Paul hakuwa moja Kati ya wanafunzi wa yesu lakini alikuwepo wakati huo na mafundisho ya Paul juu ya uungu wa yesu hayakuwa tofauti na ya mitume 12 wa yesu ambao wote waliamini katika kufufuka kwa yesu, hakuna Kati ya mitume wote wa yesu ambaye aliamini katika uislamu wote waliamini kuwa yesu ni mwana wa mungu alikufa na kufufuka siku ya tatu na atarudi Tena.According to both sources, Paul was not a follower of Jesus and did not know him before his crucifixion. Paul's conversion occurred after Jesus's crucifixion. sasa hayo aliyoandika katoa wapi?
Paul hakuwa moja Kati ya wanafunzi wa yesu lakini alikuwepo wakati huo na mafundisho ya Paul juu ya uungu wa yesu hayakuwa tofauti na ya mitume 12 wa yesu ambao wote waliamini katika kufufuka kwa yesu, hakuna Kati ya mitume wote wa yesu ambaye aliamini katika uislamu wote waliamini kuwa yesu ni mwana wa mungu alikufa na kufufuka siku ya tatu na atarudi Tena.
Paulo na mitume wa yesu waliishi wakati mmoja ndio maana ukisoma matendo ya mitume unaona Paulo akizungumza na kina Petro.
Paul alipewa jukumu la kusambaza habari njema za ufalme wa mungu kwa mataifa (yaani wasio wayahudi).
Vitu vyote hivi vinashuhidiwa na vitabu mbalimbali vya kipindi hicho vikiwemo vya kihistoria na findings mbalimbali za kisayansi.
On the other hand Habari za Issa zinatoka na Quran na hadithi za Muhammad ambaye aliishi uarabuni, 600 years baada ya yesu ambaye hakuwahi kukutana na mitume wa yesu. Isitoshe zinakinzana na Habari za mitume wa yesu.
Shida ipo wapi Yesu akisema Yeye mtu , nataka uniambie shida Yako ILI nijue ulipo kwamaYesu mwenyewe anakukataaView attachment 1801818
What's matter tarehe, mwezi na mwaka unatumia kwa sasa ni kwa mujibu wa Yesu ndio tukaanza kuhesabuYesu alizaliwa mwaka, mwezi na tarehe gani ?
‘Muhammad namlinganisha na mti, sasa matunda yake yakiwa mazuri sina ubishi nitamfuata, lakini yakiwa ni matunda kinyume na hayo nitamhesabu kama nabi iwa uongo’.Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Paulo muongo hapo Yesu anamuomba Mungu gani kama yeye ndio Mungu mkuu
Tena hapo Yesu amesujudu yani paji lake la uso limegusa aridhi hilo neno (kuanguka kifulifuli ) limewekwa ili kukuzugeni nyinyi wagalatia
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipokuwa nikichunguza kitabu cha historia ya Muhammad, kwa umri wake wa miaka 12 alikwenda na Abu Talib baba yake mdogo huko Shamu (Syria) kwa safari ya biashara, njiani wakakutana na mwanamume nabii wa kikristo ambaye jina lake alikuwa ni Bahirah naye akatowa unabii kuhusu Muhammad kwa maneno haya:Mathayo 5:20
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
KWELI NYINYI MNADANGANYWA YANI HAPO NDIO MMEFUNDISHWA KUWA YESU ANAWASIFIA MAFARISAYO?
KWELI NYINYI MNA YESU WENU MWINGINE NA SIO HUYU YESU MTOTO WA MARYAM ALIYEPEWA INJILI
INAONEKANA UNAJUA SANA KUTAFSIRI INJILI NA KUWALINDA MAADUI WA YESU HAYA TAFSIRI NA HAPO KUANZIA 16:1
Mathayo 16:1
Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaonyeshe ishara itokayo mbinguni.
Mathayo 16:2
Akajibu, akawaambia, [Kukiwa jioni, mwasema, Kutakuwa na kianga; kwa maana mbingu ni nyekundu.
Mathayo 16:3
Na asubuhi, mwasema, Leo kutakuwa na dhoruba; kwa maana mbingu ni nyekundu, tena kumetanda. Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa mbingu; lakini, je! Ishara za zamani hizi hamwezi kuzitambua?]
Mathayo 16:4
Kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya Yona. Akawaacha, akaenda zake.
