grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,015
- 5,664
Una kichwa kigumu mnoo kwa hyo na hao wenye tunner's syndrome mama zao walijipa mimba? au umeshindwa kujua kuwa Alionesha miujiza yake ya uumbaji kwenye tumbo la maryam? na ipo hekma hapo.Nani alimpatia mimba huyo Mariam?
Huyo aliyempa mimba ndio baba yake
Kwanza unapingana na Paulo aliyekuletea ukristo17.Baada ya Yesu kusema maneno hayo, alitazama mbinguni na kuomba, “Baba, wakati umefika. Mpe utukufu Mwanao ili Mwanao naye akupe wewe utukufu. 2 Ulimpa Mwana mamlaka juu ya watu wote ili awape uzima wa milele wale wote uliompa. 3 Na uzima wa milele ndiyo huu: kwamba watu watakujua wewe, Mungu pekee wa kweli, na kwamba watamjua Yesu Kristo, Yeye uliyemtuma. 4 Mimi nimeimaliza kazi uliyonipa niifanye. Nami nimekupa utukufu duniani. 5 Sasa, Bwana, unipe utukufu wako niwe nao pamoja nawe, utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya kuumbwa ulimwengu.
hii Yohana 17:3 ukiendelea ule mstari wa 5 yesu anasema unipe utukufu niwe pamoja nawe ule utukufu niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya kuumbwa ulimwengu. hii inathibitisha kuwa yesu ni mungu na alikuwepo na baba kabla dunia kuumbwa. so umeamua kuchukua kipande tu cha mstari kupotosha. pia umeruka verse ya nyuma yake inayoelezea kua yesu ni mwana wa mungu.
Yohana 20:17 je hii verse unakubaliana nayo kwanza? maana yake kwanza unakubali kuwa yesu alifufuka na pia unakubali concept ya kwamba kuna mungu baba na mwana, kwa maana yesu alisema anarudi kwa baba. quran inasema Allah hawezi kuwa na mwana.
Yesu sio Mtume kama mitume wengine, Yesu alikuwa zaidi ya Mitume. Ni makosa makubwa sana kumlinganisha Yesu na Mohamed.Ni mtume kama mitume wengine.... Ni mtume wa mwisho wapili kabla ya mtume Muhammad SAW
Sidhani kama unajua ulichoandika, au kitabu chako hicho ndio kinakudanganya kama ambavyo kimekuwa kikidanganya.yesu hakuandika alifuata Hebrew bible mafundisho ya kiyahudi bible hii mpya iliandikwa na Paul miaka mingi baada ya yesu kufariki yalikuwa maelezo yake.
Uislam na Ukristo n vitu visivofanana hata punje zina tofautiana kwa kila kitu ,,,,,sema unachofikiri n kufanana kati ya dini hizo mbili nikufafanulie dhahiri hasaDini zote ukifatilia vitu vingi vinafanana tunatofautiana vitu vichache sana.
Na sehem yenye watu wawili watatu lazima mmoja awe tofauti, wote hatuwezi kuwa sawa.
Naanza na kwa mujibu wa biblia takatifu Gabriel n malaika kerubi ambaye alikuwa malaika mkuu baada ya uasi wa shetani kule mbingun rejea ezekiel 28:11- na kuendelea piah ufunuo wa yohana 6:12 na kuendelea na malaika gabriel alihusika katika kutangaza ujio wa YESU KRISTO na ndiye aliyempa taarifa mariam amwite (Emmanuel yaan MUNGU pamoja nasi) lkn kwa mujibu wa quruan tukufu jibril n malaika mkuu toka mwanzo na hakushiriki katika tangazo la uzazi wowoteMfano hao malaika jibril/Gabriel ina maana ni malaika wawili tofauti?? Adam na hawa ina maana kuna Adam wa kiislam na Wa kikristo??
Adam na hawa wa kwenye Biblia takatifu walimsujudia MUNGU peke yake na hawakusujudiwa yeyote yule na tofauti na adam na hawa wa kwenye quruan tukufu ambao Allah alimwambia shwetan kuwa awasujudie adam na hawa lakn shwetan akakataa na hapo ndo ukawa mwanzo wa uasi wa shetan,,,,,, ambao piah n tofauti kabisa na jinsi shetan (lucifer) alivoasiMfano hao malaika jibril/Gabriel ina maana ni malaika wawili tofauti?? Adam na hawa ina maana kuna Adam wa kiislam na Wa kikristo??
