Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,861
Qur –an 15:91 “Ambao wameifanya Qur an kuwa mkusanyiko wa uongoYeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
WEWE KWELI MAAMUMA, UNABISHANA NA LUGHAHio kitu imeandaliwa na Wakristo wenzako kuwapa faraja nyie.
NAHITAJI KUJUWA ANAYE SEMA KWENYE HIZI AYA Qur'ani 3:10 na Quran 10:94 JE NI ALLAH AMA NI MUHAMMAD? NA KWA NINI ZIHITILAFIANE AYA HIZI MOJA INASEMA UWAULIZE WATU WA KITABU JUU YA IMANI YAKO NYINGINE MOJA INASEMA WATU WA KITABU NI MAKAFIRIHivi hii nayo inahitaji kujadiliwa ?
Qur'an ni kitabu cha nani ?
WEWE NI MAAMUMA, KINACHOKUSHINDA KUWEKA NI NINIHio translation ya Qur'an 15:91 ni uongo,, au nikuaibishe sasa hv ?
Yaani hii ndo faraja yenu kutuzushia uongo !!
Nimekupa nafasi urekebishe uzushi uloandika..WEWE NI MAAMUMA, KINACHOKUSHINDA KUWEKA NI NINI
ACHA UONGO KIJANANimekupa nafasi urekebishe uzushi uloandika..
Qur'an 15:91 " Ambao wameijaalia Qur'an vipande vipande"
Umeona ulivokua mzushi ?
Unajiskiaje kwa kuaibika ?
Umeandika uongo mwingi ila Mimi nakufundisha moja tu hiyo Luka 2:7 haisemi kama Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe hapo umedanganyaTofauti ya kuzaliwa Isa na Yesu ni hii
Isa Ibn Mariam Yesu Kristo
-Isa alizaliwa katika shina la mtemde – 19:23
-Yesu kazaliwa katika hori la kulishia ng’ombe. Luka 2:7
-Kuzaliwa kwa Isa haijulikani mimba ya mama yake ilichukua muda gani maana malaika Jibrili alisema nikupe mwana mtakatifu mara akachukua mimba na kuzaa. (19: 22-23)
-Lakini Mariamu mama wa Yesu siku zake za kuzaa zilitimia. (Luka 2:6-7)
-Qurani haionyeshi kama Isa alitabiriwa na manabii kuwa atazaliwa
-Lakini Biblia inatuthibitishia kuwa manabii walitabili kuzaliwa kwa Yesu, (Isaya 7: 14; 9:6) utabili huu ulitolewa na Nabii Isaya miaka 750 kabla ya Yesu kuja kuzaliwa nao ulitimia (Mathayo 1:18-23)
-Isa haijulikani alizaliwa katika kijiji gani wala mji, wala nchi aliyozaliwa Qurani haikueleza.
-Biblia inatujulisha kuwa Yesu alizaliwa Bethelehemu ya Uyahudi katika Mji wa Daudi umbali wa maili 5 toka kusini mwa Yerusalemu nchi ya Israeli (Lk 2:8-16). Kuzaliwa kwake mahali hapo pia ni kutimiza unabii uliotolewa na nabii Mika miaka 750-686 kabla ya kristo kuja wakati wa wafalme hawa wakitawala – Jotham, Ahaz na Hezekia wafalme wa Yuda. Yesu mwenyewe alizaliwa kama mwaka wa 4 wakati wa Mfalme Herode.
-Isa aliongea na watu akiwa mototo mchanga, na kusema kuwa yeye ni mja wa Mungu amepewa kitabu na amefanywa Nabii (Sura 19:30-33) -Yesu hakuongea na mtu akiwa mototo mchanga. Alianza kuwauliza maswali na kutoa majibu akiwa na wazee Hekaluni akiwa na miaka 12. (Luka 2: 42-49)
Hivyo tunaona kwamba tuna tofauti nyingi tu kati ya Bwana Yesu na Isa. Swali kwako mfuatiliaji je, Isa bin Maryamu ndiye Bwana Yesu Mwokozi? Tafakari.
ACHA KULETAA POROJOYaani mtapata shida sana kutaka kukosoa Qur'an,, na hamtoweza..
Hapo imeongelewa makundi mawili tofauti...
3:100 inaongelea kuhusu WATU WA KITABU... Hawa waliokanusha aya za Mwenyezi Mungu na hutumia mbinu kuwashawishi waumini wazikanushe pia kwa kuwatafutia kosa... Kwa kifupi WATU WA KITABU wanaoongelewa hapa ni kama WEWE.. Kwa ufafanuzi,, Soma aya za juu yake na chini yake utaona.
10:94 inaongelea wale watu walifikiwa na kitabu kabla yako ndo uwaulize kutokana na shaka uliokuwa nalo..
Kijana endelea kuusoma Uislamu ipo siku utasilimu In Shaa Allah
Nimeshakuonesha hapo juu ambapo hujaelewa...
kuusoma Uislamu kwa bidii kama unavyofanya, bila shaka utasilimu In Shaa AlAA
ACHA KULAZIMISHAUmeandika uongo mwingi ila Mimi nakufundisha moja tu hiyo Luka 2:7 haisemi kama Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe hapo umedanganya
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
Andiko linasema alimlaza mtoto wake katika hori la kulia ngo'ombe baada ya kukosa nafasi katika nyumba ya wageni
Ina maana kama Maryam angepata nafasi ya kumlaza mwanawe katika nyumba ya wageni hapo katika hori la kulishia ng'ombe asingefika
Kama ni hospitali hapo katika hori la kulishia ng'ombe ni warding sehemu ambayo wazazi wanaenda kulaza watoto wao baada ya kutoka labour
Sasa kama hapo katika hori la kulishia ng'ombe ni warding je! Labour ya Yesu ilikuwa wapi?
