Bulus kawaweka njia panda , Wewe umeitwa kusaidia , saidia kwa copy paste kama unazoWacha kupakazia wapi kwenye hiyo link yako ya ibn Kathir kumetajwa Paul kama ni Bulus ??
Unawasha mwenge mchana jua kali saa 6 ili watu wapate kuona ?? Au ndio mafundisho ya kanisa lako hayo ??
Bulus kawaweka njia panda , Wewe umeitwa kusaidia , saidia kwa copy paste kama unazo
Nimeshamaliza kazi , Bulus yani unatamani ukafute aliyo andika Ibn Al KathirWacha kupakazia wapi kwenye hiyo link yako ya ibn Kathir kumetajwa Paul kama ni Bulus ??
Unawasha mwenge mchana jua kali saa 6 ili watu wapate kuona ?? Au ndio mafundisho ya kanisa lako hayo ??
Nimeshamaliza kazi , Bulus yani unatamani ukafute aliyo andika Ibn Al Kathir
Meaning, origin and history of the name Bulus
The meaning, origin and history of the given name Buluswww.behindthename.com
Ni ujinga kufikiri hiviBaba yake ni nani ?
Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....
Nimeshakumaliza Hapo hakuna cha copy paste kitu kipo kwenye link na huna uwezo wa ku edit 🤣 🤣 🤣 , uwezo wako ni copy paste , Leo Utalala unamuota Ibn Al Kathir na Bulus pole kijana hiyo ndio nguvu ya technology inavyowaumbuaNdiyo kaandika Ibn Kathir hiyo ?? UNAENDELEA KUDANGANYA , HUTOKI NA NIPO RASMI KUWAPIGA NYUNDO
Nimeshakumaliza Hapo hakuna cha copy paste kitu kipo kwenye link na huna uwezo wa ku edit 🤣 🤣 🤣 , uwezo wako ni copy paste , Leo Utalala unamuota Ibn Al Kathir na Bulus pole kijana hiyo ndio nguvu ya technology inavyowaumbua
Hebu tuangalie mada hii kwa kutumia Qur’an na Hadith pamoja na Sherehe za Wanazuoni mbalimbali ndani ya Uislam.Point kubwa ni kwamba Paulo muongo anasema Yesu Mungu
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Kama Yesu ni Mungu hapa anamuomba Mungu gani tena?
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuangalie mada hii kwa kutumia Qur’an na Hadith pamoja na Sherehe za Wanazuoni mbalimbali ndani ya Uislam.NDIYYO IBN KATHIR KAANDIKA HAPO ??
Mwanzo wa Utume wa Paulo;Hakuna kitu kigumu kama kutetea uongo haya uliyoandika ni kupayuka payuka ovyo
Hoja ya msingi ni kwamba Paulo ni muongo na mafundisho yake aliyekufundisheni nyinyi wakristo yanapingana na Yesu
Paulo anasema Yesu ni Mungu
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Lakini Yesu anakaata hayo mafundisho ya Paulo na anasema ili uende peponi ni lazima ukubali kuwa Mungu ni mmoja nayeye Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma
SASA KAMA WEWE UNAMUAMINI PAULO NA KUMUONA YESU NI MUONGO NDIO USEME SASA
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika imani ya Kiisalamu kuna jumla ya mitume wapatao 124,000 laki moja na Ishirinina tano, kati ya hao, ni mitume 25 tu, Mtume Muhammad (S.A. W) ndiyo aliweza kufunuliwa na kuelezewa habari zake. Kama inavyosema Qur’an katika Sura ya 4:164Point kubwa ni kwamba Paulo muongo anasema Yesu Mungu
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Kama Yesu ni Mungu hapa anamuomba Mungu gani tena?
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[ AN-NISAAI – 164 ]Point kubwa ni kwamba Paulo muongo anasema Yesu Mungu
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Kama Yesu ni Mungu hapa anamuomba Mungu gani tena?
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio unless ututhibitishie hizo mbegu ni za nani.Kwahiyo mm kama daktari nikichukua mbegu ( manii) ya mwanaume flani, kisha nikapandikiza kwa mwanamke flani ili apate mimba... Je, mm daktari niliyepandikiza ndo nitakuwa baba ?
tugeukie hadith za mtume Muhammad. na kwa nini tugeukie hadithi? Ni kwa ushauri unaotolewa na Allah s.w ndani ya Quran yenyewe.Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Paulo muongo hapo Yesu anamuomba Mungu gani kama yeye ndio Mungu mkuu
Tena hapo Yesu amesujudu yani paji lake la uso limegusa aridhi hilo neno (kuanguka kifulifuli ) limewekwa ili kukuzugeni nyinyi wagalatia
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna jipya nilitaka nishangae eti Quran itambue utume wa Paulo
- Basi nimeshaelewa English ndio tatizo kwako , tutakesha hapa kama umeshindwa kuelewa hapa
- Kathir - Ibn Al Kathir
- When We sent to them two Messengers, they denied them both means, they hastened to disbelieve in them. فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ (so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Antakiyah).