Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Hao wayahudi mnowapenda wao wenyewe hawamjui huyo yesuUkitaka historia ya kweli ya Isa Bin Maryam nenda Saudi arabia na Madina.
Watakuonesha alipozaliwa, alipoishi, ukoo wake na alipo hivi sasa.
[emoji117]Ukitaka historia ya Yesu Kristo nenda kwa ndugu zake Wayahudi huko Israeli.
Watakuonesha alipozaliwa, alipo anza kuhubiri, ndugu zake, alipohukumiwa, aliposurubiwa, alipokufa, alipozikwa, alipofufuka na alipo paa Mbinguni.
Sehemu hizi zipo mpaka hii leo watu wanaenda kila kukicha kupata shuhuda hizi na wanajiridhisha kuwa ni sahihi kabisa.
Ghafla anatokea mtu huko Maka miaka Mia tano baada ya Yesu Kristo wa Israeli kupaa Mbinguni.
Anaanza kukanusha ukweli wa Yesu wa Israeli ambaye hata hakupata kumwona kwa macho na hata huko Israeli hajafika.
Halafu wanatokea watu wanamwamini. Hakika ni mambo ya ajabu sana.
Eti historia ya Yesu wa Israeli tuipate toka kwa Wakureshi wa Saudi Arabia ?[emoji848]
Hivi ninyi mkipewa Assignment ya kuandika historia ya Yesu Kristo mtaenda kufanya utafiti Israeli aliko zaliwa na kupaa Mbinguni au kwa wale Waarabu Mabedui ?
Mkiambiwa hizo zinazowaambia huo uwongo ni Satanic Verse mnakasirika na kutaka kumchinja mwandishi badala ya kumjibu.
Kawaida ya Mchawi usipomridhisha ye anataka kukuroga tu na hana msamaha wala kutaki kukujibu.
Mmeletewa Dini mkachanganyiwa humo Mwezi na Nyota, Majini, Jiwe Jeusi, Kuelekea Kibra ili Allah akusikieni, lugha ya Kiarabu. Hata kuuliza maana yake hamtaki.
Mtabaki na akili timamu kweli.
Mnashindwa hata kuuona ukweli wa Yesu Kristo na Isa.
Wayahudi wametengeneza hadi FILAMU za Maisha ya ndugu yao Yesu Kristo bado hamuwaamini.
Kuna watu walitoa filamu ya Maisha ya Yesu Kristo Wayahudi wakaikataa, wakasema "sisi hatuna hayo matukio kwa Yesu tunaye mjua" na hiyo filamu ikajifia tu.
Mkatoa Injiri ya Barnaba nadhani mnajua iliko ishia.
Hebu jaribuni kutengeneza filamu ya maisha ya Yesu Kristo halafu onesheni anazaliwa chini ya mti wa Mtende na anaanza kuhubiri akiwa bado mtoto mchanga halafu tuone kama itaaminiwa na ndugu zake Wayahudi.
Huyo Nabii wa Majini Muhammadi hamtaki hata kutengeneza FILAMU ya maisha yake kwa kuogopa kufedheheshwa na Matendo yake Machafu.
Huyo Isa ni wenu wana msitake kumpaka mafuta afanane na Yesu wa Israeli.
Mnashindwa hata kutafakari kwa akili zenu. Kila anachosema Muhammadi ni ndio ndio tu. Oneni basi anavyo watapeli kwa swala la Yesu tu. Je na mengine.
Amkeni amkeni kama hamtaki basi
Nendeni huko Maka mkamwulizie Yesu Kristo wa Nazareti nadhani ukweli wa historia ya maisha yake mtaupata huko kwa ndugu zake Makureshi.
Hapana bado sijapata...Kuna watu wasio na baba labda kwa kuwa hauna ufahamu wa hayo mambo ipo hivi kuna genetic dissoder moja inajulikana kama turners syndrome ni pale mtoto anapozaliwa bila mbegu Ya mwanaume kuungana na ya mwanamke.
Hii inamaanisha atakuwa na chromosomes 45 kati ya zile 46 anazotakiwa kuwa nazo , na mtoto huyo atakuwa wa kike. ila kuna vitu baadhi atakuwa kapungukiwa mfano atakuwa na webbed neck , pia hatoweza kupata mazazi na pia baadhi yao huwa na upungufu wa akili.