Labour ya Yesu ni chini ya shina la mtende kwa mujibu wa Quran
Quran 19:22.
Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.
23.
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
24.
Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!
NYINYI WAGALATIA SIJUI MNAKWAMA WAPI
Sent using Jamii Forums mobile app
MBONA UNALALAMIKA TU,NIMEKUWEKEA AYA UNNALIALIANikutumie uthibitisho kwenye kitabu changu cha tafsiri ya Qur'an uaibike zaidi ?
Ebu acheni uzushi... Jengeni hoja za ukweli, sio kuzusha uongo
WEWE NI MAAMUMANimekupa nafasi urekebishe uzushi uloandika..
Qur'an 15:91 " Ambao wameijaalia Qur'an vipande vipande"
Umeona ulivokua mzushi ?
Unajiskiaje kwa kuaibika ?
NANI ANATAKA KUFANYIWA VITUKO HIVINimeshakuonesha hapo juu ambapo hujaelewa...
Endelea kuusoma Uislamu kwa bidii kama unavyofanya, bila shaka utasilimu In Shaa Allah.
ACHA KUPOTOSHA YESU MNAZARETH SIO ISSA,MUULIZENI MUDY VZRUmeandika uongo mwingi ila Mimi nakufundisha moja tu hiyo Luka 2:7 haisemi kama Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe hapo umedanganya
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
Andiko linasema alimlaza mtoto wake katika hori la kulia ngo'ombe baada ya kukosa nafasi katika nyumba ya wageni
Ina maana kama Maryam angepata nafasi ya kumlaza mwanawe katika nyumba ya wageni hapo katika hori la kulishia ng'ombe asingefika
Kama ni hospitali hapo katika hori la kulishia ng'ombe ni warding sehemu ambayo wazazi wanaenda kulaza watoto wao baada ya kutoka labour
Sasa kama hapo katika hori la kulishia ng'ombe ni warding je! Labour ya Yesu ilikuwa wapi?
Labour ya Yesu ni chini ya shina la mtende kwa mujibu wa Quran
Quran 19:22.
Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.
23.
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
24.
Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!
NYINYI WAGALATIA SIJUI MNAKWAMA WAPI
Sent using Jamii Forums mobile app
LETA HAPA USILIELLIEHakuna aya kama hio kwenye Qur'an...
NILIPOSEMA WW MAAMUMA SIKUKOSEA
ACHA KUPOTOSHA YESU MNAZARETH SIO ISSA,MUULIZENI MUDY VZR
TUNAJUA MNATUMIA UONGO KUPOTOSHA, UKWELI NI KWAMBA YESU HAWAJUAN NA HUYO ISA WENU
MUHAMMAD KASEMA MTUMIE UONGO KUTANGAZA DINI YA UISLAMU USHAHIDI HUU HAPA NDIYO MAANA MNAPOSHINDWA HOJA MNAIKANA QURAN NA KUKIMBILIA KWENYE BIBLIA MSIYOIAMINI KWA KULAZIMISHA TUAMINI UONGO WENU :
Kasema Mtume (s.a.w) “Uwongo wote ni dhambi ila kwa kile kinachomfaa muislamu kwa jambo la kheri, unaweza kutumia uongo kupatanisha watu waliokhasimisna au katika jambo litakaloleta kheri na manufaa kwa waislamu” (Mkweli Mwaminifu, juu ya 3-4, Hadithi Na. 855, Uk 57)
REJEA HAPA TENA
TAQIYYA ni kuficha imani ndani ya moyo na kutamaka yaliyo kinyume na hayo imepokewa kwa Abu Dardaa hakika Sisi Wallahi tunawakenulia jamaa zetu ila nyoyo zenu zinawalaani
Kukenua ni kufunua mdomo katika kucheka
Ibn khathir Juzuu ya 1 ukurasa 365
Fafhul bayami Juzuu ya 2 ukurasa 215
Swaf-watuti tafsiri Juzuu ya 1 Ukrasa 196
Tafasir ya Manar juzuu ya 1 Ukrasa 281
View attachment 1799813
Kumbe aya sahihi unazo lakini unaamua kutuma za uongo kwa matakwa yako...NILIPOSEMA WW MAAMUMA SIKUKOSEA
UMEKARIRI HIYO TAFSIRI MOJA
UNAELEWA kuijaalia MAANA YAKE
View attachment 1799818
HIYO AYA YA UONGO?Kumbe aya sahihi unazo lakini unaamua kutuma za uongo kwa matakwa yako...
Nashkuru kwa kuwa umetambua kosa lako... Usirudie tena kutuma aya za uongo
Hawa wanapata tabu sababu hata hicho kiarabu hakijui. Yaani anaweka aya halafu anaweka maneno mengine kabisa ambayo si Qur'aan. Mwisho wa siku wanakosea na kuzusha uongo kama alivyo fanya huyo mdau.