Tofauti na Magufuli, Nyerere alielewa mataifa tajiri yanatuonea, kutuingilia na alijua jinsi ya kubabiliana nayo kwa busara bila nguvu na umwamba!

Amini alichokoza makusudi na nyerere alivumilia mengi kutoka kwa amino maana alielewa taifa linaingizwa kwenye umasikini ishu ni kwamba kila binadamu anakiwango cha uvumilivu ndio maana mzee akaona liwalo na liwe.

Ile vite ilikuwa ya makusudi na ilitegemewa tupigwe (asante MUNGU) hatukupigwa.
Mfano nilio utoa umelenga kwenye behind the scene zaidi. Au hujawahi on a mtoto anatumwa aje akuulize unaondoka lini lakini wewe unaweza dhani mtoto amejiulizia tu kumbe wazazi wake wamemtuma.
 
Ukiwa choko choko zilianza mda mrefu halafu tena hatukujiandaa?
No way!

Tulizidiwa kila kitu na yule jamaa, na kama usemavyo, maghalibi walikataa kutupa mdaada kwa nini?je haikuwa na maana ya wao kutaka tupigwe ile tushike adabu? Unajua mataifa mengi yalikuwa nyuma ya amini?
Tanzania ni nchi ya ajabu kila kukicha inafanya maajabu ya kutisha na kuogofya.
Michezo ya kiuchumi sio ya kawaida kabisa!
 
Hiindioraha ya jf yn unapatakilakitu Asante.kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…