Tofauti na Kiswahili, unafahamu lugha gani nyingine?

Tofauti na Kiswahili, unafahamu lugha gani nyingine?

Kuna baadhi yetu hatukupata bahati ya kufahamu lugha za asili, na hatujui lugha za nje tunajua kiswahili pekee kwa sababu wazazi hawakuwa wakizutumia kwa sababu walikuwa wa kutoka kabila tofauti, na shule pia tulisoma Kayumba so kipengele.

Je, wewe unafahamu lugha gani nyingine za ndani na nje ya nchi? Elezea kero inayokukabili kisha tutafsirie
Mimi naongea kwa ufasaha lugha zifuatazo:
1.Kilatini
2.Kiingereza
3.Kijerumani
4.Kiportuguise
Zifuatazo naongea vizuri tu japo sio sana
1.Kispaniola
2.Kitaliano

Lugha za huku kwetu nazijua:
1.Kijaluo
2.Ki ibgo
 
Back
Top Bottom