Hayo unasema wewe na ni kwa sababu unaamini maelezo ya kumuhusu Yesu kuwa ndio sahihi hivyo kwako wewe Yesu ni yule tu alivyoelezwa kwenye biblia.Lakini kwa ushahidi wa Quran tukufu na Biblia takatifu Issa bin sio Yesu Kristo.
Ni watu wawili tofauti kabisa.
Tofauti ni hizi.Hayo unasema wewe na ni kwa sababu unaamini maelezo ya kumuhusu Yesu kuwa ndio sahihi hivyo kwako wewe Yesu ni yule tu alivyoelezwa kwenye biblia.
Hiyo Qur'an katika kumuelezea Yesu/issa ndio inakanusha madai ya Yesu kusurubiwa na kwamba ni Mungu,ndio maana nasema hayo ni ya kwako ya kusema kwamba Qur'an inamzungumzia mtu mwengine tofauti na Yesu.
Ila Koran inasema Isa alisulubiwa , ila kuna mchongo wa udanganyifu ulifanywa na AllahHayo unasema wewe na ni kwa sababu unaamini maelezo ya kumuhusu Yesu kuwa ndio sahihi hivyo kwako wewe Yesu ni yule tu alivyoelezwa kwenye biblia.
Hiyo Qur'an katika kumuelezea Yesu/issa ndio inakanusha madai ya Yesu kusurubiwa na kwamba ni Mungu,ndio maana nasema hayo ni ya kwako ya kusema kwamba Qur'an inamzungumzia mtu mwengine tofauti na Yesu.
Unataka kunisema nini?Ila Koran inasema Isa alisulubiwa , ila kuna mchongo wa udanganyifu ulifanywa na Allah
Ndio maana nimekwambia kuwa wewe unaamini kilichoelezwa na biblia kuhusu Yesu ndio sahihi na ulitaka Qur'an imuelezee huyo Issa sawa na biblia ilivyomueleza Yesu ili ndio ukubali kwamba Issa ndio huyo huyo Yesu.Tofauti ni hizi.
KUZALIWA
Biblia Yesu kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe, Quran Issa kazaliwa chini ya mtende,
USULUBIO
Biblia kama ilivyotabiriwa na Nabii Isaya.Alisurubiwa,akafa,akazikwa akafufuka. QURAN Issa ajasurubiwa.
Yesu alipaa kwenda mbinguni,issa taarifa zake hazijulikani alipofia.
UJAJI
Biblia Yesu atarudi kulichukua kanisa, atabakia mawinguni atokanyaga ardhi sababu Ina laana isipokuwa walio wake watapewa uwezo wa kupaa kumfata juu mawinguni, atakapokuja duniani nzima itamuona.
Quran Issa atakuja kuibomoa misalaba, kumpiga dajal, ataoa atazaa, ujio wa isa ndio dalili za kiama.
Kwa haya machache we uoni hawa ni watu wawili tofauti tena waliokuja kwa nyakati tofauti.
Isa alikuwa wa taifa gani?Ndio maana nimekwambia kuwa wewe unaamini kilichoelezwa na biblia kuhusu Yesu ndio sahihi na ulitaka Qur'an imuelezee huyo Issa sawa na biblia ilivyomueleza Yesu ili ndio ukubali kwamba Issa ndio huyo huyo Yesu.
Tatizo lako ni dogo tu ni kwamba unaamini Yesu ni yule tu aliyeelezwa na biblia, ndio maana unasema aliyeelezwa kwenye Qur'an si Yesu kwa sababu kuna mambo yameelezwa tofauti japo ipo wazi kwamba anayekusudiwa ndio huyo huyo mmoja.
Allah alifanya udanganyifu flani kuhusu Isa , si unaujuaUnataka kunisema nini?
Isa aliyeelezwa kwenye Qur'an ndio aliyekusudiwa kwenye Biblia kwa maana Isa ndio Yesu.Isa alikuwa wa taifa gani?
Unazungumzia Yesu?Allah alifanya udanganyifu flani kuhusu Isa , si unaujua
Hapana Isa sio Yesu , Ipo wazi kabisaIsa aliyeelezwa kwenye Qur'an ndio aliyekusudiwa kwenye Biblia kwa maana Isa ndio Yesu.
