injili
Injilia ambayo ni maneno ya Yesu inaanzia Mathayo 3:15 hapo Yesu ndio anaanza kuongea na hiyo ndio injili hizo za nyuma kuanzia Mathayo 1:1 zote ni brabra za mwandishi tu
View attachment 1798568
Hapa nitatoa ufafanuzi kidogo juu ya Yesu ni naniYesu ni nani kwako ?
Kabla sijachangia chochote inapasa tupate mfanano wa majina haya na kama kweli yana maana ya jina moja la mtu huyo huyo mmoja:-Issa siyo Yesu
1. Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini mtende
2. Yesu alisurubiwa, akafa na siku ya 3 akafufuka wakati Issa hakusurubiwa, hakufa wala kufufuka.
3. Yesu alitumia Biblia. Alipewa kusoma kitabu cha Isaya na alibatizwa wakati Issa alitumia Quran na hakubatizwa.
Kwanini huwa mnang'ang'ania Yesu ni Issa? Siyo kosa lako sbb huwa mnakaririshwa.
Yesu si Mwana wa Mungu kulingana na ubaba wa kawaida wa binadamu. Mungu hakuoa na kupata mwana wa kiume. Mungu hakufanya tendo la ndoa na Mariamu, na pamoja naye kuzaa mtoto wa kiume. Yesu ni Mungu katika hali kwamba ni Mungu anajithirihisha kama mwili. (Yohana 1:1, 14) Yesu ni mwana wa Mungu kwa dhana kwamba Mariamu alipata mimba kupitia Roho Mtakatifu. Luka 1:35 yasema, “Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.”Kwahiyo Yesu ni mtoto wa Mungu ? Au unamaanisha nn unaposema mwana wa Mungu ?
Katika Qurani yenye jumla ya juzuu 30 Surah 114 aya 6236 maneno yenye kutamkika 76,440 herufi 322,373 jina Isa linatamkwa lisa au Aysi limetajwa mara 25. Isa pia ameitwa masihi mara 93. Lakini tunaposoma Qurani iliofarsiriwa na Imam Baidawi voI.1 ukurasa wa 160 ameeleza kuwa Isa jina la Kiarabu maana yake ni Wekundu unaozidiana na weupe.Kabla sijachangia chochote inapasa tupate mfanano wa majina haya na kama kweli yana maana ya jina moja la mtu huyo huyo mmoja:-
1. Yesu/Jesu/Jesus vs Issa
2. Adam na Ever vs Adam na Hawa
3. Solomon vs Seleman/Suleiman
4. Gabriel vs Jibril
5. Abraham vs Ibarahim
6. Isack vs Isihaka
7. Joseph/Yoseph vs Yusuf/Yusuph/Yousouf
8.nk nk nk nk.
Na kwa nini kwa mfano kama Gabriel na Jibril wanatajwa kua na sifa zilezile, Kwa nini Adam na Hawa na Adam na Ever wana sifa zinazofanana kwa vitabu vyote? Kwa nini Yesu ni Jesus na hiyo ikubalike? Kwa nini mama wa Yesu ni Marima na mama wa Issa ni Mariam? Kwa nini Yesu hana Biological Father likewise Issa hana Biological Father, hii imetokea kwa bahati mbaya?
Nimeuliza kwa mtu anaefikiri ataelewa nini maana yangu. Na kwa nini Masjid al Aqsa na Temple Mount na lile Kanisa vyote vipo sehem moja, kwa nini? Je hatuoni kama kuna unasaba mkubwa wa maandiko ila kuna sehemu tunakwama kwa kujopotosha wenyewe?
Ila bottom line, ukristo kwa uwiaono wowote, hauna uhusika wowote kule kwa Wayahudi. Kwa takwimu za sasa dini ya Ukristo una asili zote za wazungu wa Roma na kamwe siyo Israel. Ingekua Israel, kwa miaka mingi tangu Yesu azaliwe, isingewezekana Wakristo hadi leo wakabaki 2% pekee, huku Waislam wakiwa ni asilimia zaidi ya 30, hii kitu haiwezekani aslani, kuna wajanja wameanzisha hii dini(dini ni dini haijalishi, isipokua uhusika wa Yesu au jamii ya Kiyahudi kwenye Ukristo, inatia shaka)
HAKUNA CONTRADICTION" Yesu ni Mungu"
" Yesu ni mwana wa Mungu"
Hizo ni Nukuu kutoka kwako kwenye hiyo reply..
Swali,
Inawezekana vipi ikatokea hio kitu at the same time ? Huoni kwamba unajiletea contradiction ?
Statement ya kwanza unasema Yesu ni Mungu,,
Statement ya pili unasema Yesu mwana wa Mungu.. This means Kuna Mungu mwengine ambaye mwana wake ni Yesu...
Sasa yupi ni Mungu ?
UPO USHAHIDI WA KUTOSHA UKRISTO UPO KABLA YA UISLAMU ,Kama kweli Yesu alieneza Ukristo, Je, Kwanini taifa ambalo aliishi Yesu kuna asilimia ndogo ya Wakristo ( hata Waislamu wamewazidi ) ?
Hata mataifa ya jirani yanayoizunguka wakristo ni wa kuhesabika ( yaani Waislamu ni wengi zaid ) ...
Alafu ikaweje mataifa ya mbali ya wazungu kama Italy ndo iwe na Wakristo wengi ? Huoni kwamba hio dini imetungwa tu ? Na kwamba Yesu hajahubiri Ukristo!!
unataka jibu gani au unalo la kwako la mfukoni.... nimekujibu vzr kwa aya zilizo wazi....sina majibu ya kuokotezaBado hujanijibu swali langu...
Sasa yupi ni Mungu ?
Kama kweli hakuna contradiction jibu hilo swali...
Tuokoe muda kijana,, let's go direct to the point...
Hana Baba Kwa sababu yeye ndiye huyo babaUsihamishe mada mkuu,, kwahiyo tunakubaliana kwamba Issa hana Baba ?
Mungu gani unayemuongelea hapa ?
NI YEHOVAUmesema hapo Mungu baba alimtuma mwanaye....
Nataka uniambie huyo Mungu baba ni nani ?
WEWE NDIO UNAJICHANGANYA , YESU ANA MAJINA NA SIFA NYINGI, SIO MOJA, HUYO HUYO NI MUNGU PIA NI MWANA WA MUNGU,Okay,, kwenye hilo reply yako naona unajichanganya sana,, mara unasema Yesu sio Mungu,, mara Yesu Mwana wa Mungu,, mara Mungu Baba kamtuma mwanaye,, mara Yesu ni Mungu...
Yaani full kujichanganya...
Umetoa majibu kwa kuzunguka mno,, wakati nilikuwa nahitaji sentensi moja au mbili... Mm sijakwambia ulete ushahidi.. Nilikuuliza maswali mafupi tu..
Please be professional,,
Haya Narudia kukuuliza, lakini nahitaji short answers.... Sitaki ushahid wa biblia
" Yesu ni Mungu"
" Yesu ni mwana wa Mungu"
Hizo ni Nukuu kutoka kwako kwenye hiyo reply..
Swali,
Inawezekana vipi ikatokea hio kitu at the same time ? Huoni kwamba unajiletea contradiction ?
Statement ya kwanza unasema Yesu ni Mungu,,
Statement ya pili unasema Yesu mwana wa Mungu.. This means Kuna Mungu mwengine ambaye mwana wake ni Yesu...
Sasa yupi ni Mungu ?