Tofauti na Kiswahili, unafahamu lugha gani nyingine?

Tofauti na Kiswahili, unafahamu lugha gani nyingine?

Wanawake wa kitanzania waongo waongo sana.
Wakitoka kuangalia madude yao hata yawe ya lugha mwitu kiasi gani .....Utakuta Wanarushiana Files kama wanaelewa kilicho jiri.

Eden Snake Language Translators wamezaliwa na lugha zote.
 
Kuna baadhi yetu hatukupata bahati ya kufahamu lugha za asili, na hatujui lugha za nje tunajua kiswahili pekee kwa sababu wazazi hawakuwa wakizutumia kwa sababu walikuwa wa kutoka kabila tofauti, na shule pia tulisoma Kayumba so kipengele.

Je, wewe unafahamu lugha gani nyingine za ndani na nje ya nchi? Elezea kero inayokukabili kisha tutafsirie
Kinyakyusa,kigogo,kiinglish Kwa mbali,kiswahili !
 
Back
Top Bottom