Hiyo ndio hoja kwanza.
Hapana Udanganyifu ulifanyika kwa Isa,Unazungumzia Yesu?
Uko sahihi ndugu.Tofauti ni hizi.
KUZALIWA
Biblia Yesu kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe, Quran Issa kazaliwa chini ya mtende,
USULUBIO
Biblia kama ilivyotabiriwa na Nabii Isaya.Alisurubiwa,akafa,akazikwa akafufuka. QURAN Issa ajasurubiwa.
Yesu alipaa kwenda mbinguni,issa taarifa zake hazijulikani alipofia.
UJAJI
Biblia Yesu atarudi kulichukua kanisa, atabakia mawinguni atokanyaga ardhi sababu Ina laana isipokuwa walio wake watapewa uwezo wa kupaa kumfata juu mawinguni, atakapokuja duniani nzima itamuona.
Quran Issa atakuja kuibomoa misalaba, kumpiga dajal, ataoa atazaa, ujio wa isa ndio dalili za kiama.
Kwa haya machache we uoni hawa ni watu wawili tofauti tena waliokuja kwa nyakati tofauti.
Basi mimi nazungumzia Isa/Yesu.Hapana Udanganyifu ulifanyika kwa Isa,
Ni wewe ndio unakataa ila Isa anayezungumziwa kwenye Qur'an ndio mtu mmoja huyo huyo anayeelezwa kwenye Biblia.Hapana Isa sio Yesu , Ipo wazi kabisa
Isa anajua vizuri muhammad kamtoa wapi,
KuzaliwaTofauti ni hizi.
KUZALIWA
Biblia Yesu kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe, Quran Issa kazaliwa chini ya mtende,
USULUBIO
Biblia kama ilivyotabiriwa na Nabii Isaya.Alisurubiwa,akafa,akazikwa akafufuka. QURAN Issa ajasurubiwa.
Yesu alipaa kwenda mbinguni,issa taarifa zake hazijulikani alipofia.
UJAJI
Biblia Yesu atarudi kulichukua kanisa, atabakia mawinguni atokanyaga ardhi sababu Ina laana isipokuwa walio wake watapewa uwezo wa kupaa kumfata juu mawinguni, atakapokuja duniani nzima itamuona.
Quran Issa atakuja kuibomoa misalaba, kumpiga dajal, ataoa atazaa, ujio wa isa ndio dalili za kiama.
Kwa haya machache we uoni hawa ni watu wawili tofauti tena waliokuja kwa nyakati tofauti.
Hata Mimi Huwa nashangaa sana sijaona mstari uliosema Yesu kazaliwa kwenye holi la ng'ombe... mtaalam uweke ule mstari hapa uwaelimishe maana naona wamekariri tuKuzaliwa
Kwanza biblia haijasema kuwa Yesu kazaliwa katika zizi la ng'ombe hayo maneno sijui mnayatoa wapi.
Labda kuna hilo andiko wao wameliona walilete hapa.Hata Mimi Huwa nashangaa sana sijaona mstari uliosema Yesu kazaliwa kwenye holi la ng'ombe... mtaalam uweke ule mstari hapa uwaelimishe maana naona wamekariri tu
Sent from my V2029 using JamiiForums mobile app
ISSA ndio YESU. Ni Mungu aliyekuja ktk mwili Ili awapeleke ktk uzima wa milele wote WAMWAMINIO. Vitabu vyote vinaeleza pia kuwa ALIKUFA na AKAFUFUKA. Vitabu vyote pia vinathibitisha ndiye atakayekuja KUUHUKUMU ulimwengu juu ya dhambi. Hivyo wote wanatakiwa WAMWAMINI Ili wawe salama, namaanisha Wapagani, wakristo, waislamu, wabudha, wasabato nk. Wakatoliki nk. USIPOMWAMINI YESU moto wa JEHANUM unakuhusu wewe mkristo, muislamu, mpagani mkatoliki nkIsa alikuwa wa taifa gani?
Kuzaliwa
Kwanza biblia haijasema kuwa Yesu kazaliwa katika zizi la ng'ombe hayo maneno sijui mnayatoa wapi.