mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Adamu sio mtu tu, bali mtu wa kwanza, hakuanza na baba na mama ila yeye na mke wake ndio waliumbwa baba na mama. Ndio maana hawakuumbwa watoto bali watu wazima waliokomaa.Adamu asie kuwa na baba wala mama,na yeye sio mtu ?
Halafu Mola wetu anaumba anavyotaka,ndio maana akamuumba ADAMU bila baba wala mama na YESU akamuumba kwa mama tu.
Asante kwa jibu,japo hujaelewa nilichoulizaTungeshangaa kama issa angezaliwa na mzazi mwanaume Bila mama.
Ila kwa kuwa amezaliwa na mwanamke ambae Kazi ya kuzaa ni yake hakuna cha kushangaza hapo.
Nashukuru kwa maelezoNi jambo ambalo linaonyesha ujuzi wa Mola wetu katika kuumba na utukufu wake,ambapo anaumba anavyota.
Umejibu vyema.Tunamuita Issa Bin Maryam kwasababu kazaliwa bila ya baba kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na Ardhi na vilivyomo.
kuna uwezekano habari za issa ni distorted vesrion ya habari za Yesu.Wanajipendekeza tu, Issa bin Maryam sio Yesu Kristo Mwana Wa Mungu
Kama ilivyo Biblia sio Quran wala Uislam sio Ukristo!
Kila mmola akiridhika na imani yake hakutakuwa na shida tena!
kwa hyo unataka kusema mariam hakusikia uchungu kama wanawake wengine?ADAM TUMEAMBIWA WAZI WALIUMBWA KWA UDONGO. ORGIN YA WANADAMU.
AKAWAAMBIA WAZAE NA KUONGEZEKA WANADMU WENZAO. HAKUNA KWANADAMU AKATOKEA KWA MFUMO HUO TENA.
ILA YESU ANASEMA '' NILISHUKA'', NILIKUJA'' SIO NILIZALIWA NA MALIAMU. MARIAM ALIKUWA NJIA TU MKUU.
YESU NI KITUNCHA ZIADA NJE YA MWANADAMU. WAISLAM HAWANA JINSI INABIDI WAKUBALIANE NA YOHANAN 1
KUWA YESU NI MUNGU
Mbona unauliza sana kuwa shida uko wapi?Mimba yake inamuhusisha mzazi mmoja ambaye ni MAMA YAKE.
kwanini asiitwe ubin wa mama yake?
Kwani kuna ubaya Gani?
issa bin mariam maana yake YESU MTOTO WA MARIAM.
angekuwa yesu ni mwanamke angeitwa ISSA BINT MARIAM.
Yaani ISSA MTOTO WA MARIAM.
Shida ipo wapi hapo?
Yeye anasema alikuja sio alizaliwa. Kuzaliwa ilikiwa ni jinsi ya huyu Emmanuel (Mungu pamoja na wanadamu) anaweza kuwafikia.
Sasa mariam anabadilika kiwa njia tu ila sio source na hakuna hata link za kiDNA maana mfumo wake ni extraterestrial.
Asante kwa jibu,japo hujaelewa nilichouliza
adqmu ndiye source ya mwqnadamu ndio baba wa kwanza.kama Hoja ni Yesu Kuzaliwa Bila Baba Ndiyo Sababu Ya Kuwa MUNGU, je! Adamu Ambae Hana Mama Wala Baba Nae Tumuiteje?.
Yeye sio Kiumbe mkuu ndio maana naomba unisaidie Source yake ni Ipi.Kuzaliwa kwa namna isiyo ya kawaida, sio sababu ya kukifanya icho kiumbe ni Mungu[emoji4]
Mbona unauliza sana kuwa shida uko wapi?
Ni wapi Mimi niliposema kuwa kuna shida?
Lengo lilikuwa kuelewa tu kwanini anaitwa hivyo.
Na je mnaamini kuwa Baba yake ni nani?
Baba Yake.Ebu soma Aya ya 20.
Alafu uniambie wachungaji walimsifu mungu gani. Wakati yesu alikuwa mtoto? View attachment 1138123
Binadamu anazaliwaje pasi na baba?Kwetu sisi waislamu Yesu(Issa) kazaliwa pasi na baba,ndio maana ubini wake unarudi kwa mama,na kuitwa ISSA MWANA WA MARIAM.
Unaweza kuwataja wengine?Huyo hajawahi kuwa na baba.
ni miongoni mwa miujiza ya mwenyezi mungu. Na sio yeye TU ambaye amezaliwa Bila baba wapo wengi
Kwa mantiki hii inadhihirisha hakuwa mwanadamu wa kawaida kabisa tunaweza kusema ni Mungu na kama sio kwanini?Nani amekwambia Yesu baba ake ni Yusufu ? Sasa ndio utuambie Yesu baba ake Yusufu kimalezi au kinasaba ? Na kama kinasaba utupe ushahidi.
Kwetu sisi waislamu Yesu(Issa) kazaliwa pasi na baba,ndio maana ubini wake unarudi kwa mama,na kuitwa ISSA MWANA WA MARIAM.
Baba Yake.
Mungu ni Taasisi itoayo uhai ambayo inacomprise Baba, Mwana (Yesu) na Roho mtakatifu.
Huo ni umoja usiobagulika wala kutengana. ni tukio la Yesu kuja tu kidogo lilileta utengano ingawa alikuwa akimuomba baba muda wote maana alikuja bila ule utukufu. Na aliokuwa anaelekea kuutoa uhai wake ili aje auchukue tena siku ya jumapili alilia sana maanankwa kipindi anatengana na mfumo.
Ndio maana kuna maali alipaza sauti akasema '' Babaaaaa unitukuze kwa ule utukufu ambao nilikuwa nao kabla''.
hata haya waislam nguvu zangu hawataki kabisa kuelewa.
Bwana mkubwa tuwekee hapa hizo aya zilizobadilishwa na zimekuwaje hivi sasa tafadhali@Khantwe hakuna muislamu anaekataa biblia, ila inapingwa kwasababu ya kuongezewa aya za kishetani..
Biblia ilikuwa sahihi hapo zamani kwa asilimia 100% ila kwa sasa wameongeza na kupunguza maneno
Kumbuka ule mkutano uliofanywa kule ulaya kwaajili ya kupiga kura vitabu gani viwepo na gani visiwepo