Lulushii gete gete.ochie nade mabell~”,,
Eminza🤭😂
ndugu zangu tujuane hapa japo kwa salam😎
comasavah, kwa majirani
Sukuma tribe na jaluoochie nade mabell~”,,
Eminza🤭😂
ndugu zangu tujuane hapa japo kwa salam😎
comasavah, kwa majirani
Orie mabeleochie nade mabell~”,,
Eminza
ndugu zangu tujuane hapa japo kwa salam
comasavah, kwa majirani
Nashicha meku , nuamba kur'a Mono a maa( mnama)Mli na warii... Shimbony schafooo
Bwashee kilugha cha nyumbani vipi?Spanish
Portuguese
English
Hizi nimezijua katika harakati za utafutaji na sio kwa kuzisomea.
Bro itabidi uwe mwanafunzi wangu wa kiarabuNimepangilia kuanzia best to worst
1. Kurya
2. Kurya
3. Kiswahili
4. Kiingereza
5. French, thai, viets, spanish na port kidogoo
Kiarabu sikijui na mwenyezi MUNGU anisaidie nisikijue.
Bwashee,wengine tulianza misele kitambo,muda wa kujua lugha za home haukuwepo kabisa,Bwashee kilugha cha nyumbani vipi?