Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Kwenye Biblia hadi Shetani Rusifa kaongea.Yni m nabaki kucheka tuu kwa jinsi ulivo na ujinga ndani yko
ety nije kuamini bible wakati bible iyo iyo inamtukana uyo Mungu wenu
hlf m hua siongei maneno matupu kataa hili andiko tuone kma bible ni ya ukweli au ya uongoView attachment 2216161
Umeshindwa kujibu hoja yangu kwaio kitulizeKwenye Biblia hadi Shetani Rusifa kaongea.
Musa kauwa mtu.
Daudi katembea na Mke wa mtu hadi kumwua Mke wake.
Paulo Naye mwanzo alikuwa mwuaji.
Wewe msikilize anapo ongea Mungu,
Au Malaika
Au Masihi Yesu Kristo Mwana wa Mungu.
Hao ndio wameshika hatima ya maisha yetu.
Kweli mkuu wayahudi waliwaiga waislamNadhani unahitaji kusoma na kuelewa hizi dini mbili sio kwamba jew akiingia msikitini asome quraan no ikiwa hakuna sehemu ya kufanya ibada anaweza kutumia msikiti kufanya ibada kwa kusoma Torah ila haruhusiwe kuingia kanisani. Pili sababu wao wanakula halali kwa maana vyenye kuchinjwa na nguruwe kama wanyama walioharamishwa katika uislamu pia ni haramu kwao wanaita Kosher pia kutahiriwa na kama waislamu na kuzika wanafanana na uislamu.
Kuowa wake wengi haukuwa mpango wa Mungu ni tamaa zao tu wanadamuUnajuwa Ashkenazic hawa ni jews wa europe utamaduni wakaubeba ila watu ambao wanaheshimiwa na wanaosoma Torah kwa ufasaha na kuheshimika ni Sephardic hawa jews Yemenite yaani wa Yemen ndio wanaiongoza Torah mpaka leo na kama wanavyosema Abraham, Jacob, David na Solomon wote waliowa wake zaidi ya mmoja na Abraham ndio baba ya wote sasa hiyo kukutaza ilitoka wapi? Paulo wa Roman wakafika mbali hata Papa haruhusiwi kuowa wapi imeandikwa hivyo. Fwateni real bible Hebrew tastement sio Paulo huyo jamaa mayahudi wenyewe wamesema huyo Paulo ndio alileta majanga katika dini hii ya Kikristo na waislamu wanasema kama jews Paulo ni tatizo kubwa.
Kama ukisoma reply yangu kwa umakini utagundua aya ya mwisho niliandika hivi naji quote.Hapana bado sijapata...
Turner syndrome inatoa "masharti" awe mwanamke.
Mbona yeye ni mwanaume?
#YNWA
Hoja ipi ?Umeshindwa kujibu hoja yangu kwaio kitulize
Wayahudi wamekuwepo kabla ya Ukristo na uislamuKweli mkuu wayahudi waliwaiga waislam
Alitaka kumuacha Mke wake kwa sababu ilikuwa ni aibu zama zile za uyahudi, lakini alitokewa na malaika akamsihii asimuache mkewe,ile mimba ni kwa uwezo wa MunguYusuph nae sijui alikuwa amewekewa limbwata yaani mke wake anabeba mimba tena mazingira ya kutatanisha haijulikani mwenyewe ni nani akakaa kimya tuu mpaka leo.
Sio kwamba maelezo ya Issa bin mariam ya kwenye Qur'an hupishana kidogo na maelezo ya kwenye biblia?Issa bin Marium upatikana zaidi kwenye Quran na sio kwenye Biblia
Biblia imeeleza habari za YesuSio kwamba maelezo ya Issa bin mariam ya kwenye Qur'an hupishana kidogo na maelezo ya kwenye biblia?
Empty headHoja ipi ?
Kwani wewe ni Mwanafunzi wa Paulo ?
Huyo Paulo ni kama wewe tu na anahitaji kutubu ili afike Mbinguni kwakuwa hakuna Binadamu mkamilifu.
Msikilize Mungu
Msikilize Malaika
Msikilize Masihi Yesu Kristo wa Nazareti.
Hao ndio wakamilifu.
Na sio yule Nabii wa Uwongo.
Ndio huyo huyo Issa anayekusudiwa kwenye Qur'an, unajua tatizo kuna watu wamejimilikisha huyo Yesu na kuona kwamba ni wao tu ndio anawahusu na ndio wanatakiwa kumuelezea na si wengine.Biblia imeeleza habari za Yesu
Lakini kwa ushahidi wa Quran tukufu na Biblia takatifu Issa bin sio Yesu Kristo.Ndio huyo huyo Issa anayekusudiwa kwenye Qur'an, unajua tatizo kuna watu wamejimilikisha huyo Yesu na kuona kwamba ni wao tu ndio anawahusu na ndio wanatakiwa kumuelezea na si wengine.
Hii ishu ni ndogo tu anayekusudiwa ni mmoja ambaye wengine humtambua kama Yesu na wengine Issa, ni suala la mtu kuamua kuamini maelezo yenye kumuhusu huyo mkusudiwa kutoka kwenye biblia au qur'an.