Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

shughulikia hii ndoto KAMA NI MKRISTO au sio mpe YESU MAISHA YAKO pata mafundisho sahihi ya kuombea ndoto nenda facebook mtafute Mwalimu Christopher Mwakasege (Mana Ministry) amefundisha namna ya kuomba usipo omba uwezi vuka kimaisha
 
nje ya YESU KRISTO utakacho kifanya ni kupungiwa pepo,wanatafuta pepo kubwa linakuwa ndani yako.
usiku ulali maana usingizi mzuri ni zawadi ZABURI 127
Mungu wetu alali anapigana kwa ajili yetu ili sisi tulale Zaburi 121
 
Mkuu mshana pole na majukumu...naomba nitoke Kidogo nje ya mada...niliwahi kuota ndege mwenye Rangi tofauti tofauti na mdomo mrefuu amening'ata mkono wa kulia...ukaoza...nikashtuka...juzi juz tena niliota paka mweusi then amechokaa meno makali sana...napigana nae..kila akija nampiga teke..kama Mara Mbili hivi...Mara ya tatu akaning'ata mkono wa kulia...nisaidie mkuu nijue...tatizo li wapi?au inamaanisha nini?ahsante mkuu
 
Naweza nisiwe na tafsiri sahihi kabisa kwakuwa ulimwengu wa ndoto ni mpana sana ila hilo la kwako kulikuwa na hatari zinakukabili lakini ukawa unanusurika nazo
 
Asante, siasa zinatupotezea elimu hii bila ada....nalimisigi hili class, haaya baba achana na frustration za wanasiasa lete vitu adimu.
 
Asante, siasa zinatupotezea elimu hii bila ada....nalimisigi hili class, haaya baba achana na frustration za wanasiasa lete vitu adimu.
[emoji109] [emoji120] [emoji123] [emoji121] [emoji3] [emoji3]
 
SOMA MITHALI 3;16 UTAJIRI NA HESHIMA VIMEPIGWA NA KUZIMU inafanyaga kazi na unapokea pesa ila pesa zina peperuka jaanu ufanyi kitu cha maana sasa mpe YESU MAISHA YAKO TOA SADAKA NA ZAKA IAMINIDAMU YA YESU ITUMIE
Kwa ufupi uchumi wako umepigwa
 
Mkuu barikiwa sana...hayo usemayo ndio napambana nayo sana....I'm speechless... Nishauri zaid nifanyaje?
 
Mshana nimechelewa mada mm mgeni humu niliota niko kwenye basi naabiria wachache mara kdgo pesa zikawa zina ruka juu ndani ya basi nikawa naokota naweka kwenye malboro naabiria wakawa wananisaidia muda kdgo nikashuka na malbro ya pesa hiyo ndoto vp
 
Mmh kuna ndoto huja kinyume ukiota unaokota pesa unaeza ukapoteza
 
Inawezekana mshana naomba no yako tuonge labda unaweza kunishauri mpk sasa ninatazo
 
Inawezekana mshana naomba no yako tuonge labda unaweza kunishauri mpk sasa ninatazo
Uje pm japo nimepunguza kwa kiwango kikubwa kutoa namba zangu, dunia imeharibika na waovu wameongezeka...sihofii kitu ila hali si shwari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…