Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,861
Acha kumfananisha NABII ISAYA na tapeli mudyNyinyi tunawafanya kama ubao tu wagalatia wenzenu wenye akili wanasoma na wanaelewa kuwa kweli wazungu wamewaingiza CHAKA
Tokea lini mzungu akamjua Mungu wa kweli
NABII ISAYA ALIPO TABIRI UJIO WA YESU
Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
YESU ANATHIBITISHA KUWA UTABIRI WA NABII ISAYA UPO SAHIHI
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
NABII MUHAMMAD NAE AKATHIBITISHA KUWA ISAYA NA YESU WALIKUA SAHIHI
Quran 61-6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati,
YESU ALIYETENGENEZWA NA WAZUNGU KWA AJILI YA KUANZISHA DINI YAO YA UKRISTO
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Manabii wa Mungu wote 3 kauli zao zinafanana kuhusu Yesu
Anatokea muhuni mmoja anaitwa Paulo anawaingiza watu chaka
Yesu anasema waache wafu wawazike wafu wao
Sent using Jamii Forums mobile app
UNAKATAA KUMFUATA ALIYESHUKA TOKA MBINGUNI NA KUJA KUKAA NASI KISHA AKARUDI MBINGUNI KUTUANDALIA MAKAO KISHA ATAKUJA TENA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU BADALA YAKE UNAMFUATA ALIYEKUJA KUTOKA SAUDIA KISHA AKAFA NA KWENDA GEHANUM (ALIYEKWISHA HUKUMIWA).Hivi umeelewa kweli hiyo riwaya ?
ACHA KUDANGANYA, HUO UNABII ALITABIRI MIKA MMORASHUMathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
Mkitaka kujua kama wajanja wenu wanawapotosha kwa ma kusudi ili msijue Yesu wa kweli
Nitafutieni hilo andika katika kitabu cha nabii Isaya katika bibilia zenu za sasa
Hilo andika katika bibilia ya king James version ya 1956 lipo katika kitabu cha Isaya ila bibilia za sasa limetolewa
Je! Kwanini kanisa imelitoa hilo andiko katika kitabu cha Isaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatokea muhuni mmoja anaitwa Paulo anawaingiza watu chaka
Mathayo 2:6ACHA KUDANGANYA, HUO UNABII ALITABIRI MIKA MMORASHU
NA NDIYE NABII PEKEE ALIYETABIRI MAHALI ATAKAPOZALIWA YESU
LETA USHAHIDI NI ISAYA NGAPI ILIONDOLEWA
MIMI NAKUPA AYA YA MIKA
Mika 5:2 BHN
Mwenyezi-Mungu asema, “Lakini wewe Bethlehemu katika Efratha, wewe ni mdogo tu kati ya jamii za Yuda, lakini kwako kutatoka mtawala atakayetawala juu ya Israeli kwa niaba yangu. Asili yake ni ya zama za kale.”
BHN: Biblia Habari Njema
Micah 5:2
The Coming Messiah
The New King James Version
2 “But you, Bethlehem Ephratah,
Though you are little among the thousands of Judah,
Yet out of you shall come forth to Me
The One to be ruler in Israel,
whose goings forth are from of old,
From everlasting.”
Mika 5:2
Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.
ACHA KUDANGANYA, HUO UNABII ALITABIRI MIKA MMORASHUMathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
Hili andiko mwandishi alilikopi kama lilivyo kutoka katika kitabu cha Isaya
Kama babu yako anayo bibilia king James version ya 1956 nenda kasome ukisoma hilo andiko hapo mwandishi ana kudirect kwa Isaya na ukienda utalikuta
Lakini katika hizi bibilia zenu za sasa zinazoandikwa Dodoma limetolewa kama kweli unataka kujua kasome hiyo KJV 1956
Yani nyinyi mmeshapotea na wajanja wenu wanaendelea kuwapoteza
Sent using Jamii Forums mobile app
LETA USHAHIDI NI ISAYA NGAPI ILIONDOLEWAHili andiko mwandishi alilikopi kama lilivyo kutoka katika kitabu cha Isaya
LETA USHAHIDI NI ISAYA NGAPIHili andiko mwandishi alilikopi kama lilivyo kutoka katika kitabu cha Isaya
Muhammad hakutokewa na malaika Mara moja malaika Jibril aliendelea kuja kwa mtume Muhammad kwa muda wa miaka 23Akili vitenzi.
