mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Jibu swali ndipo uulize swali ewe MuislamBaba yake ni yusuph au mungu?
Mbona mnatuchanganya nyie wakristo.
Yusufu Baba mlezi wa kufikia.Umesema Yesu baba yake nani?....
Tatizo hujanielewa, ninachomaanisha ni kuwa kama habari za Quran na Biblia zingekuwa hazina mfanano au la zinafanana kwa kila kitu hivyo, tungesema hizi habari zimejaa ukweli maana hakuna COMPARISON. Kuwepo kwa mfanano wa habari Issa na Yesu au Mussa, Ayoub au Suleiman katika vitabu vyote viwili inaonesha dhahiri kuwa habari za vitabu hivi vyote viwili vina asilia MOJA lakini pia utofauti wake katika muendelezo au simulizi zake ambao huleta mkanganyiko huonesha dhahiri kuwa, Kuna habari ya uongo ndani yake na ndio concept yangu ya "uongo uliofichika ndani ya ukweli huja".
Kwa hiyo apo ww ukitaka kusema umepeleka kitu flani , utasema nimepeleka kitu changu au utasema nimepeleka kitu chetu embu weka sawa
Ushahidi ni nyie njie Ukimuita Issa Ibn mariam basi alitokea bila Baba wa kibinadamu.Tupe ushahidi kuwa yesu ni mungu
Ww ulitakiwa kuanzisha thread mbili moja kuuliza kwanini waislamu wanamwita Issa bin mariam .Ushahidi ni nyie njie Ukimuita Issa Ibn mariam basi alitokea bila Baba wa kibinadamu.
Unaungana na yaye aliposema '' Nalikuja'' hasemi '' Nalizaliwa''.
'' Nimeshuka kutoka mbinguni''.
'' Huyu ni mwanangu mpendwa'' msikilizeni. Yesu ni Mwana wa Mungu ambaye chanzo chake sio mimba ya Mariam ni Muumba aliye sawa na Baba yake, hawatenganishiki. na Pasipo yeye hakuna kiumbe chochcote hadi shetani kilifanyika.
Waislam kwa kauli hiyo itabidi waungane na Yohana 1 kuwa neno alifanyika mwili Kupitia Mariam hivyo hakuanzia kwa Mariam ila alifika ulimwenguni kupiyia kwa mariam
hapa tunaweka rekodi sawa tu.Kwahyo tukubaliane hapa ndo ulimwengu mzima utakubali?
Sawa Mkuu,nauliza kidogo hilo la kuzaliwa na mwanamke tu kwa uislam mnaliangalia na kulitafsiri vipi? ,namaanisha mnalichukuliaje?Nani amekwambia Yesu baba ake ni Yusufu ? Sasa ndio utuambie Yesu baba ake Yusufu kimalezi au kinasaba ? Na kama kinasaba utupe ushahidi.
Kwetu sisi waislamu Yesu(Issa) kazaliwa pasi na baba,ndio maana ubini wake unarudi kwa mama,na kuitwa ISSA MWANA WA MARIAM.
wengi wanamkubali kisirisiri mkuu.Na hapa ndo mnaanza kumkubali Roho Mtakatifu
"Huo ni ufasaha wa lugha,yaani wngi kumaanisha moja katika lugha ni maarufu sana hata kwa Waswahili"Kwanza umeelewa nilichokiandika ?
Liko ndani ya mada hii mkuu usichepuke. Binadamu alianza na adam na hawa kama pure created being. Baadae Mungu akasema wazae (kupitia sexual intercourse) na kuongezeka na kuijaza nchi.Hili swali liko nje ya mada. Nakujibu lakini uslifanye likawa mada maana huchelewi kubadilisha mada. Hakuna mtume mwingine aliyezaliwa bila baba.
Sasa kama unajua ya kuwa YUSUFU ni baba wa kulea kwanini umeileta hii mada ? Kina nani wanasema ya kuwa YUSUFU ni baba wa Yesu wa kumzaa ?
Sasa unataka tujadili uungu wa YESU bila shaka,maana mjadala wa mada yako umeisha.
Inaonekana hujui hata chanzo maana yake nini ? Ukifasili chanzo wa maana yako wewe,sisi sote na vyote vilivyomo chanzo chetu ni Mola muumba.
Hivi yule aliyempa habari MARIAM juu ya uzao wa YESU anaitwa na alikuja katika umbile gani na wakati huo YESU alikuwa katika umbile gani ?
Sasa usituchezee akili sisi watu wazima na usipoteze muda kadhalika.
Adam tumeambiwa wazi waliumbwa kwa udongo. Orgin ya wanadamu.Kwani baba yake Adam na hawa unawajua?
Jibu swali ndipo uulize swali ewe Muislam
Hiyo ndio sifa bora ya dialogue
Kwanini Issa bin Mariam? Ni kwanini atumie ubini wa mama?
Ni nani mwingine katika uislam alitumia hivyo?
Sawa Mkuu,nauliza kidogo hilo la kuzaliwa na mwanamke tu kwa uislam mnaliangalia na kulitafsiri vipi? ,namaanisha mnalichukuliaje?
'' Basi akachukua mimba''Unamjua ROHO anayezungumziwa na waislamu ? Huyu hapa ?
16. Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki.
17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.
18. (Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mchamngu.
19. (Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika.
20. Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba?
21. (Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa.
22. Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.
23. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
24. Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!
25. Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.
26. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu.
27. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
28. Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
29. Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi. (Mariam : 16-29)
Huyo ndio ROHO na huo ndio uzao wa YESU.
Sawa Mkuu,nauliza kidogo hilo la kuzaliwa na mwanamke tu kwa uislam mnaliangalia na kulitafsiri vipi? ,namaanisha mnalichukuliaje?
Liko ndani ya mada hii mkuu usichepuke. Binadamu alianza na adam na hawa kama pure created being. Baadae Mungu akasema wazae (kupitia sexual intercourse) na kuongezeka na kuijaza nchi.
Hakuna wala hakujawahinkuwepo wala hakutakuwepo Binadamu ambaye atapatikana nje ya mfumo huu. (sperm na Yainla kike)9
Yesu humommwote hayumo, wala hausiki kabisa na hiyo mifumo. na cha ajabu hakuwahi kuzema nilizaliwa bali alikuwa anasema '' nimekuja'', nimeshuka'' duniani sio kwetu ila mimi nimekuja kutafuta kilochopotea.
Hivyo wak siri na kwa kina sana waislam kukataa kumuota Yesu kwa jina la BABA YAKE WA KUFIKIA WANAKUBALI KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU ALIYE MUNGU AMBAYE ALIKUJA KUPITIA MWANAMKE MARIAM ILI ATIMIZE MISSION YAKE NA SASA AMEKETI MKONO WA KUUME WA ENZI NA BABA YAKE WAKITAWALA.
NAUNGA MKONO HOJA YESU IBN MARIAM
Adam ni Source ya mwanadamu. hana baba wala mama. Yeye ndiye source ya vizazi yote akitii formula ya kujaza dunia kupitia baba na mama.Inaonekana huwa hufikiri,kama mtoto amezaliwa bila babau,ulitaka aitwe kwa ubini wa nani ?
Na nani amekwambia MARIAMU ni baba ? Hivi huwa unawaza kwa kutumia nini ?
Hivi kwanini hamshangai kuhusu ADAMU ambaye ameumbwa pasi na baba wala mama,mnajadili yule ambae ametokana na mama tu ? Hivi kati ya mawili hayo lipi linastahiki kushangaa ?