Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

Leo nyuz za diamond ni nyingi looo,,hhhhhaaaaa hiyo kutaja hiyo anaweza taja tu huku moyoni anakung'ong'a,hata diamond hana chuki na kiba
 
Kama aliyopata kusema mdau mmoja.... hawa wote hawa wana ngololo na kintorondo kwenye simu zao... au ndo vile tena, Banian Mbaya Kiatu chake dawa!
 
Hamuishiwi maneno... mlianza kwamba anajingazia amemtoa Davido, mkaja tena kwamba amedharau hotel za Mbeya... leo tena mwaumia kusema atamsaidia Kiba, eh! Tatizo lenu ni hil tu kusema kwamba "nitamsaidia" au kuna lingine? Mbona hamkuja juu aliposema amewasaidia wale wa Nigeria au S.A? Muulize Nay wa Mitego atakuambia maana ya kumshirkisha Diamond... na kama wewe ndo umeomba kufanya nae featuring kisha akakubali, ndio.... AMEKUSAIDIA! Hata hao Mafiki Zolo (cjui wanaitwaje cjui) nao amewasaidia coz' lengo lao la kufanya featuring na Diamond na kutangaza muzki wao EA... Pamoja na mahaba yote tuliyonayo kwa wapendwa wetu lakini mtake msitake, leo hii Diamond akifanya kazi na Ali Kiba basi Kiba ndie atakuwa amesaidiwa coz' Diamond anafahamika zaidi nje kuliko Ali Kiba... hutaki, u
naacha!

Utapasuka bureee hata hoja ya msingi wala ya secondary hunaaa!!
 
Nilikuwa shop kwa mangi nikasikia ally kiba akiongea hivyo ndo maana nilishawahi kusema huyu domo akajifunze kwa kina juma kassim,prof,ay,komando na malkia bi hadja kopa hao wanawafahamu vema watanzania

Bila kuwasahau Mr nice,Ferouz na Mwijuma Muumini
 
Hawezi kuponda hotel ila anaweza kumsaidia Ally Kiba si ndio?

Kwani Ali Kiba ni nani hadi asisaidiwe? Kwani nini maana ya msaada? Kwani mwenye bajaji hawezi mpa msaada mwenye gari? Naona kama tunakuza sana. Hivi kumsaidia mtu ni jambo baya?
 
Leo nyuz za diamond ni nyingi looo,,hhhhhaaaaa hiyo kutaja hiyo anaweza taja tu huku moyoni anakung'ong'a,hata diamond hana chuki na kiba

Kama aliyopata kusema mdau mmoja.... hawa wote hawa wana ngololo na kintorondo kwenye simu zao... au ndo vile tena, Banian Mbaya Kiatu chake dawa!

Kwani Ali Kiba ni nani hadi asisaidiwe? Kwani nini maana ya msaada? Kwani mwenye bajaji hawezi mpa msaada mwenye gari? Naona kama tunakuza sana. Hivi kumsaidia mtu ni jambo baya?

Nendeni Facebook mkamsaidie kulialia na kujifariji.
 
Attachments

  • 1413839593893.jpg
    1413839593893.jpg
    46 KB · Views: 306
Ali Kiba anazima soo tu , baada ya kukodi wale watu jumamosi ... Anajisafisha tu huyoo! Mnafki mkuubwa
 
Mtasema yote kweli wapenda kuona wenzao wako down na nyie si mngekodi ina maana leaders nzima mfa maji aachi kutapatapa
 
Utapasuka bureee hata hoja ya msingi wala ya secondary hunaaa!!
Hebu weka wewe hiyo hoja yako ya msingi tuione!! Afu bi mdada vipi... mtu nime-relax wala pressure sina... vipi tena niweze kupasuka? Mtakaopasuka ni nyie mliojawa na chuki zisizo na mbele wala nyuma! Swahibu ako Matola nimemuomba anipe source ya maneno ya Diamond kuziponda hotel za Mbeya hadi sasa hajatoa... Mkuu Matola, au ndo kama ile siku uliyotuzuga ungeripua Jackton Manyeree halafu jhiii!
 
