Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama aliyopata kusema mdau mmoja.... hawa wote hawa wana ngololo na kintorondo kwenye simu zao... au ndo vile tena, Banian Mbaya Kiatu chake dawa!Leo nyuz za diamond ni nyingi looo,,hhhhhaaaaa hiyo kutaja hiyo anaweza taja tu huku moyoni anakung'ong'a,hata diamond hana chuki na kiba
Hamuishiwi maneno... mlianza kwamba anajingazia amemtoa Davido, mkaja tena kwamba amedharau hotel za Mbeya... leo tena mwaumia kusema atamsaidia Kiba, eh! Tatizo lenu ni hil tu kusema kwamba "nitamsaidia" au kuna lingine? Mbona hamkuja juu aliposema amewasaidia wale wa Nigeria au S.A? Muulize Nay wa Mitego atakuambia maana ya kumshirkisha Diamond... na kama wewe ndo umeomba kufanya nae featuring kisha akakubali, ndio.... AMEKUSAIDIA! Hata hao Mafiki Zolo (cjui wanaitwaje cjui) nao amewasaidia coz' lengo lao la kufanya featuring na Diamond na kutangaza muzki wao EA... Pamoja na mahaba yote tuliyonayo kwa wapendwa wetu lakini mtake msitake, leo hii Diamond akifanya kazi na Ali Kiba basi Kiba ndie atakuwa amesaidiwa coz' Diamond anafahamika zaidi nje kuliko Ali Kiba... hutaki, u
naacha!
Nilikuwa shop kwa mangi nikasikia ally kiba akiongea hivyo ndo maana nilishawahi kusema huyu domo akajifunze kwa kina juma kassim,prof,ay,komando na malkia bi hadja kopa hao wanawafahamu vema watanzania
Hawezi kuponda hotel ila anaweza kumsaidia Ally Kiba si ndio?
Leo nyuz za diamond ni nyingi looo,,hhhhhaaaaa hiyo kutaja hiyo anaweza taja tu huku moyoni anakung'ong'a,hata diamond hana chuki na kiba
Kama aliyopata kusema mdau mmoja.... hawa wote hawa wana ngololo na kintorondo kwenye simu zao... au ndo vile tena, Banian Mbaya Kiatu chake dawa!
Kwani Ali Kiba ni nani hadi asisaidiwe? Kwani nini maana ya msaada? Kwani mwenye bajaji hawezi mpa msaada mwenye gari? Naona kama tunakuza sana. Hivi kumsaidia mtu ni jambo baya?
Ali Kiba anazima soo tu , baada ya kukodi wale watu jumamosi ... Anajisafisha tu huyoo! Mnafki mkuubwa
Mtasema yote kweli wapenda kuona wenzao wako down na nyie si mngekodi ina maana leaders nzima mfa maji aachi kutapatapa
Hebu weka wewe hiyo hoja yako ya msingi tuione!! Afu bi mdada vipi... mtu nime-relax wala pressure sina... vipi tena niweze kupasuka? Mtakaopasuka ni nyie mliojawa na chuki zisizo na mbele wala nyuma! Swahibu ako Matola nimemuomba anipe source ya maneno ya Diamond kuziponda hotel za Mbeya hadi sasa hajatoa... Mkuu Matola, au ndo kama ile siku uliyotuzuga ungeripua Jackton Manyeree halafu jhiii!Utapasuka bureee hata hoja ya msingi wala ya secondary hunaaa!!
Duh... kweli kazi unayo.... unaingia hadi Instagram kutafuta nondo kuhusu Diamond!!!!!!Nendeni Facebook mkamsaidie kulialia na kujifariji.
Halafu ni Ali Kiba huyo huyo siku anahojiwa na Sporah, alisema kwamba ndie alimsaidia Diamond kurekodi kwa Bob Junior... kwahiyo Ali KIba akisema amemsaidia Diamond ni sawa tu lakini Diamond akisema kama Kiba anataka msaada, yeye atasaidia inageuka kuwa nongwa!Kwani Ali Kiba ni nani hadi asisaidiwe? Kwani nini maana ya msaada? Kwani mwenye bajaji hawezi mpa msaada mwenye gari? Naona kama tunakuza sana. Hivi kumsaidia mtu ni jambo baya?
Halafu ni Ali Kiba huyo huyo siku anahojiwa na Sporah, alisema kwamba ndie alimsaidia Diamond kurekodi kwa Bob Junior... kwahiyo Ali KIba akisema amemsaidia Diamond ni sawa tu lakini Diamond akisema kama Kiba anataka msaada, yeye atasaidia inageuka kuwa nongwa!
Hebu weka wewe hiyo hoja yako ya msingi tuione!! Afu bi mdada vipi... mtu nime-relax wala pressure sina... vipi tena niweze kupasuka? Mtakaopasuka ni nyie mliojawa na chuki zisizo na mbele wala nyuma! Swahibu ako Matola nimemuomba anipe source ya maneno ya Diamond kuziponda hotel za Mbeya hadi sasa hajatoa... Mkuu Matola, au ndo kama ile siku uliyotuzuga ungeripua Jackton Manyeree halafu jhiii!
Mkuu acha uongo,alikiba hakusema alimsaidia alisema,aliruhusu..
Alitumia neno ruhusa,nanukuu "mimi ndiye nilitoa ruhusa ya Diamond kurekod pale sharobaro"..
Angeweza kutumia neno nilimsaidia lakin kwa busara zake hakufanya hivo..
NasDaz
Somji, usitake tupotezeane muda nikutafutie ile clip! Kwa maneno yake Ali K, alisema "mimi ndie nilim-release...!" literary meaning "mimi ndie nimemtoa...!"Mkuu acha uongo,alikiba hakusema alimsaidia alisema,aliruhusu..
Alitumia neno ruhusa,nanukuu "mimi ndiye nilitoa ruhusa ya Diamond kurekod pale sharobaro"..
Angeweza kutumia neno nilimsaidia lakin kwa busara zake hakufanya hivo..
NasDaz
team daimond sijui mnataka nini mimi siwaelewe yaani
asa hv kila anaempenda daimond mnafki kwani kiba si ndo alimwambia bob junior wamrekodie daimond
kipindi anatoka hebu punguzeni kelele tuanze maisha mapya jamani
sasa u
hv hatuwazomei km vp muwe mnaenda kwenye show sio lawama