Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Mshana tafahdali uje kutoa msaada hapa nini cha kufanya kuachana na hili la kufanya mapenzi ndotoni na unajikuta unapizzmdada kama ujaolewa unaota unazini hiyo ni ishara kuwa una mume tayari hata ukipata mchumba hautakaa naye muda mtaachana au ukiolewa katika ndoa mimba zitakuwa zinaharibika
mkaka au mdada ukiota una gawa pesa kwenye ndoto au unapewa pesa ujue kabisa uchumi wako umepigwa
watu wengi hawapendi gharama za kujifunza wanataka kwenda kutapeliwa na kupewa mafuta MUNGU WETU WA WAKRISTO YEHOVA alisema katika KUMBUKUMBU LA TORARATI 30;11 mpaka 31;11-28 kuwa neo ndio taa zaburi 119;105
mpe YESU MAISHA YAKO MAANA YESU ALIKUJA KWA AJILI YA WATU WOTESasa Hapa unachotakiwa kufanya nini ili kumtoa huyo mme wa mapepo?
mpe YESU MAISHA YAKO MAANA YESU ALIKUJA KWA AJILI YA WATU WOTE
UKISHA MPA YESU MAISHA SASA VYOMBO VYA DOLA VYA MBINGUNI VINAPIGANA UPANDE WAKO
JIFUNZE NENO LA MUNGU KWA USAHIHI WAKE
PENDA KUSOMA NENO LA MUNGU KWA NIA YA KUJIFUNZA
ROHO MTAKATIFU AKIKUJULIA ATAANZA KUKUONYESHA ULIPO KWAMA
KILA SIKU USIKU OMBA MAOMBI HAYA WAEFESO 1;17-23 Na zaburi 69;13-18 omba taja jina lako Damu ya Yesu ipo na ina nena mema wewe iamini tu
Mi nikimuota mwanamke nafanya naye ngono ndotoni basi hata namfukuzia naacha hapo najua simpati tena labda atanichuna tu na kusepaMara nyingi ukiongea na wanajimu wa elimu zinazohusu anga na nyota watakuambia mara zote mambo tunayoota hutukia kinyume na tulivyoota, mathalan unaota kufa kwenye ajali inakuwa kinyume chake, ama unaota mgonjwa wako amefariki ila ndo tunaambwa kwamba status yake ya kuishi ndo inaongezeka, swali likaja ikiwa hivyo ndivyo vipi kwa kumwota binti mara kwa mara kama mwandani wako? Hii ina maana hutomwoa yeye ama?
Unamwacha kwa kuwa umeshazini naye kimawazo hivyo unaalika nafasi za kueendela kupata wapya ndotoni!Mi nikimuota mwanamke nafanya naye ngono ndotoni basi hata namfukuzia naacha hapo najua simpati tena labda atanichuna tu na kusepa
Mshana huwa nikiota ndoto sikumbuki ila zikiwa za kupambana na kukemea nakumbuka, but juzi nimeota nakula nyama tena kama ya mfupa wa paja hv. Nilimaliza na baadae kurudia ile mifupa nakunyofoanyofoa vilivyobaki.Vema tukarejea kwenye mada zetu hizi... Huko siasani ni tabu tupu... Kunaweza kukufanya mtu sometimes uwe na frustration zako... Nitajitahidi nisiende tena kule.... Japo naona kama naidhulumu nafsi.....
Dhana ya kula chakula ndotoni si jambo baya si jambo la ajabu japo kuna wakati huambatana na matatizo ya kisaikolojia kwa sehemu! Lakini lazima tutambue kuwa lazima tuote kuota ni lazima na kuna ndoto baadhi hazina maana yoyote zaidi ya kumbukumbu ya yaliyopita.....
Kuota mara kwa mara unakula ni ishara ya kutamani kufanikisha jambo fulani katika maisha, hamu ya kuwa na mahusiano , mali ama mafanikio yoyote yale.. Chakula ni uhai bila chakula uhai uko shakani hivyo kuota unakula ni dalili za kutaka kupata uhai kwenye jambo fulani
Lakini vilevile kuota unakula hutokana na kutamani chakula fulani lakini ikatokea hukukipata lakini ufahamu wako ukahifadhi ile hamu na usiku unapolala roho yako huondoka na kwenda kutafuta chakula husika na kuiridhisha nafsi tamanifu....
Sasa turudi kwenye mada... Kuota unakula nyama na kulishwa nyama... Kuna tofauti kubwa hapa
Kuota unakula nyama ni tafsiri ni dalili ya kutaka mafanikio ama kufanikisha jambo lako kwa njia ya kudhuru ama kuumiza wengine.. Yani ufanikiwe wewe lakini ukiacha wengine na madhara... Nyama inatokana na kuondosha uhai wa kiumbe hai kingine... Hii hutokana na mawazo tuwazayo bila kujua madhara yake kiroho... Kwa mfano penzi linazingua unatamani kurekebisha mambo lakini masharti ya mtaalam unatakiwa upate kuku wa kafara....
