mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Single Maza oyeeUkiweza kutofautisha kati ya msimamo na dharau rudia tena kuandika
Mitano tena bwasheeSingle Maza oyee
Goat katoboangoja waje saizi wako busy na GOAT😀
Sahihi mkuuMtoto wa kiume aliyelelewa na mama kwa kifupi huwa ni mwanamke alivaa uanaume kwa juu.
Wapo emotional kuzidi kawaida, hawa wapo wengi hata kwenye mipira mnawaona, mtu anafunga goli halafu anaanza kulia, sasa unalia nini hana sababu maalumu ni feelings zimemzidi.
Mwingine mkipishana kidogo tu tayari anataka kurusha ngumi, au anatoa silaha, jaribu kufuatilia historia yake utakuta ni products za u mama.
Mungu alimuumba mwanaume akampa NGUVU NA AKILI, ikiwa na maana kwamba asije kutumia nguvu bila akili
Lakini mwanamke aliumbwa na hisia lakini akanyimwa nguvu, yaani hata ikitokea situation yoyote ataishia kubwabwaja tu coz nguvu hana.
Sasa imagine mtu kapewa nguvu halafu kalelewa na mama hivyo emotional ni 100% ukimgusa tu anatumia nguvu.
hawaaminiGoat katoboa
Wozu kalelewa na nani?Single Maza.
Mtoto anakua akijihisi anamamlaka juu ya Kila kitu,l.Hawa kukoselewa kwao ni ishara ya kudharauliwa hivyo ni makosa kwao kukosolewa, hawapendi kukosolewa, wagumu kukubaliana na ukweli pindi mambo yanapoenda kombo .Niwapambanaji na ufanikiwa kwa kiu ya kuwafurahiaha mama zao lakini wana mioyo laini na wepesi kupoteza Kila kitu kwa sababu za kijinga .Lakini hufanya vitu ka ajili ya kuiridhisha jamii na wanaendeshwa na mitazamo ya watu..Mabingwa wa kukwepa majumu
Single father.
Imara na thabiti kimsimamo Tena hii ni zaidi kama alilelewa na mama wa kambo, wanakubali wanapokosea , lakini wanawajibika ipasavyo kwa makosa Yao..Hawatafuti huruma ya jamii Bali wanathibitisha Kila wanachokiamini..Wajuaji wa Kila kitu na hawapendi ushauri , , Wagumu kupokea ushauri na hawaamini katika uwezo wa watu wengine..Ni kinyume cha wale waliolelewa na single mothers kwa kiwango kikubwa
Single mazaWozu kalelewa na nani?
Ndo maana anaropoka na hajui thamani ya BabaSingle maza
Nimelelewa na single maza ila nikikutana na mtu msenge kama huyo lazima nimnuooshe ipasavyo.Mtoto wa kiume aliyelelewa na mama kwa kifupi huwa ni mwanamke alivaa uanaume kwa juu.
Wapo emotional kuzidi kawaida, hawa wapo wengi hata kwenye mipira mnawaona, mtu anafunga goli halafu anaanza kulia, sasa unalia nini hana sababu maalumu ni feelings zimemzidi.
Mwingine mkipishana kidogo tu tayari anataka kurusha ngumi, au anatoa silaha, jaribu kufuatilia historia yake utakuta ni products za u mama.
Mungu alimuumba mwanaume akampa NGUVU NA AKILI, ikiwa na maana kwamba asije kutumia nguvu bila akili
Lakini mwanamke aliumbwa na hisia lakini akanyimwa nguvu, yaani hata ikitokea situation yoyote ataishia kubwabwaja tu coz nguvu hana.
Sasa imagine mtu kapewa nguvu halafu kalelewa na mama hivyo emotional ni 100% ukimgusa tu anatumia nguvu.
Mungalie Obama Kisha muangalie trump , mitazamo na mamuzi ndio tofauti kubwa .na sio uchumi Wala nafasi katika jamii ..soma na uelewe..Obama maamuzi yake yote ni yakike na huruma za kipumbavu while jeff bezos ameachwa na mwanamke wake wa ndoa sababu ya kua na Haiba ya kike ,kukosa maamuzi na kutokua na misimamo...Muangalie Barack Obama au Jeff Bezos, hawa wote sehemu kubwa ya malezi yao walilelewa na mama zao tu.
Umewahi kuona utofauti wowote kwenye makuzi yao ambao unaweza kuuhusisha na hiki na ulicho kiandika hapa?
Umeandika assumption mtupu, na haujaelewa logic ya mimi kukutolea hiyo mifano.Mungalie Obama Kisha muangalie trump , mitazamo na mamuzi ndio tofauti kubwa .na sio uchumi Wala nafasi katika jamii ..soma na uelewe..Obama maamuzi yake yote ni yakike na huruma za kipumbavu
Huu tunauita ni UMBEYA, na unawezaje kuandika umbeya mtoto wa kiume?jeff bezos ameachwa na mwanamke wake wa ndoa sababu ya kua na Haiba ya kike ,kukosa maamuzi na kutokua na misimamo...
Una kingine?
Tafuta kazi yakufanya mkuuMungalie Obama Kisha muangalie trump , mitazamo na mamuzi ndio tofauti kubwa .na sio uchumi Wala nafasi katika jamii ..soma na uelewe..Obama maamuzi yake yote ni yakike na huruma za kipumbavu while jeff bezos ameachwa na mwanamke wake wa ndoa sababu ya kua na Haiba ya kike ,kukosa maamuzi na kutokua na misimamo...
Una kingine?