Kwa case ya issa bin maryam ni tofauti sana maana Mungu ndo aliamua azaliwe bila baba kivipi? Mimi sijui anajua Mungu pekee maana kidogo mfano wake unafanana na wa adamu.
Hope umepata kitu.
Kwahiyo kama hana baba na Mungu alipandikiza mimba, basi ni sahihi kumuita mwana wa Mungu?Hii ni sawa na kuuliza kwa nini yesu atambulika kama yesu ndani ya bibilia.
Yani anatambulika hivyo kwa sababu ndo aliitwa hivyo,hilo sio jina la utani alilopewa na Qurani ni jina halisi ambalo Qurani imenukuu na kutusimulia visa vyake.
Yeye hakua na baba kwa maana Allah alijaalia mariam apate mimba bila ya mume.
Na hiki kitendo cha kuwa hana baba ndio maana akaitwa issa bin maryan.
Bin ni mtoto wa kiume.
Binti ni mtoto wa kike
Kwa hivyo ukiambiwa john bin magufuli hii bin inamhusu aliyetangulia kutajwa na sie anaefuata kutajwa.
Mfano.
Samia bint hassa. Manake unajua binti inamhusu samia kwa maana hapa samia ndio binti mwenyewe.
Hii bin na binti sana ipo katika lugha ya kiarabu ambayo ina utajiri wake wa maneno kama lugha zingine.
Kwahiyo Mungu alishajua...Yule ni mtume mkuu kwa mujibu wa Qurani.lakini Qurani haikuishia hapo tu kutambua kwamba ni mtume bali iendelea kuonesha kwamba inatambua kuna watu wanamtukuza kinyume na alivyo.
Mfano ukiangia aya hii..
وإذ قال الله يا عيسى ابن مريم أأنت قلت للناس اتخذوني وأمي إلهين من دون الله قال سبحانك ما يكون لي أن أقول ما ليس لي بحق إن كنت قلته فقد علمته تعلم ما في نفسي ولا أعلم ما في نفسك إنك أنت علام الغيوب [ AL - MAIDA - 116 ] Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.
Hii aya inaelezea future time yaani kana kwamba imefanya time travelling na kujua kitakachotokea siku ya kiama.
Amezaliwa bila baba then ni mwana wa Mungu.Hili ni swala ambalo wanatakiwa wajibu hao watu ambao hawatumii Qurani
Kuwajibia suala kama hili hatutafanya haki.
Kwani FILAMU ya maisha ya Yesu Kristo ameitengeneza nani?Hao wayahudi mnowapenda wao wenyewe hawamjui huyo yesu
Nyie endeleeni kudanganywa tuu
Basi tuseme hivi.Hao wayahudi mnowapenda wao wenyewe hawamjui huyo yesu
Nyie endeleeni kudanganywa tuu
Acha kudhihirisha ujinga wako hpaKwani FILAMU ya maisha ya Yesu Kristo ameitengeneza nani?
Kama Wayahudi hawamjui tuambie wewe nani anamjua Yesu Kristo ?
Kwani Yesu Kristo ni Mdengeleko au Mchaga hadi asijulikane na ndugu zake ?
Kwani Yesu Kristo ni Kabila gani ?Acha kudhihirisha ujinga wako hpa
Uyo brian deacon kwani ni myahudi?
hlf yy alishasema yy na kanisa ni tofauti ila alishinda tu kuact ile movie hlf wakristo walivo wajinga sasa utakuta visanamu vya brian deacon makanisani eti ndo yesu hhhhhhhhhh
Nyie kubalini tu iyo dini yenu mumepigwa na hakuna sehemu yyte ile ktka bible Yesu anajiita Mungu ila utasikia Paulo sijui nani yni full uongo
Haya muangalie uyo brian deacon kma ni myahudi View attachment 2216021
Yni m nabaki kucheka tuu kwa jinsi ulivo na ujinga ndani ykoToka dunia iumbwe hakuna mtu aliyesimama hadharani na kusema
Yeye ndiye Njia, Kweli na Uzima na hadhara ikakubali hadi hii leo.
Isipokuwa Masihi Yesu Kristo wa Nazareti.
Kwanini wewe na mimi hatutaki kumwamini ?
Kaponya wagonjwa, Kafufua wafu, na ameahidi kutufufua siku ya mwisho na anaweza.
Na atarudi kutusaidia tena, shida iko wapi ?
Kapaa Mbinguni hadharani kabisa na atashuka tena kutusaidia.
Shida iko wapi ?