Namuona Tai akiongelewa sana, yupo pia kunguru pale safinani kwa Nuhu, yupo Njiwa pale Yordani kwenye ubatizo wa Yesu. Huyu bata hata nyama yake haivumi sana kama nyama ya kuku. Kwale naye yupo pale kwenye chakula cha Mana walichokula wana wa Israel jangwani wakielekea Kanaani