Tofauti kubwa ya mtoto alielelewa na single Maza vs single faza

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Single Maza.

Mtoto anakua akijihisi anamamlaka juu ya Kila kitu,l.Hawa kukoselewa kwao ni ishara ya kudharauliwa hivyo ni makosa kwao kukosolewa, hawapendi kukosolewa, wagumu kukubaliana na ukweli pindi mambo yanapoenda kombo .Niwapambanaji na ufanikiwa kwa kiu ya kuwafurahiaha mama zao lakini wana mioyo laini na wepesi kupoteza Kila kitu kwa sababu za kijinga .Lakini hufanya vitu ka ajili ya kuiridhisha jamii na wanaendeshwa na mitazamo ya watu..Mabingwa wa kukwepa majumu

Single father.

Imara na thabiti kimsimamo Tena hii ni zaidi kama alilelewa na mama wa kambo, wanakubali wanapokosea , lakini wanawajibika ipasavyo kwa makosa Yao..Hawatafuti huruma ya jamii Bali wanathibitisha Kila wanachokiamini..Wajuaji wa Kila kitu na hawapendi ushauri , , Wagumu kupokea ushauri na hawaamini katika uwezo wa watu wengine..Ni kinyume cha wale waliolelewa na single mothers kwa kiwango kikubwa
 
Ukiweza kutofautisha kati ya msimamo na dharau rudia tena kuandika
 
Mtoto wa kiume aliyelelewa na mama kwa kifupi huwa ni mwanamke alivaa uanaume kwa juu.

Wapo emotional kuzidi kawaida, hawa wapo wengi hata kwenye mipira mnawaona, mtu anafunga goli halafu anaanza kulia, sasa unalia nini hana sababu maalumu ni feelings zimemzidi.

Mwingine mkipishana kidogo tu tayari anataka kurusha ngumi, au anatoa silaha, jaribu kufuatilia historia yake utakuta ni products za u mama.

Mungu alimuumba mwanaume akampa NGUVU NA AKILI, ikiwa na maana kwamba asije kutumia nguvu bila akili

Lakini mwanamke aliumbwa na hisia lakini akanyimwa nguvu, yaani hata ikitokea situation yoyote ataishia kubwabwaja tu coz nguvu hana.

Sasa imagine mtu kapewa nguvu halafu kalelewa na mama hivyo emotional ni 100% ukimgusa tu anatumia nguvu.
 
Sahihi mkuu
 
Wozu kalelewa na nani?
 
Muangalie Barack Obama au Jeff Bezos, hawa wote sehemu kubwa ya malezi yao walilelewa na mama zao tu.

Umewahi kuona utofauti wowote kwenye makuzi yao ambao unaweza kuuhusisha na hiki na ulicho kiandika hapa?
 
Nimelelewa na single maza ila nikikutana na mtu msenge kama huyo lazima nimnuooshe ipasavyo.
 
Muangalie Barack Obama au Jeff Bezos, hawa wote sehemu kubwa ya malezi yao walilelewa na mama zao tu.

Umewahi kuona utofauti wowote kwenye makuzi yao ambao unaweza kuuhusisha na hiki na ulicho kiandika hapa?
Mungalie Obama Kisha muangalie trump , mitazamo na mamuzi ndio tofauti kubwa .na sio uchumi Wala nafasi katika jamii ..soma na uelewe..Obama maamuzi yake yote ni yakike na huruma za kipumbavu while jeff bezos ameachwa na mwanamke wake wa ndoa sababu ya kua na Haiba ya kike ,kukosa maamuzi na kutokua na misimamo...
Una kingine?
 
Mungalie Obama Kisha muangalie trump , mitazamo na mamuzi ndio tofauti kubwa .na sio uchumi Wala nafasi katika jamii ..soma na uelewe..Obama maamuzi yake yote ni yakike na huruma za kipumbavu
Umeandika assumption mtupu, na haujaelewa logic ya mimi kukutolea hiyo mifano.

Unapomlinganisha Obama na Trump, hapa unachanganya personality traits na political strategy, unachoona kuwa ni maamuzi ya kipumbavu ile ilikuwa ni diplomatic approach, sijui kama una uelewa mpana kuhusu mambo ya siasa.
jeff bezos ameachwa na mwanamke wake wa ndoa sababu ya kua na Haiba ya kike ,kukosa maamuzi na kutokua na misimamo...
Una kingine?
Huu tunauita ni UMBEYA, na unawezaje kuandika umbeya mtoto wa kiume?

Talaka ya Bezos ilitokana na mambo ya kisheria na ya kifamilia ambayo hayana uhusiano na management style yake.
 
Mungalie Obama Kisha muangalie trump , mitazamo na mamuzi ndio tofauti kubwa .na sio uchumi Wala nafasi katika jamii ..soma na uelewe..Obama maamuzi yake yote ni yakike na huruma za kipumbavu while jeff bezos ameachwa na mwanamke wake wa ndoa sababu ya kua na Haiba ya kike ,kukosa maamuzi na kutokua na misimamo...
Una kingine?
Tafuta kazi yakufanya mkuu
 
Back
Top Bottom