Kwahiyo "Bulus" ndiyo "Paul" hili tatizo aisee.hapa namnukuru ibn Kathir.
قال ابن جرير عن وهب بن سلمان عن شعيب الجبائي قال كان اسم الرسولين الأولين شمعون ويوحنا واسم الثالث بولص والقرية انطاكية فقالوا » أي لأهل تلك القرية « إنا إليكم مرسلون » أي من ربكم الذي خلقكم يأمركم بعبادته وحده لاشريك له قاله أبو العالية وزعم قتادة أنهم كانوا رسل المسيح عليه السلام إلى أهل انطاكية « قالوا ما أنتم إلا بشر مثلنا » أي فكيف أوحي إليكم وأنتم بشر ونحن بشر فلم لا أوحي إلينا مثلكم ولو كنتم رسلا لكنتم ملائكة وهذه شبهة كثير من الأمم المكذبة كما أخبر الله تعالى عنهم في قوله عز وجل « ذلك بأنه كانت تأتيهم رسلهم بالبينات فقالوا أبشر يهدوننا »
Imesimuliwa na Ibn Jurayj kutoka kwa Wahb bin Sulayman, imepokelewa na Shu`ayb Al-Jaba’i,
“Majina wajumbe wawili wa waliotumwa mwanzo ni Simoni na Yohana na jina la wa tatu ni Paulo. Na mji huo ulikuwa Antiokia” , and the city was Antioch. Na wakasema (kwa watu wa mji huo) “hakika sisi tumetumwa kwenu kama wajumbe”, hii ina maanisha “Wajumbe kutoka kwa Allah aliyewaumba nyinyi na anayewaamrisha mumwabudu yeye peke yake na msimfanyie washirika.” Qatada amesema walikuwa ni wajumbe wa Masihi Isa bin Maryam (a.s) waliotumwa kwa watu wa Antiokia. Wakasema “Ninyi ni wanadamu kama sisi…ni kwa vipi munaweza kupokea ufunuo wakati nyie ni wanadamu na sisi tu wanadamu kama nyie, kwanini sisi hatupokei ufunuo kama nyie?” hivi ndivyo ilivyokuwa kwa watu wa mataifa mengine walivyosema ‘hatuamini’, kama vile Allah anavyotuambia katika sura ya 64:6 , “Hayo ni kwa kuwa walikuwa wakiwajia mitume wao kwa hoja zilizo wazi, nao wakasema: Hivyo binadamu ndiyo atuongoe? Basi wakakufuru na wakageuka upande. Mwenyezi Mungu akawa hana haja nao…”
Hivyo twaona kuwa hoja ya kumkataa Paulo ni uzushi wa hivi karibuni. Waislamu, wasomi na Maulamaa wa kale hawakuwa na hoja hii ya kumkataa Paulo.
Huna elimu ya Theology.Issa siyo Yesu
1. Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini mtende
2. Yesu alisurubiwa, akafa na siku ya 3 akafufuka wakati Issa hakusurubiwa, hakufa wala kufufuka.
3. Yesu alitumia Biblia. Alipewa kusoma kitabu cha Isaya na alibatizwa wakati Issa alitumia Quran na hakubatizwa.
Kwanini huwa mnang'ang'ania Yesu ni Issa? Siyo kosa lako sbb huwa mnakaririshwa.
223 sura 2 hapo juu angalia picha@Mubarridi
Katika ile matini kutoka katika Tafsir ya Imaam Ibn Kathiri linasomeka jina kwa Kiarabu "Bulus", sasa wao ndiyo wanatuambia ni Paulo sasa anatumia ushahidi gani.
https://www.jamiiforums.com/attachments/1803691/Katika ile matini kutoka katika Tafsir ya Imaam Ibn Kathiri linasomeka jina kwa Kiarabu "Bulus", sasa wao ndiyo wanatuambia ni Paulo sasa anatumia ushahidi gani.
Nasubiri atupe ushahidi.
Hujajibu swali hata swali moja. Nimekuiliza waandishi wa hayo maandiko yenu ni kina nani ?UNATAKA UJIBIWE MARA 100?
UMEJIBIWA UNAULIZA WAANDISHI , UNAPIGA GIA ANGANI....
Nimecheka sana,hujaweka hili tunalipata wapi ?
