Tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia ni uvumilivu na kiwango cha ubinadamu. Tuipende Nchi yetu


Mafisadi hayawezi kukuelewa.

Hayat Rais Magufuli atabakia kuwa Rais aliyependwa na Watu nchini mwake, na kuchukiwa na vibaraka wa makaburu na mabeberu wa mtandaoni.
 
Yeye mwenyewe haipendi Tanganyika unategemea nini? amekuja kutujazia wazanzibar wenzake kwenye idara za serikali, unategemea watatuletea maendeleo waache kupeleka kwao Zanzibar? huyu maza binafsi simkubali kabisa
 
nakubaliana na wewe tena huyu ndiyo hawezi kabisa
 
Primitive society haihitaji mfumo, bali inahitajika brutality kuwatoa watu kutoka kwenye primitive kuwaleta kwenye civilization, wakishakuwa civilized ndio wanaweza kuishi kwa kufuata mifumo sasa.

Tatizo letu tukiiona ulaya iko civilized tunafikiria na Tanzania iko civilized pia, kumbe wao walipambana na uprimitive kwanza na kuutokomeza.

Tanzania bado mtu mmoja kutoka kwenye familia akipata cheo basi familia nzima na marafiki woote wanaamini cheo ni cha kwao.
Tanzania mtu akiwa kiongozi anaamini ameshayapatia maisha na kila kilichopo anahaki nacho binafsi.
Tanzania siasa ni ajira inayolipa sana kiasi cha kufanya watu waache taaluma zao zenye msaada kwenye jamii na kuwa wanasiasa.
Tanzania ukiwa kiongozi au mtumishi wa umma ni kama umetoa favour tu kwa wananchi na sio mtumishi wa wananchi.

Kwa sasa Tanzania inahitaji Rais dictator atakayeua wapumnavu weengi sana huku akifundisha watu kuishi Kwa utaratibu Kwa fimbo na mijeredi ili kuwatoa kutoka kwenye uprimitive.

Kukaa masaki na kuendesha VXV8R hakukufanyi wewe usiwe primitive uprimitive ni Ile ujinga wako unaoufanya na kughalimu maisha ya mamilioni ya watanzania.
 
kwani tokea afariki magufuli nchi hii ina raisi mwingine....?
kwa mambo yanavyoenda sidhani kama kuna raisi....may be mwanasesere!
 
Hueleweki
 
Unafiki unaliangamiza taifa,ccm ni ile ile kama wanavyojinadi, hii inamaanisha mapambio hayataisha hata rais awe steve nyerere.CCM ni kidonda ndugu.
 

Magufuli alikuwa analazimisha watu wafuate Sheria, halafu yeye mwenyewe akawa hafuati! Sukuma gang mnakwama wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…