Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

Kuna vitu viwili

1. Shem wako ni mlozi, anafanya hayo.

2. Kuna mtu anatumia image yake kuficha uhalia wake.


Lakini yote yana kitu kimoja common, kuwa unafatwa usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani kidogo nilikuwa naota napaa angani mara kwa mara!!!!nikaja nikakemea kupaa paa angani ndotoni!hadi leo sijui maana yake!!!
Ulalapo roho huwa na tabia ya kuvinjari ulimwengu
 
Nini maana ya kuota ndogo kwenye makazi uliyoishi zamani na ungali ulishahama kitambo
 
Nini maana ya kuota ndogo kwenye makazi uliyoishi zamani na ungali ulishahama kitambo
Maana yake.
Unafuatiliwa au kusumbuliwa na Roho za uchafu.
Mara nyingi hizi ndoto uambatana na kuwaota wafu au wapendwa wetu waliotutoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…