Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,686
MmhKi hadzabe mamaš
MmhKi hadzabe mamaš
Unataka nini jamani?Hahaha kifaransa sikitaki š
70%Hivi wasambaa na wapare wanasikilizana?
Kidhungu mamaUnataka nini jamani?
Usikute wewe ni ndugu yangu na hatujuaniKama unaelewa kifaransa, itakuwa rahisi sana wewe kujua Lingala na kinyume chake. š
Lingala imekopa maneno mengi sana kutoka kifaransa, hii ni kwa sababu Congo zote mbili, DRC na Brazza ni "Francophone" lugha yao ya kiofisi/kiserikali ni Kifaransa.
Kwa mfano; ukisema Merci, pia kilingala ni asante, mkongo anaweza sema merci kwa lingala au matondi, akimananisha asante sana . Utaona katika Lingala, kuna maneno ya kifaransa na yanakamilisha sentensi.
Mfano; ukisema "Lukuta eyaka na ascenseur, kasi vĆ©ritĆ© eyeka na escalier mpe ekomi". š
Usikute wewe ni ndugu yangu na hatujuani
NIDA bwasheeKama unaelewa kifaransa, itakuwa rahisi sana wewe kujua Lingala na kinyume chake. š
Lingala imekopa maneno mengi sana kutoka kifaransa, hii ni kwa sababu Congo zote mbili, DRC na Brazza ni "Francophone" lugha yao ya kiofisi/kiserikali ni Kifaransa.
Kwa mfano; ukisema Merci, pia kilingala ni asante, mkongo anaweza sema merci kwa lingala au matondi, akimananisha asante sana . Utaona katika Lingala, kuna maneno ya kifaransa na yanakamilisha sentensi.
Mfano; ukisema "Lukuta eyaka na ascenseur, kasi vĆ©ritĆ© eyeka na escalier mpe ekomi". š
Nataka kuchukua jambo lenuNdo haohao wasukuma, huwa tumegawanyika tu!
Duh mbona kama umeniacha hapo! hata hiyvo siongei fluently ila maeno mengi nayajua!Kama unaelewa kifaransa, itakuwa rahisi sana wewe kujua Lingala na kinyume chake. š
Lingala imekopa maneno mengi sana kutoka kifaransa, hii ni kwa sababu Congo zote mbili, DRC na Brazza ni "Francophone" lugha yao ya kiofisi/kiserikali ni Kifaransa.
Kwa mfano; ukisema Merci, pia kilingala ni asante, mkongo anaweza sema merci kwa lingala au matondi, akimananisha asante sana . Utaona katika Lingala, kuna maneno ya kifaransa na yanakamilisha sentensi.
Mfano; ukisema "Lukuta eyaka na ascenseur, kasi vĆ©ritĆ© eyeka na escalier mpe ekomi". š
karibu shemeji!Nataka kuchukua jambo lenu
Duh mbona kama umeniacha hapo! hata hiyvo siongei fluently ila maeno mengi nayajua!
MerciNdeko ya mwasi, hongera sana, kwa kufahamu kifaransa hata kidogo, ni jambo la maana sana. š

Nyamwezi + chagaSukuma tribe na jaluo
Hii kitu magufuri pekee ndio alikua anaweza1.kinguu 2.kizigua 3.kikwele 4.kizaramo 5.kiluguru 6.kikutu 7.kikaguru 8.kisambaa 9.kiarabu 10.kingereza 11.kiswahili
GrazieVa bene
Hii shemeji imekaa kaa vp kuna pisi qali mnyantuzu kwelikaribu shemeji!