onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Ulalapo roho huwa na tabia ya kuvinjari ulimwengu
Inawatokea wengi sio tatizo sana kama hakuambatani na ndoto za kula nyama ila unaweza kumlambisha ndimu kabla ya kulalaMkuu mshana naomba kuuliza,mm mwanangu huwa anatafuna usingiz yaan unamuona kabisa anatafuna sasa sijui ni nn mkuu,ana miaka 8
Inawatokea wengi sio tatizo sana kama hakuambatani na ndoto za kula nyama ila unaweza kumlambisha ndimu kabla ya kulala
Mimi nikiota chochote kinachohusu chakula lazima nistuke kabla chakula hakijafika mdomoni! Siamini chakula chochote ndotoni
Hii pia hunitokea sana ndotoni sasa sijui tafsiri yake ni nini?
Uko vizuri kiroho...kuna changamoto unapitia lakini unazishinda kimiujiza mnoMkuu habari nipo nje ya mada kidogo usiku wa kuamkia leo nimeota nakimbizwa natafutwa sana nikituhumiwa nimefanya kosa lakini kosa lenyewe silijui. Kilichonishangaza kwenye hii ndoto ni uwezo wangu wa kukimbia wanaonifukuza wasinikamate, mwanzoni walikuwa wengi mno lakini walienda wakipungua kwa uwezo niliokuwa nao.
Kila wakikaribia kunifikia kunikamata napata nguvu ya kuwaacha mbali sana mpaka nikawapoteza ndipo niliposhtuka baada ya kufika eneo ambalo lilikuwa na mandhari ya msitu lakini sikuingia ndani ya huo msitu.
Mazingira ya ndoto yalikuwa mazingira ya nyumbani nilipozaliwa na kukulia kwa mda mrefu.
Je tafsiri yake ni ipi inaashiria nini? Msaada wako tafadhali.
Ahsante
Uko vizuri kiroho...kuna changamoto unapitia lakini unazishinda kimiujiza mno
Zidi kupambana ...na zisikilize ndoto zako hasa zile zinazojirudiarudia
Sometimes kuna ndoto hazina tafsiri yoyote bali no mapishano ya kiroho tuu mpaka zijirudie ndio huwa maono ama taarifaMkuu Mshana Jr Mimi last week niliota nipo nyumbani kwenye nyumba ya familia nikiwa tumeketi na mama pamoja na ndugu zake wawil lakini mama akasema kuna mboga aliipika akawa ameweka dawa ambayo tumeimeza hivyo tulivyokula wote tukaonekana wachawi na alipewa atuwekee mimi sikupenda hivyo nilianza kulia pale pale nikawa nimeshtuka. Nini maana yeke hii
Shukrani mkuuSometimes kuna ndoto hazina tafsiri yoyote bali no mapishano ya kiroho tuu mpaka zijirudie ndio huwa maono ama taarifa
Ni kumbukumbu rejeo tu...kuna matukio yalichujwa na kuhifadhiwa hivyo hujirudia kwa njia ya ndoto
Tafsiri ya kula mwenyewe hiyo hapo ...kuhusu ya choo soma hapaKwahiyo mkuu ukiota unakula mwenyewe nyama lakini hujaandaa wewe na watu unaowaona huwajui hii ina maana gani lingine je ukiota upo shule ya msingi ulosoma zamani halafu upo choo cha hiyo shule unajisaidia haja kubwa hii ina maana gani mkuu @mshanajr
Hizo sio ndoto za kawaida bali ni ndoto maono na si kila mmoja wetu anajaaliwa kuwa nazo...kiingereza tunaziita foreseen dreamsMimi huwa nikiota jambo linatokea baada ya muda au mfano wake.
Nilipokuwa mdogo darasa la 3 niliota mtu wangu wa Karibu sana amefariki na hata rangi ya shuka niliyoiota ndiyo hiyo hiyo aliyofunikwa siku yake ya mwisho (Mwaka mmoja baadae).
Pia nilipokuwa mdogo sana miezi michache kabla ya bibi yangu kufariki (Ni mtu mwingine tofauti na wajuu) aliniita akaniiomba nimuandikie Wosia wake, Bibi yangu alikuwa anawajukuu wengine na watoto wakubwa sana ila alisafiri ili mimi tu ndio nimsaidie. (Siku ya Msiba wazee walinipa Heshima sijawahi kupewa).
Kuna ndugu yangu aliniibia Kisimu changu(Kibovu) wakati niko mdogo, siku hiyo nilikasirika sana sana, ila baada ya hapo huyu mtu hajawahi kufanikiwa hata akifanikiwa ataaishia kuiba na kufukuzwa kazi hadi leo hii.
Ndoto yangu ninayoikumbuka vyema kabisa kuliko zote (Niliota darasa la pili) ni harusi niliyoota na binti mzuri sana Mwuepe mwenye kupendeza ππ
Naomba kuuliza swali,
Ndugu Mshana Jr je mtu unaweza ukawa unaweza kufanya ndoto zako kuwa kweli bila wewe kujua au kwa kujua