Mathayo 16:6
Yesu akawaambia, Angalieni, jilindeni na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Paulo Mtume ni Mkuu Kuliko Muhamad mwanzilishi wa dini ya KiisalamuMathayo 5:20

Abu Huraira amesimulia kuwa, “Mtume Muhammad (S.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa”Mathayo 5:20

WAJE WAJIBU , HUO UMASIIHI WA ISSA ...NI UKOJEIbrahimu anaitwa baba wa imani baada ya kukubali kumtoa sadaka mwanaye Isaka naye aliadiwa kuwa uzao wake watapewa mji ule wa caanan mji ambao ni wa maziwa na asali. Ukifatilia vizuri mungu anaitumia caanan ambayo leo hii ni Israel kuakisi ufalme wake utakaokuja huko baadaye, Israel hii hawajahi kusettle kwa sababu ni ufalme wa dunia hii Kila wanapofanikiwa kuingia caanan wanamsahau mungu wao na hivyo anawaadhibu lakini caanan halisi ni ile ambayo watairithi wale wamwaminio yesu kristo, ambao utawala huo ni wa milele na wale wote watakoingia humo wamehesabiwa Haki.
Nabii Daniel kipindi wana wa Israel wapo utumwani Babel alifunga na kumuomba mungu amfunulie mustakabali mzima wa taifa la Israel, na ni lini mesiah atakuja na ni lini mwisho wa Mambo yote.
Mungu alimjibu kupitia malaika,
Akamueleza kwa details kuwa ni muda gani masihi atakuja kwa Mara ya Kwanza exact year na jinsi watakamvyosulubisha.
Lakini pia alimueleza pia falme zote zitakazofuata kutoka ufalme wa Babylon ambao ndio ulikuwa ukitawala kipindi Cha Daniel, na tawala zitakazofuata kama medo persia, Greek na Rome na baada ya hapo utawala wa yesu.
Ukiangalia tawala zote zilizotabiriwa zimeshapita hivyo inaashiria tupo katika wakati wa mwisho kabla ya hukumu na kinachongojewa ni gospel kufika Kila Kona ya dunia ili iwe ushahidi kwa Kila binadamu.
Soma kile kitabu Cha Daniel then jaribu kutafakari yale maneno yaliyoandikwa humo kwa kuyatafutia ufumbuzi then hautahitaji kubishana kuhusu Yesu au Isa yupi ni kweli kwa sababu utaelewa maana nzima behind. Na sio story ambazo hazina back up kama za Quran
Mara Isa aliongea akiwa tumboni, Mara aliongea akiwa mtoto Mara wanaamini Isa ni masihi pasipokuelewa maana hata maana nzima ya masihi ni Nini. Sababu hata hao wayahudi wanajua maana nzima ya masihi lakini wakiamini kuwa mkombozi kwa maana atakuwa kiongozi wa hapa duniani atawakomboa dhidi ya maadui zao wa hapa duniani, lakini wakristo tunaamini kuwa mesiah ni Yesu na kuwa ufalme wake sio wa dunia hii.
Sasa Isa bin Mariam yeye kama pia ni masihi umasihi wake ni kwa ajili ya Nini? Quran haielezi umasihi wake Bali inamueleza kuwa yeye ni mtume tu ambaye alikuja alihubiri uislam na kuwa Kuwa alitabiri kuwa Kuna nabii mwingine atakuja ambaye ni Ahmad. Haielezi mafundisho yake, inasema alikuja na kitabu ambacho hakijawahi kuexist. Ukiwauliza hicho kitabu alichokuja nacho Isa kipo wapi wanarely kusema ndio agano jipya na kwamba limebadilishwa. Ukiwauliza Lakini Injili si kitabu kilichoshushwa kama Quran na Allah na tujuavyo agano jipya liliandikwa na binadamu(wafuasi wa Yesu). Je hicho kitabu kinachoitwa Injili kipo wapi. Je Allah alishindwa kukitunza hata copy moja iwe kama ushahidi.
The true Messiah ambaye ni Yesu ametimiza zaidi ya unabii 300 ambao umendikwa kuhusu Messiah to the smallest detail including mazungumzo atakayoongea, na yote haya yaliandikwa kabla ya kuzaliwa kwake with evidence. Kimahesabu kutimiza unabii wote huo ni sawa na uambiwe Kuna kamchanga kamoja kapo dar es salaam na usiambiwe kapo wap unatakiwa ukaokote.
So make a choice
Yesu alisema ukinionea aibu nami nitakuonea aibu mbele za baba yangu.
Hakuna anayeweza kuja kwa baba isipokuwa kupitia kwa yesu kristo.