Ni rahisi sana mwislamu kuamini Muhammad alitokewa na malaika mapangoni akakabwa.(akiwa pekeake no shahidi).
Ila sio rahisi kwao kuamimi mtume paulo alitokewa na Yesu njiani akielekea damaskus. (akiwa ma mashahidi).
View attachment 1801210
Nani Mkweli kati ya khadija na Muhammad? Na je anayetoa utume ni Mke ama MWENYEZI MUNGU? WAPI KHADIJA ALIKUWAKO PANGONI 17/12Muhammad hakutokewa na malaika Mara moja malaika Jibril aliendelea kuja kwa mtume Muhammad kwa muda wa miaka 23
hakuna mkristo anayetumia jina la issa hata siku mojaVipi kwa wakristo wanaotumia jina la Isa kwenye nchi zingine? Au kanisani umefundishwa majina ya Jesus na Yesu tu?
MUHAMMAD ANAKILI KUWA YEYE NI MTUME WA SHETANI MBELE ZA AISHA MKEWEMuhammad hakutokewa na malaika Mara moja malaika Jibril aliendelea kuja kwa mtume Muhammad kwa muda wa miaka 23
kuna mtume na nabii hao ni watu wawili tofauti,nambie uongo wa paulo uko wapi? halafu mie nikuambie uongo wa mohamadMuhammad hakutokewa na malaika Mara moja malaika Jibril aliendelea kuja kwa mtume Muhammad kwa muda wa miaka 23
Paulo alitokewa na Yesu Mara moja tu tena hao wandishi wanao lipoti hilo tukio wanatofautiana wengine wanasema waliona mwanga hawakusikia sauti na wengine wanasema walisikia sauti hawakuona mwanga
Kama Paulo ni mtume wa kweli niambie alitabiriwa na nabii gani wa kabla yake?
Na ukitoa andiko kuwa kuna nabii yoyote aliyetabili ujio wa mtume wako wa uongo Paulo Mimi nakua mkristo Leo leo
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀🤣😂😆😄😃Nani Mkweli kati ya khadija na Muhammad? Na je anayetoa utume ni Mke ama MWENYEZI MUNGU? WAPI KHADIJA ALIKUWAKO PANGONI 17/12
Muhammad alisema Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani katika pango na kuniharibu akili yangu na kunizuga lakini mkewe khadija akasema hujachezewa na shetani bali Naapa UMESHAKUWA mtu wa uma huu :
Kitabu cha wakeze Mtume Wakubwa Na Wanawe Ukrasa 13-14
Kama Paulo ni mtume wa kweli niambie alitabiriwa na nabii gani wa kabla yake?
Yesu anasema ili wewe uende peponi lazima ukubali kuwa Mungu ni mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmojakuna mtume na nabii hao ni watu wawili tofauti,nambie uongo wa paulo uko wapi? halafu mie nikuambie uongo wa mohamad
paulo siyo muongo anajua YESU ni nani,kasome Yohana 14:6, “Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimiYesu anasema ili wewe uende peponi lazima ukubali kuwa Mungu ni mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Paulo anasema ili uende peponi lazima umtumainie Yesu Mungu mkuu
Hu ndio uongo wa Paulo
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kusema Paulo ni mkweli na Yesu anaesema Mungu ni wa pekee( mmoja) na yeye ametumwa na huyo Mungu ndio muongopaulo siyo muongo anajua YESU ni nani,kasome Yohana 14:6, “Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi
Yesu sio njia bali alikuwa anaijua njia (means) kwana ili bidi umwamini kuwa anajua, then akufundishe how, nawe u practise with persion and divotion. Then hata ukiwa hai ungali mwilini unajua yote ya mbinguni na Dunian.Yesu anasema ili wewe uende peponi lazima ukubali kuwa Mungu ni mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Paulo anasema ili uende peponi lazima umtumainie Yesu Mungu mkuu
Hu ndio uongo wa Paulo
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Sent using Jamii Forums mobile app