Gabriel alimwambia mariam(yule wa kiyahud) kuwa atakayezaliwa n mtakatifu tena akasema n Mwana wa MUNGU. Tofaut na jibril ambaye hajui kama KRISTO YESU ni mwana wa MUNGUNdio ni mmoja nilichosema mm kuna mambo tunatofautiana tu lakini ni huyo huyo
Hapana hawa n malaika wa2 tofauti na hwenda mmoja wapo hayupo kabisa hajawah kutokea n wa kutungwa hasa.😇✍Huo ndo utofauti n mdogo wote walitokewa na shetani wote hawana baba wala mama sjui tunaelewana?
Tunatofautiana content tu points zile zile.
N kwel kabisa lkn adam na hawa wa kwenye biblia takatifu n tofauti na adam na hawa wa kwenye quruan tukufu. Inshort biblia haifanani na wala haipatan na quruan tukufu .Mkuu wacha kubisha MUNGU ni mmoja malaika ni huyo huyo adam na hawa ndo wale wale was waislam na wakristo hata hao wayahudi pia
Yesu alizaliwa tarehe 01/01/01.Kumbe unakubali kuwa hakumaanishi Paul,,
Sasa kuna haja ya kuendelea na mjadala ?
Kumbuka Bado nakudai mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu !!
Ivi unajua wayahudi hawamtambui yesu na wayahudi sio wakristo,wala hawaamini kuwa ni mesiah,wala hawamini kuwa alikufa na akafufuka kama wakristo wanavoamin.Kwa ufupi katika vitabu vya wayahudi yesu hatajwi.Ushawasoma wayahudi wanachoandika kuhusu Bikra Maria? Kwa ufupi hawaamini wakristo wanachoamini kuhusu huyo mama na uzao wa yesu kristo.Fuatilia utaelewa nna choandika.Ukitaka historia ya kweli ya Isa Bin Maryam nenda Saudi arabia na Madina.
Watakuonesha alipozaliwa, alipoishi, ukoo wake na alipo hivi sasa.
[emoji117]Ukitaka historia ya Yesu Kristo nenda kwa ndugu zake Wayahudi huko Israeli.
Watakuonesha alipozaliwa, alipo anza kuhubiri, ndugu zake, alipohukumiwa, aliposurubiwa, alipokufa, alipozikwa, alipofufuka na alipo paa Mbinguni.
Sehemu hizi zipo mpaka hii leo watu wanaenda kila kukicha kupata shuhuda hizi na wanajiridhisha kuwa ni sahihi kabisa.
Ghafla anatokea mtu huko Maka miaka Mia tano baada ya Yesu Kristo wa Israeli kupaa Mbinguni.
Anaanza kukanusha ukweli wa Yesu wa Israeli ambaye hata hakupata kumwona kwa macho na hata huko Israeli hajafika.
Halafu wanatokea watu wanamwamini. Hakika ni mambo ya ajabu sana.
Eti historia ya Yesu wa Israeli tuipate toka kwa Wakureshi wa Saudi Arabia ?[emoji848]
Hivi ninyi mkipewa Assignment ya kuandika historia ya Yesu Kristo mtaenda kufanya utafiti Israeli aliko zaliwa na kupaa Mbinguni au kwa wale Waarabu Mabedui ?
Mkiambiwa hizo zinazowaambia huo uwongo ni Satanic Verse mnakasirika na kutaka kumchinja mwandishi badala ya kumjibu.
Kawaida ya Mchawi usipomridhisha ye anataka kukuroga tu na hana msamaha wala kutaki kukujibu.
Mmeletewa Dini mkachanganyiwa humo Mwezi na Nyota, Majini, Jiwe Jeusi, Kuelekea Kibra ili Allah akusikieni, lugha ya Kiarabu. Na takataka za kumwaga.
Mtabaki na akili timamu kweli.
Mnashindwa hata kuuona ukweli wa Yesu Kristo na Isa.
Wayahudi wametengeneza hadi FILAMU za Maisha ya ndugu yao Yesu Kristo bado hamuwaamini.
Kuna watu walitoa filamu ya Maisha ya Yesu Kristo Wayahudi wakaikataa, wakasema "sisi hatuna hayo matukio kwa Yesu tunaye mjua" na hiyo filamu ikajifia tu.
Huyo Isa ni wenu wana msitake kumpaka mafuta afanane na Yesu wa Israeli.