Ni jina moja tumepewa wanadamu ambalo yeyote atakayekiri kuwa yeye ndiye bwana na kwamba alikufa pale msalabani kwa ajili yetu ataokolewa.
Hakuna aliye mtimilifu mbele ya macho ya mungu if you want to be jugded by the law of God only then no one will be saved. Utajidanganya tu kwamba Leo nimefanya matendo mazuri kesho ukamtamani mke wa mtu na ndo ikawa siku yako ya mwisho duniani. Gift of God to humanity is etenal life through Christ Jesus.
Moto wa jehanam haukuwa kwa ajili ya wanadamu Bali kwa ajili ya shetani na malaika zake shetani kwa kujua kuwa the only way to eternal life is through Christ amewapotosha watu wengi na wengi wameamua kufumba macho na masikio.
Wewe pia ni mfarisayo au siyo?Matendo ya Mitume 23:6
Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu.
Muulize Yesu atakuambia anawajua vizuri ndio maana alikuambia ujihadhari nao
Mathayo 5:20
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well explainedIbrahimu anaitwa baba wa imani baada ya kukubali kumtoa sadaka mwanaye Isaka naye aliadiwa kuwa uzao wake watapewa mji ule wa caanan mji ambao ni wa maziwa na asali. Ukifatilia vizuri mungu anaitumia caanan ambayo leo hii ni Israel kuakisi ufalme wake utakaokuja huko baadaye, Israel hii hawajahi kusettle kwa sababu ni ufalme wa dunia hii Kila wanapofanikiwa kuingia caanan wanamsahau mungu wao na hivyo anawaadhibu lakini caanan halisi ni ile ambayo watairithi wale wamwaminio yesu kristo, ambao utawala huo ni wa milele na wale wote watakoingia humo wamehesabiwa Haki.
Nabii Daniel kipindi wana wa Israel wapo utumwani Babel alifunga na kumuomba mungu amfunulie mustakabali mzima wa taifa la Israel, na ni lini mesiah atakuja na ni lini mwisho wa Mambo yote.
Mungu alimjibu kupitia malaika,
Akamueleza kwa details kuwa ni muda gani masihi atakuja kwa Mara ya Kwanza exact year na jinsi watakamvyosulubisha.
Lakini pia alimueleza pia falme zote zitakazofuata kutoka ufalme wa Babylon ambao ndio ulikuwa ukitawala kipindi Cha Daniel, na tawala zitakazofuata kama medo persia, Greek na Rome na baada ya hapo utawala wa yesu.
Ukiangalia tawala zote zilizotabiriwa zimeshapita hivyo inaashiria tupo katika wakati wa mwisho kabla ya hukumu na kinachongojewa ni gospel kufika Kila Kona ya dunia ili iwe ushahidi kwa Kila binadamu.
Soma kile kitabu Cha Daniel then jaribu kutafakari yale maneno yaliyoandikwa humo kwa kuyatafutia ufumbuzi then hautahitaji kubishana kuhusu Yesu au Isa yupi ni kweli kwa sababu utaelewa maana nzima behind. Na sio story ambazo hazina back up kama za Quran
Mara Isa aliongea akiwa tumboni, Mara aliongea akiwa mtoto Mara wanaamini Isa ni masihi pasipokuelewa maana hata maana nzima ya masihi ni Nini. Sababu hata hao wayahudi wanajua maana nzima ya masihi lakini wakiamini kuwa mkombozi kwa maana atakuwa kiongozi wa hapa duniani atawakomboa dhidi ya maadui zao wa hapa duniani, lakini wakristo tunaamini kuwa mesiah ni Yesu na kuwa ufalme wake sio wa dunia hii.
Sasa Isa bin Mariam yeye kama pia ni masihi umasihi wake ni kwa ajili ya Nini? Quran haielezi umasihi wake Bali inamueleza kuwa yeye ni mtume tu ambaye alikuja alihubiri uislam na kuwa Kuwa alitabiri kuwa Kuna nabii mwingine atakuja ambaye ni Ahmad. Haielezi mafundisho yake, inasema alikuja na kitabu ambacho hakijawahi kuexist. Ukiwauliza hicho kitabu alichokuja nacho Isa kipo wapi wanarely kusema ndio agano jipya na kwamba limebadilishwa. Ukiwauliza Lakini Injili si kitabu kilichoshushwa kama Quran na Allah na tujuavyo agano jipya liliandikwa na binadamu(wafuasi wa Yesu). Je hicho kitabu kinachoitwa Injili kipo wapi. Je Allah alishindwa kukitunza hata copy moja iwe kama ushahidi.