Kwani Ali Kiba ni nani hadi asisaidiwe? Kwani nini maana ya msaada? Kwani mwenye bajaji hawezi mpa msaada mwenye gari? Naona kama tunakuza sana. Hivi kumsaidia mtu ni jambo baya?
Halafu ni Ali Kiba huyo huyo siku anahojiwa na Sporah, alisema kwamba ndie alimsaidia Diamond kurekodi kwa Bob Junior... kwahiyo Ali KIba akisema amemsaidia Diamond ni sawa tu lakini Diamond akisema kama Kiba anataka msaada, yeye atasaidia inageuka kuwa nongwa!
 
Mkuu acha uongo,alikiba hakusema alimsaidia alisema,aliruhusu..

Alitumia neno ruhusa,nanukuu "mimi ndiye nilitoa ruhusa ya Diamond kurekod pale sharobaro"..
Angeweza kutumia neno nilimsaidia lakin kwa busara zake hakufanya hivo..

NasDaz
 
Last edited by a moderator:
Ali Kiba ana busara sana, sikiliza hata nyimbo zake utaona jinsi akivyojaaliwa busara.
Kiba ameshaimba na R Kelly, lakini wala hakuanza kiburi kama huyu aliyeimba na Davido.
Ova
 
team daimond sijui mnataka nini mimi siwaelewe yaani
asa hv kila anaempenda daimond mnafki kwani kiba si ndo alimwambia bob junior wamrekodie daimond
kipindi anatoka hebu punguzeni kelele tuanze maisha mapya jamani
sasa u
hv hatuwazomei km vp muwe mnaenda kwenye show sio lawama
 
Hebu weka wewe hiyo hoja yako ya msingi tuione!! Afu bi mdada vipi... mtu nime-relax wala pressure sina... vipi tena niweze kupasuka? Mtakaopasuka ni nyie mliojawa na chuki zisizo na mbele wala nyuma! Swahibu ako Matola nimemuomba anipe source ya maneno ya Diamond kuziponda hotel za Mbeya hadi sasa hajatoa... Mkuu Matola, au ndo kama ile siku uliyotuzuga ungeripua Jackton Manyeree halafu jhiii!

Dah halafu mie mtu anayereason/conclude kwa kusema eti "chuki" namuona kama uwezo wake wa kufikiri ni mdogo japo kiuhalisia unaweza kuwa ni mkubwa!

Mkuu unaweza kuniambia kwanini haya makundi mawili yanaexist.....#TeamKiba & #TeamDiamond ?
 
Mkuu acha uongo,alikiba hakusema alimsaidia alisema,aliruhusu..

Alitumia neno ruhusa,nanukuu "mimi ndiye nilitoa ruhusa ya Diamond kurekod pale sharobaro"..
Angeweza kutumia neno nilimsaidia lakin kwa busara zake hakufanya hivo..
NasDaz

Huyo NasDas miudenda inavyomtoka kweli naamini hali ni mbaya na upepo wa bahari umebadilika na sasa chombo kinakwenda halijojo.

Ally Kiba woyeeee.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu acha uongo,alikiba hakusema alimsaidia alisema,aliruhusu..

Alitumia neno ruhusa,nanukuu "mimi ndiye nilitoa ruhusa ya Diamond kurekod pale sharobaro"..
Angeweza kutumia neno nilimsaidia lakin kwa busara zake hakufanya hivo..

NasDaz
Somji, usitake tupotezeane muda nikutafutie ile clip! Kwa maneno yake Ali K, alisema "mimi ndie nilim-release...!" literary meaning "mimi ndie nimemtoa...!"
 
Kiba anajua muziki zaidi ya Diamond kwa upande wangu mimi ila bahati ndio anayo chibu haina Ubishi, ila hapa kuna watu wanamchukia Diamond kwa mafanikio yake na zile show off kama angekua msanii toka Ulaya anafanya show off wangemsifia sana.
Mwisho kabisa tu acheni story za Shigongo na kumchukia mtu bila sababu za Msingi, fanya yako acheni chuki.
 
team daimond sijui mnataka nini mimi siwaelewe yaani
asa hv kila anaempenda daimond mnafki kwani kiba si ndo alimwambia bob junior wamrekodie daimond
kipindi anatoka hebu punguzeni kelele tuanze maisha mapya jamani
sasa u
hv hatuwazomei km vp muwe mnaenda kwenye show sio lawama

Wanataka wote mumshangilie Diamond!
 
Back
Top Bottom