Mnashindwa hata kutafakari kwa akili zenu. Kila anachosema Muhammadi ni ndio ndio tu. Oneni basi anavyo watapeli kwa swala la Yesu tu. Je na mengine.
Amkeni amkeni kama hamtaki basi
Nendeni huko Maka mkamwulizie Yesu Kristo wa Nazareti nadhani ukweli wa historia ya maisha yake upo kwa ndugu zake wa huko.
wewe mkristo na yesu wako na hao waislam na mtume wao wote wapumbavu.Ukitaka historia ya kweli ya Isa Bin Maryam nenda Saudi arabia na Madina.
Watakuonesha alipozaliwa, alipoishi, ukoo wake na alipo hivi sasa.
[emoji117]Ukitaka historia ya Yesu Kristo nenda kwa ndugu zake Wayahudi huko Israeli.
Watakuonesha alipozaliwa, alipo anza kuhubiri, ndugu zake, alipohukumiwa, aliposurubiwa, alipokufa, alipozikwa, alipofufuka na alipo paa Mbinguni.
Sehemu hizi zipo mpaka hii leo watu wanaenda kila kukicha kupata shuhuda hizi na wanajiridhisha kuwa ni sahihi kabisa.
Ghafla anatokea mtu huko Maka miaka Mia tano baada ya Yesu Kristo wa Israeli kupaa Mbinguni.
Anaanza kukanusha ukweli wa Yesu wa Israeli ambaye hata hakupata kumwona kwa macho na hata huko Israeli hajafika.
Halafu wanatokea watu wanamwamini. Hakika ni mambo ya ajabu sana.
Eti historia ya Yesu wa Israeli tuipate toka kwa Wakureshi wa Saudi Arabia ?[emoji848]
Hivi ninyi mkipewa Assignment ya kuandika historia ya Yesu Kristo mtaenda kufanya utafiti Israeli aliko zaliwa na kupaa Mbinguni au kwa wale Waarabu Mabedui ?
Mkiambiwa hizo zinazowaambia huo uwongo ni Satanic Verse mnakasirika na kutaka kumchinja mwandishi badala ya kumjibu.
Kawaida ya Mchawi usipomridhisha ye anataka kukuroga tu na hana msamaha wala kutaki kukujibu.
Mmeletewa Dini mkachanganyiwa humo Mwezi na Nyota, Majini, Jiwe Jeusi, Kuelekea Kibra ili Allah akusikieni, lugha ya Kiarabu. Na takataka za kumwaga.
Mtabaki na akili timamu kweli.
Mnashindwa hata kuuona ukweli wa Yesu Kristo na Isa.
Wayahudi wametengeneza hadi FILAMU za Maisha ya ndugu yao Yesu Kristo bado hamuwaamini.
Kuna watu walitoa filamu ya Maisha ya Yesu Kristo Wayahudi wakaikataa, wakasema "sisi hatuna hayo matukio kwa Yesu tunaye mjua" na hiyo filamu ikajifia tu.
Huyo Isa ni wenu wana msitake kumpaka mafuta afanane na Yesu wa Israeli.
Mnashindwa hata kutafakari kwa akili zenu. Kila anachosema Muhammadi ni ndio ndio tu. Oneni basi anavyo watapeli kwa swala la Yesu tu. Je na mengine.
Amkeni amkeni kama hamtaki basi
Nendeni huko Maka mkamwulizie Yesu Kristo wa Nazareti nadhani ukweli wa historia ya maisha yake mtaupata huko kwa ndugu zake Makureshi.
Ukisikia upumbavu ndio huu.
Issa alitumia quran?🤔🤔 how?Issa siyo Yesu
1. Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini mtende
2. Yesu alisurubiwa, akafa na siku ya 3 akafufuka wakati Issa hakusurubiwa, hakufa wala kufufuka.
3. Yesu alitumia Biblia. Alipewa kusoma kitabu cha Isaya na alibatizwa wakati Issa alitumia Quran na hakubatizwa.
Kwanini huwa mnang'ang'ania Yesu ni Issa? Siyo kosa lako sbb huwa mnakaririshwa.
Kwani Mada inasemaje. ?wewe mkristo na yesu wako na hao waislam na mtume wao wote wapumbavu.
nyie Ni wajinga hasa wewe, maelezo meeengi yote ya kukaririshwa na ukiambiwa Leo yesu alikuwa mtu mweusi nadhani utarusha ngumi kabisa. Fool
Wala Biblia haikuwepo.We mwamba acha uongo,wakati wa nabii issa quraan haikuwepo