The true Messiah ambaye ni Yesu ametimiza zaidi ya unabii 300 ambao umendikwa kuhusu Messiah to the smallest detail including mazungumzo atakayoongea, na yote haya yaliandikwa kabla ya kuzaliwa kwake with evidence. Kimahesabu kutimiza unabii wote huo ni sawa na uambiwe Kuna kamchanga kamoja kapo dar es salaam na usiambiwe kapo wap unatakiwa ukaokote.
So make a choice
Yesu alisema ukinionea aibu nami nitakuonea aibu mbele za baba yangu.
Hakuna anayeweza kuja kwa baba isipokuwa kupitia kwa yesu kristo.
Ni jina moja tumepewa wanadamu ambalo yeyote atakayekiri kuwa yeye ndiye bwana na kwamba alikufa pale msalabani kwa ajili yetu ataokolewa.
Hakuna aliye mtimilifu mbele ya macho ya mungu if you want to be jugded by the law of God only then no one will be saved. Utajidanganya tu kwamba Leo nimefanya matendo mazuri kesho ukamtamani mke wa mtu na ndo ikawa siku yako ya mwisho duniani. Gift of God to humanity is etenal life through Christ Jesus.
Moto wa jehanam haukuwa kwa ajili ya wanadamu Bali kwa ajili ya shetani na malaika zake shetani kwa kujua kuwa the only way to eternal life is through Christ amewapotosha watu wengi na wengi wameamua kufumba macho na masikio.
Hakuna kitu kigumu kama kutetea uongo haya uliyoandika ni kupayuka payuka ovyoAbu Huraira amesimulia kuwa, “Mtume Muhammad (S.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa”
Lakini mkewe katika kumtuliza mumewe wakiwa chumbani kitandani, akaamua kumriwadha na maneno matamu, ambayo kwa kweli hata kama ni wewe mwanaume lazima ulainke, mwisho wa mariwadho hayo, Bi KHADIJA ambaye hakuwa na Dini, hamjui Mungu, anamtangaza Muhammad mumewe kuwa ni mtume, na baada ya hapo sasa Habari zikaenea, na Waandishi wa vitabu vingine wakakoleza zaidi kwa kusema huyo aliyembana huko pangoni Muhammad, ni Malaika Jibril imani ambayo ipo kwa waislamu mpaka leo, wakati Muhammad mwenyewe amejieleza kuwa Shetani ndiye kamfanyizia, huko Pangoni mpaka kumtia homa, na mwisho kupata utume kupitia mkewe, hapo ni kabla ya Quran kuwapo, Kwa hivyo Quran ilipoanza, waliamua kufunika funika, Ili Muhammad aonekane utume wake kapewa na Mungu, kumbe sivyo.
Hakuna kitu kigumu kama kutetea uongo haya uliyoandika ni kupayuka payuka ovyo
Hoja ya msingi ni kwamba Paulo ni muongo na mafundisho yake aliyekufundisheni nyinyi wakristo yanapingana na Yesu
Paulo anasema Yesu ni Mungu
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Lakini Yesu anakaata hayo mafundisho ya Paulo na anasema ili uende peponi ni lazima ukubali kuwa Mungu ni mmoja nayeye Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma
SASA KAMA WEWE UNAMUAMINI PAULO NA KUMUONA YESU NI MUONGO NDIO USEME SASA
Sent using Jamii Forums mobile app
Point kubwa ni kwamba Paulo muongo anasema Yesu Mungu
- Point yako kubwa ni ipi? Kwamba Yesu hakutumwa au vipi?
- Kuna swali niliwauliza huko nyuma , Huyu Paul wa Allah alienda Antiokia kufanya nini, kama alikuwa mtume wa allah kitabu chake tunakipata wapi (ata sura moja tu)
- 36:14. Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu(Bulus)
- watatu waliotumwa na mungu Allah,,, Ibn Kathir in his Tafsir (Commentary) amewataja kama Sham`un (Peter), Yuhanna (John) and Bulus (Paul) kwenye mji wa Antioch (Antakiyah)
QuranX.com The most complete Quran / Hadith / Tafsir collection available!
Bado hujajibu swali langu,,
Yesu alizaliwa Mwaka, mwezi na tarehe gani ?
Nitakujibu,, ila kwanza jibu swali langu hapo juu....