Mbongo mfiche kwenye maandishiHujasoma uzi umejibu kichwa habari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbongo mfiche kwenye maandishiHujasoma uzi umejibu kichwa habari!
Kwani Kuna mtu hana -ve side effect?Naona kamsifia hafu kamponda
😆😆😆😆😆Kwani Kuna mtu hana -ve side effect?
Kwangu that Mrundi was bad dude
AiseeKwani Kuna mtu hana -ve side effect?
Kwangu that Mrundi was bad dude
Fafanua, biashara ngapi zimekufa kwa ajili kukosa umeme, ndoa ngapi zimevunyika kwa kukosa kipato.
Mwenzake JPM alithibiti mfumuko wa bei, maisha ya Watanzania wakati wa korona alituvusha kulinganisha na nchi jirani.
Ameweka mifumo tunapata chetu kwenye madini nk. Rushwa ilipungua, nidhamu iliongezeka. Wateule walifanya kazi. Umelipwa kiasi gani? Bibi yako, kijiji chako kina chakula?
nakubaliana na wewe tena huyu ndiyo hawezi kabisaMkuu, uongozi katika taasisi nyeti ya urais huangalia zaidi tija ya kiongozi mkuu wa taasisi hii na wala siyo haiba ama hulka binafsi ya mtu. Majukumu yaliyoainishwa kikatiba ya mtu aliyepewa dhamana ya kuiongoza taasisi yanajulikana vyema.
Kuwatendea haki hawa wawili, wote wanapwaya mno katika mizani inayoendana na majukumu nyeti ya kikatiba waliyokabidhiwa. Wakati JPM aliongoza nchi kwa "one man show" huyu SSH aongoza nchi kwa mikakati ya ki "MBWA", ashakhum si tusi, "it's just an acronym for Management By Walking Around*
Hakuna kati yao ameweza ku "adopt" mikakati ya ki "MBO", yaani "Management By Objective'. Ukweli mchungu ni kuwa wote wawili ni "empty case" [emoji19]
kwani tokea afariki magufuli nchi hii ina raisi mwingine....?Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine.
Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda mbalimbali .
Hayati magufuli alitumia mfumo wa kulazimisha watu wawe wazalendo na kuipenda nchi yao - kutumia nguvu dhidi ya wasio ipenda nchi waipende ,kulazimisha watu wafuate sheria na n.k
Kwa sasa Rais Samia anatengeneza mfumo ambao watu wanao ipende nchi unakuwa rafiki kuiletea maendeleo nchi yao , Kiuhalisia kwa akili za wabongo na africa kwa ujumla ni ngumu sana .
Kwa kifupi kumpa uhuru Mtanzania na kuvumilia kwa kuangalia utu zaidi kuboa ni ngumu sana .
Si ajabu hata hiyo March umeme ukaendelea kukatika ,sukari na vitu vingine bei zikaendelea kupanda .
Mwisho kabisa Tuipende Nchi yetu nchi ipate maendeleo na maisha yawe vizuri maana sasa hivi hakuna atakae kuvamia ili utoe kodi , hakuna wa kutulazimisha kufuata sheria ,hakuna wa kukuattack ukiwa unapotosha umma .
Tanzania itajengwa na watu wanaoipenda .
Rais wangu punguza upole unatuumiza wananchi wa kawaida .
HuelewekiHabari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine.
Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda mbalimbali .
Hayati magufuli alitumia mfumo wa kulazimisha watu wawe wazalendo na kuipenda nchi yao - kutumia nguvu dhidi ya wasio ipenda nchi waipende ,kulazimisha watu wafuate sheria na n.k
Kwa sasa Rais Samia anatengeneza mfumo ambao watu wanao ipende nchi unakuwa rafiki kuiletea maendeleo nchi yao , Kiuhalisia kwa akili za wabongo na africa kwa ujumla ni ngumu sana .
Kwa kifupi kumpa uhuru Mtanzania na kuvumilia kwa kuangalia utu zaidi kuboa ni ngumu sana .
Si ajabu hata hiyo March umeme ukaendelea kukatika ,sukari na vitu vingine bei zikaendelea kupanda .
Mwisho kabisa Tuipende Nchi yetu nchi ipate maendeleo na maisha yawe vizuri maana sasa hivi hakuna atakae kuvamia ili utoe kodi , hakuna wa kutulazimisha kufuata sheria ,hakuna wa kukuattack ukiwa unapotosha umma .
Tanzania itajengwa na watu wanaoipenda .
Rais wangu punguza upole unatuumiza wananchi wa kawaida .
Utakuwa huna macho na masikiokwani tokea afariki magufuli nchi hii ina raisi mwingine....?
kwa mambo yanavyoenda sidhani kama kuna raisi....may be mwanasesere!
Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine.