Ki hadzabe mama😁Ipi?
Hawapo humu!Nawasubiri kwa hamu wasandawe
Wanyantuzu vp?Hawapo humu!
Itabidi tuongee vizuri na mzee kama aliwahi kutembelea Congo na kuacha mbegu huko.Labda ni ndugu ukute mzee wetu alicheat mahala😀
Ndo haohao wasukuma, huwa tumegawanyika tu!Wanyantuzu vp?
Nitamuuliza maana hawa baba zetu nao bana kila kona ni watoto tu, kama kuna tuzo!Itabidi tuongee vizuri na mzee kama aliwahi kutembelea Congo na kuacha mbegu huko.
😀😀
Njoo nikufundishe!
Kireno,Kiswahili,English kidogo,wolofu kiasi(hii inapatikana Senegal) kimakua, kichina kiasi kidogo cha kuombea pesa.Kuna baadhi yetu hatukupata bahati ya kufahamu lugha za asili, na hatujui lugha za nje tunajua kiswahili pekee kwa sababu wazazi hawakuwa wakizutumia kwa sababu walikuwa wa kutoka kabila tofauti, na shule pia tulisoma Kayumba so kipengele.
Je, wewe unafahamu lugha gani nyingine za ndani na nje ya nchi? Elezea kero inayokukabili kisha tutafsirie
Va beneMimi naongea kwa ufasaha lugha zifuatazo:
1.Kilatini
2.Kiingereza
3.Kijerumani
4.Kiportuguise
Zifuatazo naongea vizuri tu japo sio sana
1.Kispaniola
2.Kitaliano
Lugha za huku kwetu nazijua:
1.Kijaluo
2.Ki ibgo