Ni kitu kama hiki... Unatamani cheo kazini, mvuto ama umaarufu nk unaambiwa dawa yake lazima itengenezwe na damu na mzoga wa mbuzi... Ni vitu kama hivi... Hivyo kupitia ndotoni hujidhihiri kwa njia ya kula nyama. Kwamba unashibisha nafsi huku kiumbe kikipoteza uhai
Sasa linapokuja suala la kulishwa nyama ndotoni... Hiki ni kitu tofauti kabisa.. Hizi ni ndoto zenye kuakisi uhalisia.. Ni ndoto za kichawi na unacholishwa ni nyama halisi kwa njia za kishirikina na nyama hizo si nzuri si nyama za wanyama tulao bali ni nyama za mizoga ya kenge nyani mbweha fisi konokono hata panya nk...
Sio nyama nzuri kwakuwa zina madawa ya kudhuru kiroho na hushibisha na hata kuvimbiza.. Hujaza tumbo kabisa na kukufanya ushindwe kula chochote.... Na tafsiri yake ni moja tu kukufunga usifanikiwe tena kwenye lolote.. Kwamba ukishakula na kushiba huwezi kula tena....
Namna bora ya kutatua tatizo hili ni kitunguu saumu na ndimu tuu... Kabla ya kulala hakikisha unalamba ndimu au kutafuna kipande cha kitunguu saumu ama vyote kwa pamoja... Kwa njia hii utakuwa umeidhibiti hiyo hali
Jr[emoji769]
Hakuna shida kabisa hapo ulikuwa unakula mwenyewe.. Refer maelezo hapo juu.Mshana huwa nikiota ndoto sikumbuki ila zikiwa za kupambana na kukemea nakumbuka, but juzi nimeota nakula nyama tena kama ya mfupa wa paja hv. Nilimaliza na baadae kurudia ile mifupa nakunyofoanyofoa vilivyobaki. Kama zilikua za kichawi nifanyeje? Tena siku hiyo nilikua na jirani yetu wa zamani na mwalimu wangu mkuu wa primary ktk ndoto nilimaliza 98 ila sasa niko masters, yani jirani alikuja kwa mwalimu kwa ajili ya nyama na kiuhalisia hawafahamiani na wanakaa mkoa mmoja but viviji tofauti kabisa nami Niko shule miaka mingi sijawaona na Huyo mwlm alishafarikigi. So nishauri ni nini na nifanyeje coz sielewi?
Hakuna shida kabisa hapo ulikuwa unakula mwenyewe.. Refer maelezo hapo juu.. Hukulishwa, ungelishwa lingekuwa tatizo..Mshana huwa nikiota ndoto sikumbuki ila zikiwa za kupambana na kukemea nakumbuka, but juzi nimeota nakula nyama tena kama ya mfupa wa paja hv. Nilimaliza na baadae kurudia ile mifupa nakunyofoanyofoa vilivyobaki. Kama zilikua za kichawi nifanyeje? Tena siku hiyo nilikua na jirani yetu wa zamani na mwalimu wangu mkuu wa primary ktk ndoto nilimaliza 98 ila sasa niko masters, yani jirani alikuja kwa mwalimu kwa ajili ya nyama na kiuhalisia hawafahamiani na wanakaa mkoa mmoja but viviji tofauti kabisa nami Niko shule miaka mingi sijawaona na Huyo mwlm alishafarikigi. So nishauri ni nini na nifanyeje coz sielewi?
Hakuna shida kabisa hapo ulikuwa unakula mwenyewe.. Refer maelezo hapo juu.. Hukulishwa, ungelishwa lingekuwa tatizo... ZAIDI ni kwamba ndoto za kukemea ni matukio halisi na roho chafu haziepukiki kinga yake ni kujidhatiti na MUNGU wako tuuMshana huwa nikiota ndoto sikumbuki ila zikiwa za kupambana na kukemea nakumbuka, but juzi nimeota nakula nyama tena kama ya mfupa wa paja hv. Nilimaliza na baadae kurudia ile mifupa nakunyofoanyofoa vilivyobaki. Kama zilikua za kichawi nifanyeje? Tena siku hiyo nilikua na jirani yetu wa zamani na mwalimu wangu mkuu wa primary ktk ndoto nilimaliza 98 ila sasa niko masters, yani jirani alikuja kwa mwalimu kwa ajili ya nyama na kiuhalisia hawafahamiani na wanakaa mkoa mmoja but viviji tofauti kabisa nami Niko shule miaka mingi sijawaona na Huyo mwlm alishafarikigi. So nishauri ni nini na nifanyeje coz sielewi?
Duh niliogopa sana, na kusali sana asubuhi nilipoikumbuka ukizingatia naotaga sana Niko primary kijijini darasa la 5 au la 6 wakati nilimaliza primary toka 98 sijawah ota secondary, university wala masters hii iko vipi ni sawa au?Hakuna shida kabisa hapo ulikuwa unakula mwenyewe.. Refer maelezo hapo juu.. Hukulishwa, ungelishwa lingekuwa tatizo... ZAIDI ni kwamba ndoto za kukemea ni matukio halisi na roho chafu haziepukiki kinga yake ni kujidhatiti na MUNGU wako tuu
Kiroho kuna reverse action zinaendelea lakini hakuna shida yoyote kuna mada yake nitajitahidi kukutag nikiipataDuh niliogopa sana, na kusali sana asubuhi nilipoikumbuka ukizingatia naotaga sana Niko primary kijijini darasa la 5 au la 6 wakati nilimaliza primary toka 98 sijawah ota secondary, university wala masters hii iko vipi ni sawa au?