Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

Nini maana ya kuota ndogo kwenye makazi uliyoishi zamani na ungali ulishahama kitambo
Ni kumbukumbu rejeo tu...kuna matukio yalichujwa na kuhifadhiwa hivyo hujirudia kwa njia ya ndoto
 
Mkuu mshana naomba kuuliza,mm mwanangu huwa anatafuna usingiz yaan unamuona kabisa anatafuna sasa sijui ni nn mkuu,ana miaka 8
Inawatokea wengi sio tatizo sana kama hakuambatani na ndoto za kula nyama ila unaweza kumlambisha ndimu kabla ya kulala
 
Mkuu habari nipo nje ya mada kidogo usiku wa kuamkia leo nimeota nakimbizwa natafutwa sana nikituhumiwa nimefanya kosa lakini kosa lenyewe silijui. Kilichonishangaza kwenye hii ndoto ni uwezo wangu wa kukimbia wanaonifukuza wasinikamate, mwanzoni walikuwa wengi mno lakini walienda wakipungua kwa uwezo niliokuwa nao.

Kila wakikaribia kunifikia kunikamata napata nguvu ya kuwaacha mbali sana mpaka nikawapoteza ndipo niliposhtuka baada ya kufika eneo ambalo lilikuwa na mandhari ya msitu lakini sikuingia ndani ya huo msitu.
Mazingira ya ndoto yalikuwa mazingira ya nyumbani nilipozaliwa na kukulia kwa mda mrefu.
Je tafsiri yake ni ipi inaashiria nini? Msaada wako tafadhali.
Ahsante
 
Hii pia hunitokea sana ndotoni sasa sijui tafsiri yake ni nini?

Uko vizuri kiroho...kuna changamoto unapitia lakini unazishinda kimiujiza mno
 
Sikumbuki kulishwa lakini kula kwenye ndoto nakamua sana tu vyakula mbalimbali na hata hizi nyama lakini sijawai kuwaza kufanikiwa kwa kutoa kafara ya kiumbe chochote.

Usiku nimeota nafanya marekebisho kwenye nyumba yangu. Na nimeota pia mambo ya hizi kampeni.
 
Mkuu Mshana Jr Mimi last week niliota nipo nyumbani kwenye nyumba ya familia nikiwa tumeketi na mama pamoja na ndugu zake wawil lakini mama akasema kuna mboga aliipika akawa ameweka dawa ambayo tumeimeza hivyo tulivyokula wote tukaonekana wachawi na alipewa atuwekee mimi sikupenda hivyo nilianza kulia pale pale nikawa nimeshtuka. Nini maana yeke hii
 
Sometimes kuna ndoto hazina tafsiri yoyote bali no mapishano ya kiroho tuu mpaka zijirudie ndio huwa maono ama taarifa
 
Kwahiyo mkuu ukiota unakula mwenyewe nyama lakini hujaandaa wewe na watu unaowaona huwajui hii ina maana gani lingine je ukiota upo shule ya msingi ulosoma zamani halafu upo choo cha hiyo shule unajisaidia haja kubwa hii ina maana gani mkuu @mshanajr
 
Mimi huwa nikiota jambo linatokea baada ya muda au mfano wake.

Nilipokuwa mdogo darasa la 3 niliota mtu wangu wa Karibu sana amefariki na hata rangi ya shuka niliyoiota ndiyo hiyo hiyo aliyofunikwa siku yake ya mwisho (Mwaka mmoja baadae).

Pia nilipokuwa mdogo sana miezi michache kabla ya bibi yangu kufariki (Ni mtu mwingine tofauti na wajuu) aliniita akaniiomba nimuandikie Wosia wake, Bibi yangu alikuwa anawajukuu wengine na watoto wakubwa sana ila alisafiri ili mimi tu ndio nimsaidie. (Siku ya Msiba wazee walinipa Heshima sijawahi kupewa).

Kuna ndugu yangu aliniibia Kisimu changu(Kibovu) wakati niko mdogo, siku hiyo nilikasirika sana sana, ila baada ya hapo huyu mtu hajawahi kufanikiwa hata akifanikiwa ataaishia kuiba na kufukuzwa kazi hadi leo hii.

Ndoto yangu ninayoikumbuka vyema kabisa kuliko zote (Niliota darasa la pili) ni harusi niliyoota na binti mzuri sana Mwuepe mwenye kupendeza 😀😀

Naomba kuuliza swali,
Ndugu Mshana Jr je mtu unaweza ukawa unaweza kufanya ndoto zako kuwa kweli bila wewe kujua au kwa kujua
 
Hizo sio ndoto za kawaida bali ni ndoto maono na si kila mmoja wetu anajaaliwa kuwa nazo...kiingereza tunaziita foreseen dreams
 
Back
Top Bottom