NDIO KICHAKA CHAKO CHA KUKIMBIA MASWALI, NDIO MAANA NIMEKWAMBIA BAADA YA KUJIBIWA, UKAZALISHA MADA MPYAHujajibu swali hata swali moja. Nimekuiliza waandishi wa hayo maandiko yenu ni kina nani ?
Hili swali linavunia uongo wenu wote,na hakuna anaye weza kujibu swali hilo,ndiyo maana unalikimbia.
Swali liko pale pale,ni nani ameandika hizo habari mpaka zifike kwa Yesu.
Nipo ...
Haya ndio maujinga mnadanganywa na akina mazinge kuwa kuna aya zimeondolewa siyo?Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
Mkitaka kujua kama wajanja wenu wanawapotosha kwa ma kusudi ili msijue Yesu wa kweli
Nitafutieni hilo andika katika kitabu cha nabii Isaya katika bibilia zenu za sasa
Hilo andika katika bibilia ya king James version ya 1956 lipo katika kitabu cha Isaya ila bibilia za sasa limetolewa
Je! Kwanini kanisa imelitoa hilo andiko katika kitabu cha Isaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
WAISLAMU HAWANA AKILI KASEMA JIBRIL WAKATI WA MUHAMMADWewe kilaza tu Musa ya Yesu wamepisha miaka 1500 kwa hiyo katika nchi yote ya Israel kwa miaka yote hiyo 1500 hapajawahi tokea watu wengine wenye majina ya Imran na Haruni zaidi ya hao waliokuwepo kipindi cha Musa
Sent using Jamii Forums mobile app
Paul alizaliwa Mwaka 5 AD by the time yesu anakufa na kufufuka alikuwa almost 28 YEARS AROUND 33 ADUshahidi wa hili uko wapi ? Unao onyesha ya kuwa Paul alikuwepo wakati huo ?
Jukumu hili alipewa na nani ns nani alikuwa shahidi ?
Tuwekee vitabu vitatu tu,ili tukasome tupate faida.
Mitume wa Yesu ni kina nana na huo utume walipewa na nani na ushahidi uko wapi ?
Bado Umeshindwa kujibu swali langu !!Umri wa Yesu Kufa ni 33 chukua mwaka Huu 2021 (maana tunahesabu kulingana na Yesu alivyo ondoka humu duniani) fanya Hesabu,
Tarehe na mwezi zimetajwa kwa majira late summer or early fall
Hakuna Bulus wa Allah.... Nilikuonesha tafsiri ya İbn kathir hakuna hilo jina bulusTurudi kwenye swali langu Huyu Bulus wa Allah alienda antiokia kutoa ujumbe gani na kitabu cha bulus tunakipata wapi
Kama wewe unaasema Muhammad sio mtume toa andiko katika Quran linalosema Muhammad sio mtume wa Mungu
15 Mjihadhari na manabii wa uongo wanaokuja kwenu wakijifanya kondoo wasio na madhara ingawa ni watu hatari kama mbwa mwitu.
MTUME WA UONGO HUYU HAPAKama wewe unaasema Muhammad sio mtume toa andiko katika Quran linalosema Muhammad sio mtume wa Mungu
Vitabu vya hadithi vimeandikwa na watu ndio maana waislam tuna hadithi sahihi na hadithi ambazo sio sahihi
Pia kwa muislam kuamuni kilicho andikwa katika kitabu chochote cha hadithi ni option sio lazima maana hivyo vitabu vimepita katika mikono mingi
ACHA KUZUGA JIBU SWALI
Mnasema paulo utume amepewa na Yesu sasa mbona mafundisho yake yanapingana na Yesu?
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Yesu anakataa kuwa yeye sio Mungu bali yeye ametumwa na Mungu na ukiamini hayo ndio utapata uzima wa milele
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Hapa kwanza Yesu ana ndugu zake inamaana yeye ni bina adamu
Pia anasema Mimi wewe na yeye Yesu mwenyewe Mungu wetu ni mmoja
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Iweje nyinyi wagalatia msiamini na kufuata mafundisho ya Yesu badala yake mnafuata maneno ya mtume wa uongo Paulo?
Sent using Jamii Forums mobile app
QUR'AN SI MANENO YA MWENYEZI MUNGU KWA SABABU UTHMAN BIN AFFAN NA ZAID BIN THABIT WALICHOMA QURAN ZOTE ZA WAKATI WA MUHAMMAD KISHA WAKAJITUNGIA KITABU KIPYA KWA KUPITIA UTHMAN BIN AFFAN NA ZAID BIN THABITKama wewe unaasema Muhammad sio mtume toa andiko katika Quran linalosema Muhammad sio mtume wa Mungu
17.Baada ya Yesu kusema maneno hayo, alitazama mbinguni na kuomba, “Baba, wakati umefika. Mpe utukufu Mwanao ili Mwanao naye akupe wewe utukufu. 2 Ulimpa Mwana mamlaka juu ya watu wote ili awape uzima wa milele wale wote uliompa. 3 Na uzima wa milele ndiyo huu: kwamba watu watakujua wewe, Mungu pekee wa kweli, na kwamba watamjua Yesu Kristo, Yeye uliyemtuma. 4 Mimi nimeimaliza kazi uliyonipa niifanye. Nami nimekupa utukufu duniani. 5 Sasa, Bwana, unipe utukufu wako niwe nao pamoja nawe, utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya kuumbwa ulimwengu.Kama wewe unaasema Muhammad sio mtume toa andiko katika Quran linalosema Muhammad sio mtume wa Mungu
Vitabu vya hadithi vimeandikwa na watu ndio maana waislam tuna hadithi sahihi na hadithi ambazo sio sahihi
Pia kwa muislam kuamuni kilicho andikwa katika kitabu chochote cha hadithi ni option sio lazima maana hivyo vitabu vimepita katika mikono mingi
ACHA KUZUGA JIBU SWALI
Mnasema paulo utume amepewa na Yesu sasa mbona mafundisho yake yanapingana na Yesu?
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Yesu anakataa kuwa yeye sio Mungu bali yeye ametumwa na Mungu na ukiamini hayo ndio utapata uzima wa milele
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Hapa kwanza Yesu ana ndugu zake inamaana yeye ni bina adamu
Pia anasema Mimi wewe na yeye Yesu mwenyewe Mungu wetu ni mmoja
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Iweje nyinyi wagalatia msiamini na kufuata mafundisho ya Yesu badala yake mnafuata maneno ya mtume wa uongo Paulo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ulishindwa kuthibitisha , story ya Muhammad kukosea ku copy ipo ata Aisha mke mtoto wa Muhammad alimwambia ameongea Jewish women na kamwambia amekosea majina ikibidi Muhammad akomae na hayo majina maana angebadili ingeua uislamu mda ule uleWewe kilaza tu Musa ya Yesu wamepisha miaka 1500 kwa hiyo katika nchi yote ya Israel kwa miaka yote hiyo 1500 hapajawahi tokea watu wengine wenye majina ya Imran na Haruni zaidi ya hao waliokuwepo kipindi cha Musa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mbabaishaji , atakuzungusha kukwepa ukweli, wengine mpaka wamemkana ibn Kathir na kutunga mambo yao huo ndio uislamu wanaruhiaiwa kudanganya kutete dini ya AllahUNATAKA UJIBIWE MARA 100?
UMEJIBIWA UNAULIZA WAANDISHI , UNAPIGA GIA ANGANI....
Ushahidi ndiyo ambao nina utaka hapa.anakufa na kufufuka alikuwa almost 28 YEARS AROUND 33 AD
jukumu hili alipewa na Yesu, on the way to Damascus na hakuwa mwenyewe alikuwa na wenzake pia aliweza kukutana na wanafunzi wa yesu nao wakakubaliana naye
Hili nitakujbi baada ya wewe kuweka ushahidi wa swali nililo kuuliza.Nikuulize wew kwani Muhammad jukumu alilopewa la utume alipewa na nani wakati alikuwa mwenyewe kwenye pango nani alikuwa shahidi?
Safi kabisa hapa ndipo napopataka mimi. Huyu muandishi wa mwaka 115AD,marejeo yake ni wapi...?vitabu vya kusoma ni Annals cha Tacitus kiliandikwa mwaka 115 AD chapter 44, Antiquities of Jews cha Josephus
Hu uongo mwingine. Nani amesema ya kuwa mitume wa Yesu ni wanafunzi wake,kadhalika ni wanafunzi wake ? Maana hii ya Utume amesema nani ?mitume wa yesu ni pamoja na wanafunzi wake, pamoja na wote wanaoamini katika kufa na kufuka kwa kristo kwa ajili ya Dhambi za wanadamu nikimaanisha wakristo. utume huo tumepewa na
Haya maneno yanatoka kwenye kinywa cha nani na owa idhini ya nani na ushahidi uko wapi ?Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.